Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAOMI ATUPWA JELA MIEZI SITA

Mwanamitindo maarufu duniani, Naomi Campbell. MWANAMITINDO   maarufu duniani, Naomi Campbell (45) ametupwa jela miezi sita baada ya kukutwa na hatia ya kumpiga paparazi, Gaetano Di Giovanni, Agosti, 2009. Soma zaidi hapa ====>http://bit.ly/1OUNees

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Dereva bodaboda jela miezi sita

DEREVA wa Bodaboda, Shaban Hamis (22) amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela au kulipa faini ya Sh 100,000 baada ya kusafirisha abiria bila ya kuwa na leseni ya usafirishaji.

 

11 years ago

Mwananchi

Jela miezi sita kwa wizi wa jeneza

Mahakama ya Wilaya ya Bariadi, mkoani Simiyu imemhukumu Bahati Lukas (25) kifungo cha nje miezi sita baada ya kupatikana na hatia ya wizi wa jeneza.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Atupwa jela miaka mitatu

MAHAKAMA ya Wilaya Ilala imemuhukumu Mwanamuziki wa Bendi ya Achigo, Frank Ndokezi (41) kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela kwa kosa kuiibia Ofisi ya Usaki Sacos Sh. milioni 19.8, kutakiwa kulipa faini ya fedha hizo mara baada ya kumaliza kutumikia adhabu hiyo

Hukumu hiyo ilitolewa jana Mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Juma Hassan, Wakili wa Serikali Ferista Mosha.

Hakimu Hassan alisema upande wa mashitaka ulikuwa na mashahidi watano waliotoa ushahidi ili kuweza kuthibitisha...

 

10 years ago

Habarileo

Mwinjilisti atupwa jela miaka 30

MAHAKAMA ya Mkoa wa Tabora i m e m h u k u m u Mwinjilisti wa Kanisa la Menonite Ipuli Manispaa ya Tabora, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji wa msichana wa miaka 16.

 

11 years ago

Habarileo

Aliyefumaniwa atupwa miaka 5 jela

MKAZI wa Kijiji cha Kasokola wilayani Mlele, Makanga Vipawa (43) aliyefumaniwa na mke wa mtu akifanya mapenzi shambani mwa mume wa mwanamke huyo, amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela baada ya kupatikana na hatia ya kuua bila kukusudia.

 

10 years ago

Habarileo

Aliyelawiti mtoto atupwa jela miaka 30

MAHAKAMA ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya imemhukumu kifungo cha maisha jela mkazi wa Madibira wilayani hapa kwa kosa la kumlawiti mtoto mwenye umri wa miaka mitano.

 

10 years ago

Habarileo

Mwalimu wa madrasa atupwa jela miaka 7

PinguMWALIMU wa Chuo cha Madrasa kilichopo Chake Chake, Pemba, Said Khamis Salum (31) ameanza kutumikia chuo cha mafunzo jela miaka 7 baada ya kutiwa hatiani kwa kumpa ujauzito mwanafunzi wake mwenye umri wa miaka 15 jina (linahifadhiwa).

 

10 years ago

Habarileo

Atupwa jela miaka 30 kwa ujambazi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi wilaya ya Nzega mkoani Tabora imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Isaralo, Majire Peter (27), kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya unyang’anyi wa kutumia silaha.

 

10 years ago

Vijimambo

ALIYEMNIGA TAMBWE, ATUPWA JELA TFF

Na Bertha Lumala, Dar es SalaamBeki kisiki George Michael wa Ruvu Shooting Stars amefungiwa mechi tatu za Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu baada ya kupatikana na kosa la kinidhamu la kumkaba koo mshambuliaji Amisi Tambwe wa Yanga.Baada ya kutoka suluhu dhidi ya Ruvu Shooting katika mechi yao ya raundi ya 11 ya ligi kuu ya Bara kwenye Uwanja wa Taifa jijini hapa Januari 17, Yanga SC ilimfungulia mashtaka kwenye Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) beki huyo ukidai alimbagua, kumdhalilisha na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani