Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nape: Wanaohama CCM ni sawa na mafuta machafu

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema wanachama waliokihama chama hicho wamejivua nguo mbele za watu na kwamba wapinzani wanaowachukua wanahangaika na mafuta machafu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mafuta machafu yaingizwa nchini

MKEMIA Mkuu wa Serikali, Profesa Samwel Manyele, amesema kuna kampuni tatu za mafuta hapa nchini zimeingiza mafuta machafu yaliyotumika pamoja na kukwepa kulipa kodi. Licha ya kueleza jambo hilo, Manyele...

 

9 years ago

Mtanzania

Butiku aunga mkono wanaohama CCM

DSC_0857NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

MKURUGENZI wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amewaunga mkono wanachama na makada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wanaohamia vyama vya upinzani.

Alisema makada hao walichelewa  kutoka ndani ya chama hicho na wameondoka wakati tayari chama hicho kimeharibika.

Butiku aliyasema hayo   alipotoa mada kwenye mdahalo  wa Maadili na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu, Dar es Salaam jana.

Alisema   CCM ni sawa  na kokoro ambalo limebeba kila aina ya uchafu.

Butiku...

 

9 years ago

Habarileo

Wazee waitaka CCM kutohangaika na wanaohama

WAZEE mkoani Rukwa wametamka hadharani kuwa CCM ni chama chenye heshima kubwa kwa kuwa na Ilani ya Uchaguzi bora na yenye heshima.

 

10 years ago

Bongo5

Mashabiki walumbana kuhusu video ya Alikiba ‘Mwana’, kama ni sawa au si sawa kwa video kutofuata maudhui ya wimbo

Wiki moja baada ya video ya Alikiba ‘Mwana’ iliyofanyiika Afrika Kusini na kuongozwa na Godfather, itoke, kumekuwa na maoni tofauti kuhusiana na video hiyo. Baadhi yao wameonekana kuifurahia na wengine wameonekana kutoridhishwa na baadhi ya vitu. Baadhi ya waliotoa maoni wamesema kuwa walitegemea kuona video yenye script inayoendana na maudhui ya wimbo ili kumuwezesha hata […]

 

10 years ago

Mtanzania

Nape: Hatumshambulii mtu CCM

kinanaNA ELIYA MBONEA, ARUSHA
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Halmashauri Kuu ya CCM, Nape Nnauye, amesema mawaziri na watendaji wa serikali wanaotajwa kushindwa kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) hawashambuliwi kwa majina yao bali dhamana walizokabidhiwa.
Akihutubia maelfu ya wananchi kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini hapa juzi wakati wa kuhitimisha ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, alisema wapo baadhi ya watendaji walioanza kupotosha utendaji wa CCM...

 

11 years ago

BBCSwahili

Idadi ya wanaohama ni kubwa Ukrane:UNHCR

Umoja wa mataifa umesema kuna ongezeko la idadi ya watu wanaokimbia mapigano Mashariki mwa Ukraine.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani