Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NDITIYE: MAWASILIANO NI SEHEMU YA MAISHA YA WATANZANIA

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (wa nne kulia) akifurahi baada ya kuzindua mnara wa mawasiliano wa kata ya Mkongo, Rufiji mkoani Pwani. Wa nne kushoto kwake ni Mbunge wa Rufiji, Mohammed Mchengerwa
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye akizungumza na wananchi wa Ikwiriri, walipomsimamisha njiani akielekea kuzindua mnara wa mawasiliano kata ya Mkongo wilayani Rufiji, Pwani. Wa kwanza kushoto kwake ni Mbunge wa jimbo hilo,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

NDITIYE AITAKA SEKTA YA MAWASILIANO IONGOZE KUCHANGIA PATO LA TAIFA

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano,  Mhandisi Atashasta Nditiye amesema kuwa Sekta ya Mawasiliano ni sekta  mtambuka ambayo ina mchango mkubwa  katika kuinua pato la Taifa hivyo ni budi watendaji wake  kufanya kazi kwa bidii, ufanisi  na kutoa huduma bora kwa jamii ili iwe ya kwanza katika kuchangia pato la taifa. 

Mhandisi Nditiye ameyasema hayo alipokuwa anafungua mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Sekta ya Mawasiliano, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano uliofanyika katika...

 

5 years ago

Michuzi

NDITIYE AHITIMISHA KAMPENI YA “SWITCH-ON, MAWASILIANO KWA WOTE” KANDA YA KASKAZINI

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Nchini, Mh. Atashasta Nditiye Ijumaa ya tarehe 28 Februari, 2020 amehitimisha Kampeni maalum ya Shirika la Mawasiliano Nchini, TTCL ijulikanayo kama “SWITCH-ON, Mawasiliano kwa wote” kwa mikoa ya Ukanda wa Kaskazini mwa Tanzania katika kijiji cha Irkuishbor wilayani Kiteto Mkoani Manyara.
Kampeni hiyo iliyoambatana na zoezi la kuzindua Minara ya Mawasiliano ya Shirika hilo kwa ukanda wa Kaskazini ilianzia Jijini Tanga tarehe 25 Februari, 2020 na...

 

10 years ago

Mwananchi

Fahamu jinsi mawasiliano bora yanavyoweza kuepusha migogoro na migomo sehemu za kazi

Je unajua kuwa katika maisha ni muhimu kwa kila mtu kuelewana na mwenzake, kwani hii ndiyo njia pekee ya mtu kumuelewa mwenzake na kutambua hisia, matakwa na vitu anavyovipenda na asivyovipenda. Maelewano haya huweza kupatikana kwa mawasiliano.

 

10 years ago

Mwananchi

Michezo iwe sehemu ya maisha yetu

Kwa muda mrefu Serikali ya Tanzania imekuwa ikishindwa kutenga fungu la kuendeleza michezo.

 

10 years ago

GPL

WATANZANIA WAENDELEA KUNUFAIKA NA GHARAMA NAFUU ZA MAWASILIANO

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza, akiongea na waandishi wa habari juu ya mwenendo wa kibiashara wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam. Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini hotuba aliyokuwa akitoa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza (hayupopichani) juu ya mwenendo wa…

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO MKUBWA WA NENO LA MUNGU WA WASABATO WATANZANIA WAISHIO NCHINI MAREKANI WATOTO WATENGEWA SEHEMU YAO.

 Watoto wakiwa sehemu yao chini ya uangalizi maalumu huku wazazi wao wakihudhuria mkutano mkubwa wa neno la Mungu unaondelea DMV kwa siku nne ikiwa leo Jumampili April 19, 2015 ndio hitimisho la mkutano huo. Watoto wakiangalia vipindi vya watoto kwenye luninga. Msimamizi wa watoto Tanya Muganda akielekeza jambo. Tanya Muganda akiwapatia zawadi watoto

 

11 years ago

Mwananchi

Watanzania tunaishi maisha ya kambale

Hukumu ya Kesi iliyokuwa ikimkabili Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Makumba Kimweri na Msanifu Mkuu, Richard Maliyaga, imeachwa maswali mengi kuliko majibu tunayopaswa kuyapata.

 

10 years ago

Vijimambo

Maisha ya maelfu ya Watanzania yapo hatarini

Dar es Salaam. Maisha ya maelfu ya Watanzania yapo hatarini baada ya kubainika kuwa kwenye magari ya abiria maarufu daladala ya jijini humo, yanayotoa huduma za usiku kwa safari za kwenda na kutoka maeneo mbalimbali yamekuwa yakihusishwa na mtandao wa vibaka unaoendesha vitendo vya uporaji na ukabaji.Mtandao huo unaelezwa kufanya vitendo hivyo kwa kutumia silaha mbalimbali ikiwamo visu na bastola, huku baadhi ya vibaka hao wakitumia magari hayo kujificha kwa kujifanya ni abiria.Mbali na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania wanataka maisha bora si maadhimisho

LEO Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaadhimisha miaka 37 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977, ambapo sherehe zake zitafanyika katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. CCM iliundwa Februari 5, mwaka 1977 chini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani