Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NASSARI AMALIZA MIKUTANO YA KUHAMASISHA WANANCHI KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA

Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari ,akiwa na mtoto aliyevalia fulana iliyoandikwa Dogo Janja jina ambalo Nassari alipewa mara baada ya kumalizika kwa uchaguzi uliompatia Ubunge,Mbunge Nassari akiwahutubia wananchi katika kata ya King'ori jimbo la Arumeru Mashariki akihamasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NASSARI AENDELEA KUHAMASISHA WANANCHI KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akizungumza na mmoja wa watoto waliofika kumpokea wakati akifanya mkutano wa hadhara katika kata ya Maruanga kuhamasisha zoezi la uandikishaji katika daftari la kudumu la wapiga kura.Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akizungumza na wananchi katika kata ya Maruanga .

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Dewji Blog

Nassari atumia Helikopta kuhamasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura jimboni kwake

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akisalimiana na rubani wa Helkopta wakati anaanza ziara ya kuhamaisha zoezi la uandikishaji katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo mpya wa BVR. Mbunge Nassari akifunga mikanda tayari kwa kuanza ziara. Mbunge Joshua Nassari akiteremka kutoka katika helkopta wakati alipofika katika kata ya Shambalai Burka kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha. Baadhi ya wananchi wakiwa wamembeba Mbunge Joshua Nassari mara...

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE NASSAR ATUMIA HELKOPTA KUHAMASISHA WANANCHI KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KATIKA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI.

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassar akisalimiana na rubani wa Helkopta wakati anaanza ziara ya kuhamaisha zoezi la uandikishaji katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo mpya wa BVR.Mbunge Nassar akifunga mikanda tayari kwa kuanza ziara.Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki ,Jshua Nassar akizungumza na wananchi katika kata ya Shambarai Burka wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata hiyo kuhasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha katika daftarai la...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA ASHIRIKI BONANZA LA KUHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUPIGA KURA


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Viongozi na waratibu wa Bonanza maalum la kuhamasisha wananchi kujiandikisha katika Daftari Maalum la kupiga kura mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Gonga, Karakata tayari kushiriki mchaka mchaka na vijana zaidi ya 500 kutoka vikundi mbali mbali vya wilaya ya Ilala na Temeke.

Vijana wakiwa wamekusanyika tayari kuanza kushiriki mazoezi ya jogging kwenye uwanja wa Gonga, Karakata ambapo mgeni rasmi alikuwa Katibu Mkuu wa CCM...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE NATSE AWATAKA WANANCHI WA KARATU KUJITOKEZA KWA WINGI KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA


SAM_2291Mbunge wa jimbo la Karatu mkoani Arusha mchungaji Israel Natse wa chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA) ambaye pia Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini akihutubia wananchi wake katika mkutano wa hadhara uliofanyika uwanja wa mazingira bora karatu mjini jana,amewataka wananchi wa jimbo hilo kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kudumu  la wapiga kura ambayo itawapa  fursa ya kuwachagua viongozi wanaowataka katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika ockoba mwaka huu. (Habari...

 

10 years ago

Michuzi

CHADEMA YAENDELEA KUHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA JIJINI MWANZA


 Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar Salum Mwalim akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika hivi karibuni mjini Magu, mkoani Mwanza, ikiwa ni sehemu ya mfululizo wa mikutano ya chama kuhamasisha wananchi kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na kujiandaa kupiga kura uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu. Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lisu akihutubia mkutano wa hadhara ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Chatanda awataka Vijana Singida kujitokeza kujiandikisha daftari la wapiga kura

DSC04237

Mkuu wa wilaya ya Singida, Queen Mlozi, akitoa nasaha zake kwenye hafla iliyofana  ya CCM kata ya Mughanga kusherehekea ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika desemba mwaka jana. CCM kata ya Mitunduruini imezoa nafasi zote zilizokuwa zikigombewa.Wa kwanza kulia ni diwani viti maalum,Anita Awadh na kushoto (wa pili kushoto ni katibu CCM mkoa wa Singida,Mary Chatanda na wa kwanza kushoto ni mwenyekiti CCM kata ya Mughanga.

Na Nathaniel Limu, Singida

VIONGOZI wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Jerry Silaa awataka wakazi wa Lindi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura

12

Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)  Jerry Silaa.

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi

Wakazi wa mkoa wa Lindi wametakiwa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura ili waweze kushiriki kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu.

Rai hiyo imetolewa na Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)  Jerry Silaa  wakati akiongea kwenye kilele cha sherehe za kutimiza miaka 38 ya chama hicho...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani