DKT. MWANJELWA AIPONGEZA TPSC KUUNDA VIKOSI KAZI DHIDI YA CORONA ILI KUTEKELEZA AGIZO LA KUPOKEA WANAFUNZI JUNI MOSI , 2020
![](https://1.bp.blogspot.com/-RKTHyBr3b8Y/Xs_NFzxD-mI/AAAAAAAAzKw/RyaV02cqlD8U_-M2UpsdEfA_c_aWTH5bQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_0001AAAA-768x512.jpg)
Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) kimepongezwa kwa kuunda vikosi kazi katika Kampasi zake vitakavyokuwa na jukumu la kusimamia shughuli za uelimishaji wanachuo dhidi ya ugonjwa wa Corona (COVID 19) na kushughulikia dharura zitakazojitokeza kutokana na ugonjwa huo, ikiwa ni sehemu ya mkakati mahususi katika kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ambaye hivi karibuni alizitaka Taasisi za Elimu nchini kupokea wanafunzi na...
CCM Blog