Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NDITIYE AZINDUA KAMPENI YA UPANDIKIZAJI MINARA




Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye (wapili kushoto), Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki ambae pia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omar Mgumba (wakwanza kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL),Waziri Kindamba wakikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Minara wenye lengo la kufikisha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

NDITIYE AZINDUA SAFARI ZA NDEGE ZA MIZIGO UWANJA WA KIA








KADCO yajenga chumba cha barafu chenye uwezo wa kubeba tani 110


Na Prisca Ulomi, WUUM, KIA

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye amezindua safari za ndege za mizigo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya kuwawezesha wafanyabiashara, wakulima wa mazao, matunda na mboga mboga wa mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Tanga, Manyara na mikoa ya jirani kutumia usafiri huo kusafirisha mizigo yao kwenda nje ya nchi ya Tanzania

Nditiye amesema kuwa uzinduzi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Profesa Kaisi: Daktari wa kwanza kuzalisha kwa njia ya upandikizaji upandikizaji

>Hapana shaka kuwa maelfu ya wanawake nchini waliowahi kupata huduma zake wanamkumbuka bado kwa msaada mkubwa aliowapa na kuwasaidia kushika mimba, kuwapa ushauri wa kitaalamu au hata kuwazalisha.

 

5 years ago

Michuzi

NDITIYE AHITIMISHA KAMPENI YA “SWITCH-ON, MAWASILIANO KWA WOTE” KANDA YA KASKAZINI

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Nchini, Mh. Atashasta Nditiye Ijumaa ya tarehe 28 Februari, 2020 amehitimisha Kampeni maalum ya Shirika la Mawasiliano Nchini, TTCL ijulikanayo kama “SWITCH-ON, Mawasiliano kwa wote” kwa mikoa ya Ukanda wa Kaskazini mwa Tanzania katika kijiji cha Irkuishbor wilayani Kiteto Mkoani Manyara.
Kampeni hiyo iliyoambatana na zoezi la kuzindua Minara ya Mawasiliano ya Shirika hilo kwa ukanda wa Kaskazini ilianzia Jijini Tanga tarehe 25 Februari, 2020 na...

 

11 years ago

Mwananchi

Dk Slaa azindua kampeni Kalenga

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willbroad Slaa jana alizindua kampeni za kumnadi mgombea wa chama hicho katika uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Kalenga, Grace Tendega, huku akionya Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuongezewa posho.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Aveva azindua kampeni Simba

MGOMBEA urais wa klabu ya Simba katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Jumapili, Evans Aveva, jana amezindua kampeni kwa kutangaza vipaumbele vyake kama atashinda nafasi hiyo, ikiwamo kuvunja makundi baada ya...

 

11 years ago

GPL

MALINZI AZINDUA KAMPENI YA ISHI HURU

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi akizungumza kwenye uzinduzi wa programu ya Ishi Huru jijini Dar es Salaam. Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amezindua programu ya kutoa elimu ya kupambana na matumizi ya dawa za kulevya kwa vijana iitwayo Ishi Huru. Programu hiyo iliyozimduliwa jana (Januari 10 mwaka huu) jijini Dar es Salaam iko chini ya taasisi ya Africa...

 

9 years ago

Michuzi

NYALANDU AZINDUA KAMPENI KATA YA MTINKO

 WAZIRI wa Maliasili na Utalii na mgombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu,  akiingia kuzindua rasmi kampeni zake katika Uwanja wa Mtinko huku akisindikizwa na msafara mkubwa wa bodaboda. WAZIRI wa Maliasili na Utalii na mgombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu,  akisoma bango lenye ujumbe wa kumpongeza lililoandaliwa na wananchi wa Kata ya Mntiko, wakati wa uzinduzi wa kampeni zake za ubunge. WAZIRI wa Maliasili na Utalii na mgombea ubunge wa Jimbo...

 

11 years ago

Mwananchi

Ridhiwani azindua kampeni kwa kishindo

Chama Cha Mapinduzi kimezindua kampeni katika Jimbo la Chalinze kwa kishindo, huku viongozi wa kitaifa wakimwombea kura, Ridhiwani Kikwete ili awaletee maendeleo.

 

10 years ago

Dewji Blog

MO azindua kwa kishindo kampeni za CCM Singida

IMG_0216

Mbunge wa jimbo la Singida mjini Mhe. Mohammed Gulam Dewji akisalimiana na wapiga kura kura wake na wananchi wa jimbo la Singida mjini mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Kibaoni tayari kuzindua kampeni za CCM uchaguzi wa serikali za mitaa katika jimbo la Singida Mjini.(Picha na Geofrey Mwakibete wa MOblog).

IMG_0223

Mbunge wa Singida MO Dewji akipata mapokezi kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni zilizofanyika Kibaoni mjini Singida.

IMG_0167

Mbunge wa jimbo la Singida mjini Mhe. Mohammed Dewji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani