Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nasisitiza tena, kodi lazima tulipe

Kama ni habari zimeandikwa, zimetangazwa na zimesambaa katika kila aina ya chanzo cha habari lengo likiwa ni kuelimisha, kukosoa na kuhabarishana juu ya umuhimu wa ushiriki katika malipo ya kodi kupitia mifumo mbalimbali ukiwemo ule mpya wa mashine za EFD.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

MASHINE ZA EFD: Lazima tulipe kodi, serikali iwajibike ipasavyo

SERIKALI zote duniani huendeshwa kwa mapato. Kama hazina mapato maana yake zimefilisika, na kwa maana hiyo zimeingia kwenye orodha ya mataifa yaliyofilisika (bankrupt states). Kufilisika kwa taifa huja kwa viashilia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

MASHINE ZA EFD: Tulipe kodi, serikali iwajibike

SERIKALI zote duniani huendeshwa kwa mapato. Kama hazina mapato zinakuwa zimefilisika na kuingia kwenye orodha ya mataifa yaliyofilisika. Kufilisika kwa taifa huja kwa viashiria vingi sana, kwanza serikali kuwa na...

 

10 years ago

GPL

ZA CHEMBE LAZIMA UKAE: TOP IN DAR INAKUWAJE TENA MZAZI?

KHALEED Mohamed, ni msanii wa muziki wa kizazi kipya mwenye uwezo usiotia shaka, kama utahitaji kujua kuhusu anachofanya. Na kama utasema utaje orodha ya wakongwe ambao bado wanatikisa katika ulimwengu wa Bongo Fleva ambao umetekwa na vijana, huwezi kumkosa katika watu wako Kumi Bora. Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Top In Dar au kifupi TID. Top In Dar au kifupi TID ndilo jina lake maarufu la kisaniii, ingawa pia anafahamika...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu atinga tena bandarini na TRL, akuta makontena 2431 yametoka bila kulipiwa kodi!!

IMGS3737

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua bandari ya Dar s salaam  Desemba 3, 2015 ambako alikwenda kupata ukweli kuhusu makontena 2,431 yaliyopitia kwenye bandari hiyo bila kulipiwa kodi ya serikali.  (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefanya ziara nyingine ya kushtukiza bandarini na kukagua mfumo wa upokeaji na utoaji mizigo na utozaji wa malipo baada ya kupewa taarifa kwamba kuna makontena 2,431 yametolewa bila kulipiwa ushuru.

Waziri Mkuu alisema kwa mujibu wa...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AVAMIA TENA BANDARINI NA TRL,AKUTA MAKONTENA 2431 YEMETOKA BILA KULIPIWA KODI.

  Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua bandari ya Dar es salaam  Desemba 3, 2015 ambako alikwenda kupata ukweli kuhusu makontena 2,431 yaliyopitia kwenye bandari hiyo bila kulipiwa kodi ya serikali.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mfumo wa kukagua makontena bandarini kwa kutumia scaner huku akipata maelzo kutoka kwa Ofisa wa forodha, January Shauri wakati alipotembelea bandari ya Dar es salaam Desemba 3, 2015  kutaka kujua ukweli wa tuhuma za...

 

11 years ago

GPL

SITTA, ULIOMBA, UKAAMINIWA, SASA TULIPE!

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Mwenyekiti Mteule wa Bunge hilo Bw. Samwel Sitta akibadilishana Mawazo na Mjumbe wa Bunge hilo Mohamed Seif Khatib ndani ya Bunge Maalum la Katiba. NIANZE kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia afya, mimi pamoja na wewe unayesoma hivi sasa makala haya. Bila yeye kutulinda, huenda hivi sasa tusingekuwa hapa tulipo, tungekuwa sehemu nyingine kabisa ambayo isingetupa fursa ya kuwasiliana...

 

9 years ago

MillardAyo

Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…

Mipango ya Rais Magufuli kuendelea kupambana na wabadhirifu wa mapato ya Serikali yameendeela kuchukua sura mpya. Kupitia Mamlaka ya Mapato TRA Rais aliweza kufanya mabadiliko makubwa ikiwa ni pamoja na kuwaondoa watendaji ambao walihusika katika upotevu wa fedha za umma pamoja na kuwabana wakwepa kodi ambao ni wafanyabiashara wakubwa. Kingine kilichonifikia leo kutoa  kutoka kwa […]

The post Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…...

 

10 years ago

Michuzi

CHAMA cha Waandishi wa Habari za Kodi Tanzania (TAWNET) umeipongeza kampuni ya mawasiliano ya Vodacom kuwa walipa kodi bora wakubwa

CHAMA cha Waandishi wa Habari za Kodi Tanzania (TAWNET) umeipongeza kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania kwa kuwa moja kati ya walipa kodi bora wakubwa wa pili kwa mwaka 2014.
Sambamba na kampuni ya Vodacom, TAWNET pia imeipongeza kampuni ya bia Tanzania (TBL) na Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC) kuweza kushika nafasi katika makampuni matatu bora. Mwaka huu, mchango wa Vodacom katika pato la taifa umeongezeka na kuisukuma kampuni hiyo katika nafasi ya pili kutoka ya tatu waliyoshika...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA MANISPAA YA SUMBAWANGA WALALAMIKIA KODI MBALIMBALI SERIKALINI, MKUU WA MKOA WA RUKWA AWATAKA KUWA WAZALENDO KULIPA KODI KWA HIARI KUJENGA NCHI YAO

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akisikiliza risala ya umoja wa wafanyabiashara wa Manispaa ya Sumbawanga iliyokuwa ikisomwa kwake na Mwenyekiti wa umoja huo Ndugu Willington Kiziba Ndyetabura (Kulia). Katika risala hiyo yalikuwepo malalamiko mbalimbali ikiwemo ya matumizi ya mashine za EFD ambapo ni pamoja na gharama kubwa za mataengenezo, Ada ya ukaguzi wa majanga ya moto(Fire), Kupanda mara mbili kwa kodi ya mapato kwa wafanyabiashara wadogo na Ulinzi na Usalama kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani