Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NDANI YA HABARI: ‘Tuliacha milango wazi kumsubiri Merry’

>Tukio la mtoto Merryn Reppyson (4)  kutekwa kwa siku nane ni kama hadithi katika filamu ambayo inaweza kuchukua siyo chini ya saa tatu  kuhadithia. Ni hadithi ya kustaajabisha mithili ya sinema, lakini si ya kusadikika; ni ya kweli. Mtoto huyo aliibwa na swahiba mkubwa wa baba yake nyumbani kwao Changanyikeni na kwenda kufichwa Tandale kwa Mtogole.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Jurgen Klopp: Milango ipo wazi Steven Gerrard

Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa  ya Wingereza na Liverpool, Steven Gerrard

Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Wingereza na Liverpool, Steven Gerrard.

Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp

Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp.

Na Rabi Hume

Siku moja baada ya kiungo wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza na klabu ya Liverpool anayekipiga kwa sasa katika klabu ya LA Galaxy ya Marekani, Steven Gerrard kuweka wazi mipango yake ya kutaka kustafu soka 2016, Kocha wa klabu yake ya zamani ya Liverpool, Jurgen Klopp amemwambia mchezaji huyo milango ya kiungo huyo kujiunga na Liverpool iko wazi.

Klopp amesema...

 

11 years ago

Habarileo

Milango wazi kwa wakulima kuuza nafaka nje

MKURUGENZI Idara ya Usalama wa Chakula, Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Karim Mtambo amesema milango iko wazi kwa wakulima na wafanyabiashara wanaotaka kuuza chakula nje ya nchi. Alisema hayo jana wakati wa mkutano na vikundi vya kilimo uliofanyika mjini hapa.

 

9 years ago

Michuzi

VYOMBO HABARI VIMECHANGIA KUFANYA UCHAGUZI KUWA WAZI NA HAKI NA HURU —NEC

Mkuu wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga kura wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Giveness Aswile, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuvishukuru vyombo vya habari kwa kuripoti vizuri katika kipindi chote cha uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani. Mkuu wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga kura wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Giveness Aswile, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuvishukuru vyombo vya habari kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MASHINDANO YA WAZI YA UBINGWA WA TAIFA YANAVYO ENDELEA KATIKA UWANJA WA NDANI WA TAIFA

Mabondia Abuu Said wa JKT akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Adolf Emanuel wa Kigoma wakati wa mashindano ya wazi ya taifa yanayoendelea katika uwanja wa ndani wa taifa Said alishinda mpambano huo na kuingia fainali Uringo mpya wa Shirikisho la ngumi za Ridhaa Nchini BFT walipewa na kampuni ya simu za mkononi ya Zantel hivi karibuni wakiufanyia majaribio ya kuuchezeshea ngumi kabla ya makabidhiano rasmi na kampuni hiyoBaadhi ya viongozi wa mchezo wa ngumi nichini wakifuraia jambo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Posho tulidai wazi, kura iwe wazi’

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Ahmed Masoud Jongo amewataka wajumbe wasiogope kupiga kura za wazi kama walivyokuwa wakidai nyongeza ya posho hadharani.  Alitoa kauli hiyo juzi jioni alipokuwa akichangia...

 

9 years ago

Vijimambo

10 years ago

BBCSwahili

Habari za BBC ndani ya Tigo

Uwapo Tanzania sasa unaweza kusoma habari kutoka tovuti ya BBC bure hata kama simu yako haina fedha.

 

10 years ago

Vijimambo

MERRY CHRISTMAS

Dear Esteem Customer
On Behalf of Management and Staff of Powercomputers and its all associated Brands/Companies - we thank you for giving us the opportunity to serve you and we greatly value your business with warm christmas holiday wishes
Our Offices will remain closed on Saturday 27th December 2014. 
We shall resume work on Monday 29th December 2014.
On Behalf of Powercomputers.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani