NAPE NNAUYE AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA NORWAY MJINI DODOMA
![](http://2.bp.blogspot.com/-7v6uJizpuHw/Vk8KrzQGliI/AAAAAAAArlU/a5qoi30rr-U/s72-c/3.jpg)
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na Balozi wa Norway Nchini Bi. Hanne - Marie Kaarstad kwenye ofisi za CCM Makao Makuu mjini Dodoma.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akimsindikiza Balozi wa Norway Nchini Bi. Hanne - Marie Kaarstad aliyemtembelea leo kwenye ofisi za CCM Makao Makuu mjini Dodoma.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akiagana na Balozi wa Norway Nchini Bi. Hanne - Marie Kaarstad kwenye ofisi za CCM ...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-w-1nx9sCx-I/VFdErQEzroI/AAAAAAAGvN4/UDxXIXu6VqE/s72-c/unnamed%2B(76).jpg)
Mh. Suluhu akutana na balozi wa Norway Nchini,Pia afanya mazungumzo na Mchungaji Stella Matte
![](http://3.bp.blogspot.com/-w-1nx9sCx-I/VFdErQEzroI/AAAAAAAGvN4/UDxXIXu6VqE/s1600/unnamed%2B(76).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-3H6sUtfuoE0/VFdErpCAz3I/AAAAAAAGvN0/JKzf_d6ongc/s1600/unnamed%2B(77).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-OUna2tXyRgQ/U-eiAdjXqxI/AAAAAAAF-O8/2A7cNDSiZhI/s72-c/unnamed+(13).jpg)
Balozi Chabaka afanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Exim Bank mjini Moroni, Comoro
![](http://4.bp.blogspot.com/-OUna2tXyRgQ/U-eiAdjXqxI/AAAAAAAF-O8/2A7cNDSiZhI/s1600/unnamed+(13).jpg)
Mhe. Chabaka Kilumanga, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika visiwa vya Comoro, amefanya mazungumzo na Bw. Yogesh Manek, Mwenyekiti wa Bodi ya Exim Bank, kwenye Makazi ya Balozi, mjini Moroni. Maudhui ya mazungumzo hayo yalihusu azma ya Ubalozi ya kuwakutanisha wafanyabiashara wa Tanzania na wenzao wa Comoro kwa lengo la kuwezesha kila upande kutambua wafanyabiasha wanaotambulika na kuaminika na pia kuwahamasisha kufanya baishara kwa kutumia taratibu rasmi. Uongozi wa Exim Bank...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-mCQhkRf6EJw/Xk_1bc0fELI/AAAAAAALeu4/NB2PFmzHIcwMCR_sEwHkw47bLClx8yfBgCLcBGAsYHQ/s72-c/1d3adcfd-f4d8-42af-9748-a1d127256925.jpg)
BALOZI IBUGE AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA KUWAIT NCHINI TANZANIA
![](https://1.bp.blogspot.com/-mCQhkRf6EJw/Xk_1bc0fELI/AAAAAAALeu4/NB2PFmzHIcwMCR_sEwHkw47bLClx8yfBgCLcBGAsYHQ/s640/1d3adcfd-f4d8-42af-9748-a1d127256925.jpg)
Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Balozi Mubarak Mohammed Alsehaijan akimuelezea jambo Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge walipokutanakatika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge, amekutana...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-fuNPVzDZUlE/Vozrnk7aVCI/AAAAAAAIQyU/3Uto_Q0gido/s72-c/1.jpg)
BALOZI WA NORWAY NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI NAPE OFISI KWAKE
![](http://4.bp.blogspot.com/-fuNPVzDZUlE/Vozrnk7aVCI/AAAAAAAIQyU/3Uto_Q0gido/s640/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-g1KWmXOkgNU/VozrndJqmyI/AAAAAAAIQyQ/c16gw0yyh6o/s640/3.jpg)
5 years ago
MichuziKATIBU MKUU BALOZI KANALI IBUGE AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA TAIFA LA ISRAEL KWA TANZANIA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Taifa la Israel kwa Tanzania Mhe. Oded Joseph ambaye analiwakilisha Taifa hilo kutokea Nairobi, Kenya.
Kanali Balozi Ibuge katika mazungumzo hayo amweleza Balozi Oded, kuhusu hatua zinazoendelea kuchukuliwa na Serikali katika kukakabiliana na kusambaa kwa COVID-19 na madhara sambamba na madhara cake.Aidha, pamoja na mambo mengine Wawili hao katika...
5 years ago
MichuziKATIBU MKUU BALOZI KANALI IBUGE AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA NCHINI KWA NJIA YA VIDEO
Pamoja na kujadili masuala mbalimbali ya mahusiano ya pande mbili (bilateral relations), viongozi hawa walizungumzia utayari wa Serikali wa nchi zote mbili katika kupambana na mgonjwa wa COVID-19. Sambamba na utayari huo, Katibu Mkuu alimfahamisha Balozi Wang...
10 years ago
Uhuru Newspaper16 Apr
Mengi afanya mazungumzo na Balozi wa Malawi
NA FURAHA OMARY
MWENYEKITI wa Kampuni za IPP, Dk. Reginald Mengi, amekutana na Balozi wa Malawi nchini, Hawa Ndilowe na kufanya mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali, yakiwemo ya kibiashara.
Dk. Mengi na Balozi Hawa walikutana jana, mjini Dar es Salaam, katika makao makuu ya kampuni za IPP.
Katika mazungumzo hayo, Balozi Hawa alisema Malawi iko tayari kuingia ubia na Tanzania kwa ajili ya masuala ya kibiashara.
Pia, alimweleza Dk. Mengi, kwamba wanaunga mkono juhudi zinazofanywa na sekta binafsi...
9 years ago
MichuziRAIS MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA JAPAN NCHINI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-d0a8-dI4zGo/Xkg8BZsCi6I/AAAAAAALdhM/EptWN6WoaNID_wrMb7HVMGW0859VliyAgCLcBGAsYHQ/s72-c/d90fd2da-9800-4ba0-ba86-d377297e900b.jpg)
WAZIRI ZUNGU AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI SEIF IDDI
![](https://1.bp.blogspot.com/-d0a8-dI4zGo/Xkg8BZsCi6I/AAAAAAALdhM/EptWN6WoaNID_wrMb7HVMGW0859VliyAgCLcBGAsYHQ/s640/d90fd2da-9800-4ba0-ba86-d377297e900b.jpg)
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi (wa pili kushoto) akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu (kushoto) aliyefika ofisni kwake, Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha baada ya kuteuliwa hivi karibuni kushika nafasi hiyo. Wengine pichani ni Waziri wa Nchi Ofisi ya...