Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndimi zilizojeruhi ndani ya Bunge Maalumu Dodoma

Wakati mjadala kuhusu sura ya kwanza na sita kwenye Bunge Maalumu ukielekea ukingoni, baadhi ya wajumbe wametoleana kauli ambazo zimesababisha kutoelewana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BUNGE MAALUMU LA KATIBA LAANZA MJINI DODOMA

BUNGE Maalumu la Katiba limeanza mkutano wake muda huu ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mjini Dodoma. Kwa sasa wajumbe wa bunge hilo wapo katika mchakato wa kumpata Mwenyekiti wa muda mwenye jukumu la kusimamia na kuongoza Bunge katika kusimamia uandaaji na upitishwaji wa Kanuni za Bunge pamoja na kuendesha uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalumu watakaopatikana siku ya Ijumaa. ...

 

11 years ago

Mwananchi

Vita ya Mchungaji na Askofu ndani ya Bunge Maalumu la Katiba

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Mchungaji Peter Msigwa amemvaa Askofu Donald Mtetemela na kumtaka avae rasmi magwanda ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

11 years ago

Michuzi

Bunge maalumu la katika laanza leo mjini dodoma

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na Mjumbe wa Bunge la Katiba, Frederick Msigallah kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo Agosti 5, 2014. 

 

11 years ago

Michuzi

HAFLA YA KUWAPONGEZA WAJUMBE WA BUNGE MAALUMU LA KATIBA MJINI DODOMA

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa pamoja na Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda wakijumuika pamoja katika kulisakata rumba kwenye tafrija ya kukaribishwa kwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma.   Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiwa na Mke wa Mbunge wa Mpendae Mama Tamima Turky wakionyesha manjonjo yao katika mduara wa tafrija ya kuwakaribisha wabunge wa Bunge Maalum la Katiba wa CCM.  Raha iliyoje kwa Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda Kushoto, Mke...

 

11 years ago

Michuzi

pinda akiwa na wajumbe wa bunge maalumu la katiba mjini dodoma leo

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba , Mhe. Saidi Mohamed Mtunda (katikati) na Mhe. Subira Mgalu kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na wajumbe wa  Bunge Maalum la Katika kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo. Kutoka kushoto ni Mhe. Dominick Lyamchay, Mhe. Rashid Mtuta, Mhe. Consitantine Akitanda na  Mhe. Fahmi Dovutwa. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

11 years ago

Michuzi

Hotuba Ya Rais Kikwete Wakati Wa Kulihutubia Bunge Maalumu La Katiba,Mjini Dodoma Leo

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akilihutubia na kuzindua Bunge maalum la Katiba mjini Dodoma leo jioni,Kulia ni Rais wa Zanzibar,Dkt. Ali Mohamed Shein na Katikati ni Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,Mh. Samuel Sitta.

 

11 years ago

Michuzi

wasanii wavamia bunge maalumu la katiba kudai haki zao zitambulike katka katiba mpaya dodoma


Wsanii 12 wakiwemo viongozi toka Shirikisho la muziki, Shirikisho la Filamu, Shirikisho la Sanaa za ufundi, Mtandao wa Wanamuziki Tanzania walifunga safari na kuvamia Dododma na kuwa na mfululizo wa mikutano na wabunge mbalimbali ili kuwashawishi waunge mkono vipengele viwili ambavyo wasanii wanavitaka katika Katiba  1. Kundi la wasanii kutambuliwa katika Katiba kama vile walivyotambuliwa Wakulima, wafugaji, wavuvi na wafugaji walivyotajwa  2. Milliki Bunifu kwa kiingereza Intellectual...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA YAPITIA MAPENDEKEZO YA BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KWA MWAKA WA FEDHA 2020/21 KILICHOFANYIKA JIJINI DODOMA LEO


Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Katikati), Katibu Mkuu, Christopher Kadio (Kulia) na Naibu klatibu Mkuu, Ramadhani Kailima (Kushoto) wakizungumza kabla ya kuanza Kikao Cha Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama. Wizara hii imewasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha  2020/21 katika Kikao kilichofanyika Jijini Dodoma leo.

Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Kushoto), Katibu Mkuu, Christopher Kadio...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani