Nassari kizimbani, adaiwa kuchoma bendera ya CCM
Mamia ya wakazi wa Jimbo la Arumeru Mashariki, jana walifurika katika Mahakama ya Mwanzo ya Maji ya Chai kusikiliza kesi inayomkabili Mbunge wa jimbo hilo, Joshua Nassari ya kuchoma bendera ya CCM yenye thamani ya Sh250,000.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM18 Dec
NASSARI AACHIWA HURU KWA DHAMANA NA MAHAKAMA,BAADA YA KUTUHUMIWA KUCHOMA BENDERA YA CCM
Hakimu David Mwita wa Mahakama ya mwanzo ya maji ya chai ameahirisha hadi Decemba 24, shauri la kesi inayomkabili Mbunge wa Jimbo la Arumeru mashariki Joshua Nassari (CHADEMA), kwa tuhuma za kuharibu mali ya uma kwa kuichoma yenye dhamani ya shilingi laki mbili (bendera ya CCM),pamoja na kumteka mtu na kumtishia kwa bunduki tukio ambalo anatuhumiwa kufanya december 15 mwaka huu
mahakama hiyo imemuachia mbunge huyo mara baada ya kutimiza mashariti ya dhamana, ambapo shariti la kwanza ni kuwa...
10 years ago
Mtanzania18 Dec
Mbunge kortini akidaiwa kuchoma bendera ya CCM
NA JANETH MUSHI, ARUSHA,
MBUNGE wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (Chadema),
jana alifikishwa katika Mahakama ya Mwanzo ya Maji ya Chai wilayani Arumeru kwa tuhuma za uharibifu wa mali.
Mbele ya Hakimu wa Mahakama hiyo, David Mwita, ilidaiwa kuwa Mbunge huyo alitenda kosa hilo juzi jioni katika eneo la Maji ya Chai Kati, nje kidogo ya jiji la Arusha.
Ilidaiwa kuwa Nassari kwa makusudi alichoma bendera ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokuwa na thamani ya Sh. 250,000, kitendo ambacho ni...
10 years ago
MichuziJOSHUA NASSARI ACHAGULIWA KUPEPERUSHA BENDERA YA CHADEMA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI
Wanachama wa Chadema wakipiga kura za maoni kwaajili ya kumchagua mgombea ubunge jimbo la Arumeru Mashariki katika Mji Mdogo wa Usa River,Joshua Nassari alipata kura...
10 years ago
Mtanzania19 Jan
CUF isipeperushe bendera ya Hizbu — CCM
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imetakiwa kukichukulia hatua za kisheria Chama cha Wananchi (CUF) kwa madai ya kupeperusha bendera ya zamani ya chama cha Afro Shiraz Party (ASP) kinyume na sheria namba 5 ya mwaka 1992.
Tahadhari hiyo kwa msajili na vyombo vya dola imetolewa jana na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Zanzibar, Shaka Hamdu Shaka alipokaribishwa kuhutubia katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa na Katibu...
10 years ago
Habarileo21 Jun
Ngeleja aahidi makubwa akipeperusha bendera ya CCM
MBUNGE wa Sengerema, ambaye amechukua fomu kuomba kuwania urais kupitia CCM, William Ngeleja, ameahidi wana CCM wenzake kwamba chama kikimpitisha kuwania nafasi hiyo na akishinda, ataboresha kilimo cha mazao ya biashara.
10 years ago
Mwananchi26 Jan
Dk Shein apendekezwa kupeperusha bendera ya CCM Urais visiwani
10 years ago
MichuziDK CYRIL CHAMI KUPEPERUSHA BENDERA YA CCM JIMBO LA MOSHI VIJIJINI
Video imepigwa na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
10 years ago
Dewji Blog12 Jul
Magufuli kupeperusha bendera ya CCM kiti cha Urais Oktoba 2015
1. Mh. John Magufuli amepata kura 2104 sawa na Asilimia 87.1%
2. Balozi Amina Salim 253 sawa na Asilimia 10.5..
3. Mh. Asha-Rose Migiro kura 59 sawa na 2.4%
Kura zilizopigwa 2422,
Kura zilizoharibika 6,
Kura halali 2416,
Kwa mujibu wa Mh.Makinda
Hatimae Mh Dr. John Pombe Magufuli apendekezwa kupeperusha Bendera ya CCM nafasi ya urais kwenye kinyang’anyiro cha uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu katika kikao cha Mkutano mkuu wa chama hicho mjini Dodoma
Jiandikishe ili uweze kupiga...