NDITIYE AITAKA SEKTA YA MAWASILIANO IONGOZE KUCHANGIA PATO LA TAIFA
![](https://1.bp.blogspot.com/-luN5wrbXfvA/XnJE9E23uqI/AAAAAAALkRo/GjHnTg8D78scnSkWUl658H4bc5Fj3J0EQCLcBGAsYHQ/s72-c/JPEG.%2BNA.%2B1.jpg)
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye amesema kuwa Sekta ya Mawasiliano ni sekta mtambuka ambayo ina mchango mkubwa katika kuinua pato la Taifa hivyo ni budi watendaji wake kufanya kazi kwa bidii, ufanisi na kutoa huduma bora kwa jamii ili iwe ya kwanza katika kuchangia pato la taifa.
Mhandisi Nditiye ameyasema hayo alipokuwa anafungua mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Sekta ya Mawasiliano, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano uliofanyika katika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-434XYrGvgP0/XlKVIhIpOWI/AAAAAAALe6E/R-H7LD5s4IQ8DXDIR9NnUUTziU2kjC_qwCLcBGAsYHQ/s72-c/PMO_0794AA-1024x683.jpg)
SEKTA YA MADINI KUCHANGIA ASILIMIA 10 YA PATO LA TAIFA IFIKAPO 2025-WAZIRI MKUU KAASIM MAJALIWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-434XYrGvgP0/XlKVIhIpOWI/AAAAAAALe6E/R-H7LD5s4IQ8DXDIR9NnUUTziU2kjC_qwCLcBGAsYHQ/s640/PMO_0794AA-1024x683.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/PMO_0802AA-1024x684.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionesha cheti baada ya kuzindua utoaji wa cheti cha uhalisia kwa Madini ya Bati kwenye ukumbi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Februari 23, 2020. Kulia ni Spika wa Bunge Job Ndugai, wa pili kushoto ni...
10 years ago
Dewji Blog11 Sep
Sekta za madini, umeme na kilimo zakuza pato la taifa
Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Bw. Morrice Oyuke (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ukuaji wa Pato la Taifa kwa bei ya Soko leo jijini Dar es salaam. Wengine ni Bw. Oswald Ruboha (kulia) Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Sera na Mipango, Wizara ya Kilimo na Dkt. Stephen Kirama (kushoto), Mhadhiri wa Uchumi, Chuo Kikuu cha Dar es salaam.
Na Aron Msigwa – MAELEZO
Sekta ya Kilimo,Uvuvi, Viwanda , Nishati na Madini zimeelezwa kuwa miongoni mwa...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-8buBJ4uUo-Q/VC6iTYa41DI/AAAAAAAGnkw/eVH424KM4xA/s72-c/unnamed%2B(43).jpg)
SEKTA ZA KILIMO,VIWANDA NA BIASHARA ZAKUZA PATO LA TAIFA KWA ASILIMIA 6.9
![](http://3.bp.blogspot.com/-8buBJ4uUo-Q/VC6iTYa41DI/AAAAAAAGnkw/eVH424KM4xA/s1600/unnamed%2B(43).jpg)
Na. Aron Msigwa – MAELEZO
Sekta za Kilimo,Viwanda, Biashara za jumla na rejareja zimetajwa kuongoza katika...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eOkD9SMZvVqGhAT-2gnPe5m9BiLwzsFK0GISGcm8lQjzpMaDJerf9G-t2UJ*BRhf3RFOcYIEo8kX-yNWwk1XincUXOpqRxs8/Pichana1..jpg?width=650)
SEKTA ZA KILIMO, VIWANDA NA BIASHARA ZAKUZA PATO LA TAIFA KWA ASILIMIA 6.9
10 years ago
Michuzi19 Dec
SERIKALI YAZINDUA RASMI USAMBAZAJI TAKWIMU WA PATO LA TAIFA, PATO LA MWANACHI LAONGEZEKA.
![unnamed](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/unnamed387.jpg)
![unnamed1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/unnamed1149.jpg)
![unnamed2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/unnamed2115.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-7kzKZ5TuwqI/VJQ3nweXiHI/AAAAAAAG4dA/dVoJ0Nlel24/s72-c/Takwimu%2B-1.jpg)
SERIKALI YAZINDUA RASMI USAMBAZAJI TAKWIMU ZA PATO LA TAIFA, PATO LA MWANACHI LAONGEZEKA
![](http://1.bp.blogspot.com/-7kzKZ5TuwqI/VJQ3nweXiHI/AAAAAAAG4dA/dVoJ0Nlel24/s1600/Takwimu%2B-1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-IGS3kQwrhrY/VJQ3n6cvYlI/AAAAAAAG4c8/QLK7bFGfcYo/s1600/Takwimu%2Bna%2B2.jpg)
BOFYA HAPA KWA HABARI NA PICHA ZAIDI
10 years ago
Dewji Blog21 Dec
Serikali yazindua rasmi usambazaji takwimu za pato la taifa, pato la mwanachi laongezeka
Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya Salum (katikati) akizindua rasmi Takwimu za Pato la Taifa zilizorekebishwa kwa mwaka wa kizio wa 2007 jijini Dar es salaam.
Na Aron Msigwa – MAELEZO
Serikali imesema kuwa Pato la Taifa kwa mwaka 2007 limeongezeka hadi kufikia shilingi trilioni 26.8 ikilinganishwa na trilioni 20.9 za mwaka 2001, ambapo wastani wa pato la mwananchi mmoja mmoja limeongezeka kutoka shilingi milioni1,186,200/= mwaka 2001 hadi shilingi milioni 1, 561,050/= mwaka 2013.
Akizindua...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-D7UPE3fIynM/XlKVmCwPfdI/AAAAAAALe6M/ieGXLBLUR3ERz6pZh226Eej99rGMYqiLwCLcBGAsYHQ/s72-c/JPEG.-NA.-1-1024x683.jpg)
NDITIYE: MAWASILIANO NI SEHEMU YA MAISHA YA WATANZANIA
![](https://1.bp.blogspot.com/-D7UPE3fIynM/XlKVmCwPfdI/AAAAAAALe6M/ieGXLBLUR3ERz6pZh226Eej99rGMYqiLwCLcBGAsYHQ/s640/JPEG.-NA.-1-1024x683.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/JPEG.-NA.-2-1024x683.jpg)
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye akizungumza na wananchi wa Ikwiriri, walipomsimamisha njiani akielekea kuzindua mnara wa mawasiliano kata ya Mkongo wilayani Rufiji, Pwani. Wa kwanza kushoto kwake ni Mbunge wa jimbo hilo,...
5 years ago
MichuziNDITIYE AHITIMISHA KAMPENI YA “SWITCH-ON, MAWASILIANO KWA WOTE†KANDA YA KASKAZINI
Kampeni hiyo iliyoambatana na zoezi la kuzindua Minara ya Mawasiliano ya Shirika hilo kwa ukanda wa Kaskazini ilianzia Jijini Tanga tarehe 25 Februari, 2020 na...