Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ridhiwani azindua kampeni kwa kishindo

Chama Cha Mapinduzi kimezindua kampeni katika Jimbo la Chalinze kwa kishindo, huku viongozi wa kitaifa wakimwombea kura, Ridhiwani Kikwete ili awaletee maendeleo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

RIDHIWANI KIKWETE AANZA KAMPENI KWA KISHINDO JIMBO LA CHALINZE

Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubi wananchi wa Kijiji cha Saadani,Wilayani Bagamoyo.wakati wa kampeni zake zilizoanza rasmi jana Machi 14,2014.
Meneja wa Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),Ndg. Steven Kazidi (kushoto) akimuinua mkono juu kwa ishara ya kumnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo (CCM),Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati wa mkutano wa kwanza wa kampeni uliofanyika katika...

 

10 years ago

Dewji Blog

MO azindua kwa kishindo kampeni za CCM Singida

IMG_0216

Mbunge wa jimbo la Singida mjini Mhe. Mohammed Gulam Dewji akisalimiana na wapiga kura kura wake na wananchi wa jimbo la Singida mjini mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Kibaoni tayari kuzindua kampeni za CCM uchaguzi wa serikali za mitaa katika jimbo la Singida Mjini.(Picha na Geofrey Mwakibete wa MOblog).

IMG_0223

Mbunge wa Singida MO Dewji akipata mapokezi kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni zilizofanyika Kibaoni mjini Singida.

IMG_0167

Mbunge wa jimbo la Singida mjini Mhe. Mohammed Dewji...

 

11 years ago

GPL

KINANA AZINDUA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA CHALINZE KWA KISHINDO‏


  Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akimnadi mgombea wa ubunge jimbo la Chalinze Bw. Ridhiwan Kikwete wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Polisi mjini Chalinze leo ambapo amemuelezea Ridhiwani kama kijana aliyelelewa vyema na chama cha Mapinduzi na wananchi wa jimbo la Chalinze wamchague mgombea huyo kwani ataweza kuwawakilisha vyema bungeni na kutatua matatizo ya jimbo...

 

11 years ago

Dewji Blog

Ridhiwani Kikwete apita kwa kishindo uchaguzi mdogo Chalinze

ridhiwani

Ridhiwani Kikwete akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupiga kura mjini Chalinze jana.

NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-CHALINZE

Ridhiwani Kikwete aliyekuwa mgombea ubunge uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze Bagamoyo mkoani Pwani kupitia Chama cha Mapinduzi CCM ameibuka kidedea kwa asilimia 86.61 katika uchaguzi huo na kuwamwaga wagombea wengine kutoka vyama vinne vya upinzani.

Matokeo ya uchaguzi huo yanaonyesha Ridhiwani ameongoza akifuatiwa na CHADEMA ,CUF,NRA na ASP.

Matokeo hayo...

 

11 years ago

Michuzi

RIDHIWANI KIKWETE ASHINDA KWA KISHINDO UBUNGE WA JIMBO LA CHALINZE

Ridhiwani Kikwete akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupiga kura mjini Chalinze jana.
Na John Bukuku   Ridhiwani Kikwete aliyekuwa mgombea ubunge uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani kupitia CCM ameibuka kidedea kwa asilimia 86.61 katika uchaguzi huo kwa kuwamwaga wagombea wengine kutoka vyama vinne vya upinzani.
Matokeo hayo rasmi yametangazwa usiku wa kuamkia leo April 7, 2014 majira ya saa nane usiku katika shule ya sekondari Chalinze na  Msimamizi...

 

9 years ago

Dewji Blog

CCM kufunga kampeni zake kwa kishindo, Magufuli, Mgombea mwenza na Rais Kikwete kufunga kampeni Mkoani Mwanza

magufuli3

Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwa kwenye gari pamoja na Mgombea mwenza (picha  ya Maktaba yetu wakati wa kampeni zinazoendelea za wagombea hao).

CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania.

Kufunga Kampeni

CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo.  Kampeni za CCM zitafungwa Kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi...

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA AMALIZA KAMPENI KWA KISHINDO

Mh Edward Lowassa, akihutubia mkutano wa kufunga kampeni zake JangwaniMamia n mamia wakifuatilia mkutano wa UKAWA.
Wananchi wakihudhuria mkutano wa UKAWA jangwani.Mfuasi wa UKAWA akifuatilia mkutano.
Mkutano ukiendelea.Wafuasi wa UKAWA wakifuatilia mkutano wa mwisho wa kampeni Jangwani siku ay Jumamosi October 24, 2015.Ni mabango kwa kwenda mbele.Tumaini letu ni Lowassa.Mkutano ukiendelea katika viwanja vya Jangwani.Wafuasi wa UKAWA wakifuatilia mkutano wao wa mwisho.
Wafuasi lukuti wakiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani