Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NDITIYE AHITIMISHA KAMPENI YA “SWITCH-ON, MAWASILIANO KWA WOTE” KANDA YA KASKAZINI

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Nchini, Mh. Atashasta Nditiye Ijumaa ya tarehe 28 Februari, 2020 amehitimisha Kampeni maalum ya Shirika la Mawasiliano Nchini, TTCL ijulikanayo kama “SWITCH-ON, Mawasiliano kwa wote” kwa mikoa ya Ukanda wa Kaskazini mwa Tanzania katika kijiji cha Irkuishbor wilayani Kiteto Mkoani Manyara.
Kampeni hiyo iliyoambatana na zoezi la kuzindua Minara ya Mawasiliano ya Shirika hilo kwa ukanda wa Kaskazini ilianzia Jijini Tanga tarehe 25 Februari, 2020 na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

NDITIYE: MAWASILIANO NI SEHEMU YA MAISHA YA WATANZANIA

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (wa nne kulia) akifurahi baada ya kuzindua mnara wa mawasiliano wa kata ya Mkongo, Rufiji mkoani Pwani. Wa nne kushoto kwake ni Mbunge wa Rufiji, Mohammed Mchengerwa
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye akizungumza na wananchi wa Ikwiriri, walipomsimamisha njiani akielekea kuzindua mnara wa mawasiliano kata ya Mkongo wilayani Rufiji, Pwani. Wa kwanza kushoto kwake ni Mbunge wa jimbo hilo,...

 

5 years ago

Michuzi

NDITIYE AITAKA SEKTA YA MAWASILIANO IONGOZE KUCHANGIA PATO LA TAIFA

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano,  Mhandisi Atashasta Nditiye amesema kuwa Sekta ya Mawasiliano ni sekta  mtambuka ambayo ina mchango mkubwa  katika kuinua pato la Taifa hivyo ni budi watendaji wake  kufanya kazi kwa bidii, ufanisi  na kutoa huduma bora kwa jamii ili iwe ya kwanza katika kuchangia pato la taifa. 

Mhandisi Nditiye ameyasema hayo alipokuwa anafungua mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Sekta ya Mawasiliano, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano uliofanyika katika...

 

5 years ago

Michuzi

NDITIYE AZINDUA KAMPENI YA UPANDIKIZAJI MINARA




Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye (wapili kushoto), Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki ambae pia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omar Mgumba (wakwanza kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL),Waziri Kindamba wakikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Minara wenye lengo la kufikisha...

 

11 years ago

Michuzi

JOPO LA MAJAJI KWA AJILI YA KUMTAFUTA MSHINDI WA TUZO YA RAIS YA HUDUMA ZA JAMII NA UWEZESHAJI LATUA RASMI KANDA YA KASKAZINI

Jaji Constancia Gabusa (wa sita kutoka kushoto) akizungumza na mtoto Abdalah Suleman (kulia) aliyefika kisimani kuchota maji katika kijiji cha Chanjagaa wilayani Same. Mradi wa kisima hicho unafadhiliwa na kampuni ya uchimbaji wa madini aina ya bauxite ya Willy Enterprises Ltd. Muuguzi wa zahanati ya Mteke iliyopo wilayani Same Bi. Winfrida Momoya (kulia) akizungumza na majaji Bw. Venance Bahati ( wa pili kutoka kushoto) na Bi Constancia Gabusa (wa tatu kutoka kushoto) mara...

 

5 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini: Je nini kilichosababisha kulipulia kwa afisi ya mawasiliano na Korea Kusini?

Experts' views on why North Korea has chosen to provoke the South by destroying the liaison office.

 

10 years ago

Mwananchi

KAMPENI: Chadema wasafiri kwa chopa kusaka majimbo Kanda ya Ziwa

>Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Ziwa Magharibi, kimeanzisha operesheni maalumu kwa ajili ya kusaka ubunge katika majimbo yote yaliyoko kwenye kanda hiyo ambayo yanashikiliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani