NDALICHAKO AAGIZA WANAFUNZI KUPEWA MIKOPO KUFIKIA JUNI 5,2020

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amevitaka vyuo vyote nchini kuhakikisha hadi kufikia ijumaa Juni 5, mwaka huu viwe vimeshawalipa wanafunzi wote fedha zao za kujikimu na ambao hawatafanya hivyo watachukuliwa hatua.
Waziri Ndalichako ameyasema hayo leo Juni 3, 2020 jijini Dar es Salaam wakati akikabidhi magari manne kwa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) ambacho ni miongoni mwa vyuo vinne vitakavyonufaika na mkopo huo wa Benki ya Dunia kupitia mradi wao wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
DKT. MWANJELWA AIPONGEZA TPSC KUUNDA VIKOSI KAZI DHIDI YA CORONA ILI KUTEKELEZA AGIZO LA KUPOKEA WANAFUNZI JUNI MOSI, 2020

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akizungumza na watumishi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania Kampasi ya Singida (hawapo pichani) mara baada ya kupokea taarifa ya Mtendaji Mkuu na Mkuu wa Chuo hicho kuhusu Mkakati wa Uendeshaji Mafunzo kwa Kuzingatia Tahadhari Dhidi ya Maambukizi ya Corona, utakaoanza kutekelezwa na Chuo hicho pindi kitakapofunguliwa tarehe 01/06/2020.

5 years ago
CCM Blog
DKT. MWANJELWA AIPONGEZA TPSC KUUNDA VIKOSI KAZI DHIDI YA CORONA ILI KUTEKELEZA AGIZO LA KUPOKEA WANAFUNZI JUNI MOSI , 2020

10 years ago
Vijimambo
BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU YASOGEZA MBELE TAREHE YA MWISHO YA KUPOKEA MAOMBI YA MIKOPO

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa muda wa kuwasilisha maombi ya mikopo umeongezwa mbele hadi tarehe 31 Julai, 2015.
Hatua hii imechukuliwa ili kuwapa fursa wale ambao kwa sababu mbalimbali hawakuweza kufanya maombi ya mikopo katika muda uliopangwa. Itakumbukwa kuwa, awali Bodi ilianza kupokea maombi kwa njia ya mtandao tarehe 4 Mei, 2015 na mwisho wa kuwasilisha maombi ulipangwa kuwa tarehe 30 Juni, 2015.
Kupitia...
5 years ago
Michuzi
BODI YA MIKOPO YATAKIWA KUWA TAYARI KUTOA MIKOPO KWA WANAFUNZI PINDI VYUO VITAKAPOFUNGULIWA



10 years ago
MichuziMH.HAMAD RASHID AWAASA WANAFUNZI KUJIUNGA NA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF ILI KUPATA MIKOPO YA ELIMU NA MIKOPO YA KUANZIA MAISHA
10 years ago
Michuzi.jpg)
BODI YA MIKOPO YAANZA KUPOKEA MAOMBI YA MIKOPO KUTOKA KWA WANAFUNZI KWA MWAKA WA MASOMO 2015-2016
.jpg)
Na Mwandishi Wetu
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo (Ijumaa, Mei 1, 2015) imetoa mwongozo kwa wanafunzi wahitaji wanaotarajia kuomba mikopo na ruzuku kwa ajili ya mwaka wa masomo 2015/2016 unaotarajiwa kuanza miezi michache ijayo.
Kwa mujibu wa mwongozo huo, ambao unapatikana katika tovuti ya Bodi (www.heslb.go.tz), waombaji wote wamepewa takribani miezi miwili kuwasilisha maombi yao kuanzia Jumatatu, Mei 4, 2015...
5 years ago
Michuzi
BILIONI 51 KUWASHA UMEME VIJIJI 141 MKOANI KAGERA KUFIKIA JUNI 30.
Na Abdullatif Yunus Michuzi TV.
Serikali kupitia Wizara ya Nishati na kwa kushirikiana na Wakala wa Umeme Vijijini (REA), ipo mbioni kuhakikisha Vijiji vyote 141 Mkoani Kagera vinapata huduma ya Nishati ya Umeme ndani ya siku chache kuanzia sasa hii ni kutokana na Mradi huu wa usambazaji Umeme Vijijini Mkoani Kagera kuendelea Vizuri.
Akizungumza muda mfupi baada ya kutembelea Kijiji cha Kyamalange kilichopo Tarafa Bugabo, na kujionea jinsi mradi huo unavyoendelea Mhandisi Jones F. Olotu...
11 years ago
Michuzi02 Jul
11 years ago
Mwananchi09 Mar
Wanafunzi kupewa chanjo homa ya ini Dar