Mwenyekiti CCM awaangukia wazee
MWENYEKITI wa Kijiji cha Mlamleni Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, Hamisi Linyimuka (CCM), amewaomba radhi wazee wa mtaa wa Videte kwa kosa la kumilikisha ardhi. Hatua hiyo ilikuja baada ya Mwenyekiti...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziMWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DKT SHEIN JIJINI DODOMA
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM upande wa Zanzibar Rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein muda mfupi kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma.
10 years ago
Habarileo09 Sep
Baraza la Wazee Chadema lapata Mwenyekiti mpya
SAFU mpya ya Baraza la Wazee Taifa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imetangazwa ambayo Mwenyekiti wake ni mkazi wa Zanzibar, Hashim Juma Issa.
5 years ago
MichuziMWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM OFISI NDOGO YA CCM MTAA WA LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM
5 years ago
MichuziWaziri Mkuu amjulia hali Mwenyekiti Mstaafu wa Baraza la Wazee Dodoma, Balozi, Job Lusinde
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akimjulia hali Mwenyekiti Mstaafu wa Baraza la Wazee Dodoma, Balozi, Job Lusinde, nyumbani kwake, Uzunguni jijini Dodoma, May 19, 2020, ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
11 years ago
Dewji Blog25 Jun
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) akutana na Makamu Mwenyekiti wa Rais wa China
Viongozi wa CCM wakiwa kwenye mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao (hayupo pichani) kwenye Hotel ya Serena jijini Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Philip Mangula akimkabidhi zawadi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao mara baada ya kumaliza mkutano.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao akionyesha zawadi aliyopewa na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara)...
5 years ago
CCM BlogMAKAMU MWENYEKITI WA CCM TANZANIA BARA AZINDUA OFISI YA CCM MKOA WA GEITA
15.02.2020
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Ndugu Philip Japhet Mangula amezindua jengo la ofisi ya CCM Mkoani Geita ambalo ni limejengwa na viongozi wa Chama na Serikali, Wanachama wa CCM pamoja na wadau mbalimbali Mkoani hapo.
Aidha, Ndugu Mangula akiwahutubia wana CCM hao...
10 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziMAKAMU MWENYEKITI WA CCM NA RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZINDUA SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA CCM
11 years ago
GPLISABELA AWAANGUKIA WATANZANIA