Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wazee waitaka CCM kutohangaika na wanaohama

WAZEE mkoani Rukwa wametamka hadharani kuwa CCM ni chama chenye heshima kubwa kwa kuwa na Ilani ya Uchaguzi bora na yenye heshima.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Butiku aunga mkono wanaohama CCM

DSC_0857NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

MKURUGENZI wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amewaunga mkono wanachama na makada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wanaohamia vyama vya upinzani.

Alisema makada hao walichelewa  kutoka ndani ya chama hicho na wameondoka wakati tayari chama hicho kimeharibika.

Butiku aliyasema hayo   alipotoa mada kwenye mdahalo  wa Maadili na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu, Dar es Salaam jana.

Alisema   CCM ni sawa  na kokoro ambalo limebeba kila aina ya uchafu.

Butiku...

 

10 years ago

Habarileo

Nape: Wanaohama CCM ni sawa na mafuta machafu

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema wanachama waliokihama chama hicho wamejivua nguo mbele za watu na kwamba wapinzani wanaowachukua wanahangaika na mafuta machafu.

 

10 years ago

StarTV

CCM Mwanza waitaka Serikali kusimamia sheria

Na Abdalla Tilata, Mwanza.

 

Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Mwanza imeitaka Serikali kusimamia sheria ili kuhakikisha kila mwananchi anapata uhuru wa kuchagua kiongozi anayemtaka katika chaguzi mbalimbali badala ya kushinikizwa.

 

Tamko hili la Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Mwanza limekuja ikiwa ni siku chache baada ya kumalizika kwa uchaguzi wa serikali za mitaa na katika baadhi ya vituo wananchi kufanyiwa fujo na baadhi ya wafuasi wa vyama vya...

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema waitaka CCM isikwamishe Katiba Mpya

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali yake kuacha kile alichokielezea kuwa ni hila ya kutaka kukwamisha mchakato wa Katiba Mpya.

 

10 years ago

Michuzi

CCM MKOA WA DAR ES SALAAM WAITAKA TUME KUONGEZA VIFAA ILI KUFANIKISHA ZOEZI

  Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar Es Salaam Ndugu Juma Hamis 'Gadafi' akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kwenye hotel ya Peacock jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wanahabari wakifuatilia kwa makini yaliyokuwa yakielezwa na Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar Es Salaam Ndugu Juma Hamis 'Gadafi' alipozungumza nao mapema leo mchana  kwenye hotel ya Peacock jijini Dar es Salaam.


Chama Cha Mapinduzi  mkoa wa  Dar es Salaam kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuongeza,vifaa na rasilimali watu...

 

10 years ago

Vijimambo

CCM MKOA WA DAR ES SALAAM WAITAKA TUME KUONGEZA VIFAA PAMOJA NA RASILIMALI WATU ILI KURAHISISHA ZOEZI LA UANDIKISHAJI

Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar Es Salaam Ndugu Juma Hamis 'Gadafi' akizungumza na waandishi wa habari kwenye hotel ya Peacock jijini Dar es Salaam.
Chama Cha Mapinduzi  mkoa wa  Dar es Salaam kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuongeza,vifaa na rasilimali watu ili wananchi wengi waweze kujiandikisha kwenye Daftari la kudumu la wapiga kura bila usumbufu.
Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Bw. Juma Simba Gadafi  alisema...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Machali awashukia wazee CCM

WAZEE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wametakiwa kuacha kujifanya wao ndiyo magwiji na walimu wa muungano kuliko wengine. Kauli hiyo ilitolewa mjini hapa jana na Mjumbe wa Bunge Maalumu la...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mwenyekiti CCM awaangukia wazee

MWENYEKITI wa Kijiji cha Mlamleni Wilaya ya Mkuranga mkoani  Pwani, Hamisi Linyimuka (CCM), amewaomba radhi wazee wa mtaa wa Videte kwa kosa la kumilikisha ardhi. Hatua hiyo ilikuja baada ya Mwenyekiti...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani