Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NDOA YA RASHID SEMNDAIA NA UPENDO LINDA MCHATTA

Ndoa ya Rashid Semndaia na Upendo Linda Machatta iliyofanyika siku ya Ijumaa Februari 13, 2015 Baltimore, Maryland na baadae kutafanyika sherehe Colombia, Maryland muda si mrefu. Maneno ya khanga yakimkuna mpiga picha.Rashid na Upendo wakichumu kwa mara ya kwanza kama mke na mume.Rashid na Upendo wakiwa kwenye ndoa yao.Shekh Faizur Khan akifungisha ndoa ya Rashid na Upendo siku ya Ijumaa Februari 13, 2015 Baltimore, Maryland nchini Marekani.Upendo akitia saini cheti cha ndoa.Rashid akitia...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

RASHID NA UPENDO WAMEREMETA KWENYE SHEREHE YA HARUSI YAO COLUMBIA

Bwana na Bi Harusi Rashid na Upendo wakiwa ndani ya gari ndefu walipowasili kwenye ukumbi wakijiandaa kuingia ukumbini kwenye sherehe ya harusi yao iliyofanyika siku ya Ijumaa Februari 13, 2015 Columbia, Maryland nchini Marekani.Rashid na Upendo wakiingia ukumbini.Maharusi na wasimamizi wao wakiwa ukumbini.Rashid na Upendo wakiwa  meza kuu.Upendo akimlisha keki mumewe.Rashidakimlisha keki mkewe.Maharusi wakinyeshana kanywaji kepesi.Maharusi wakicheza dansi yao ya kwanza.Dennis Mdoe kaka wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Mahojiano na Linda Bezuidenhout (LB) Pt I

Karibu katika sehemu ya kwanza ya mahojiano na mbunifu wa kimataifa wa mitindo mwenye asili ya Tanzania, Linda Bezuidenhout.
Ameeleza mengi ikiwa ni pamoja na historia yake kwa ufupi, safari yake kwenda nje ya nchi, alivyorejea na kuanza harakati zake za mitindo.
Nani alimfanya ashawishike na fani hii?
Maisha yake kimahusiano je?
Familia yake sasa na inavyokabiliana na kazi zake?
KARIBU

 

10 years ago

Vijimambo

THE EXTRAORDINAIRE DESIGNER LINDA BEZUIDENHOUT

THE EXTRAORDINAIRE DESIGNER LINDA BEZUIDENHOUT AMEFUNGA MWAKA KWENYE HOTEL YA RITZ CARLTON YA ATLANTA KWENYE TAFRIJA YA US-NIGERIA Community Development & Investment Forum Dinner Jumatano iliopita Dec 10, 2014, ilioandaliwa na AFRICAN LEADERSHIP MAGAZINE.
Click soma zaidi for more photos

 

10 years ago

TheCitizen

MUSINGS:When I met my ‘Linda Otieno’

Sometime last year a picture of a certain Police woman in Kenya went viral on the Internet, she was quite a sight to behold!

 

10 years ago

Vijimambo

AWARD WINNING DESIGNER LINDA BEZUIDENHOUT

AWARD WINNING DESIGNER LINDA BEZUIDENHOUT AKIWA KWENYE SUIT YAKE WAKATI WA MAANDALIZ YA FASHION EXPERIENCE ALIOIFANYA KWENYE AWARDS CEREMONY YA AFRICAN LEADERSHIP MAGAZINE JIJINI ATLANTA JUMATANO ILIOPITA. MORE PHOTOS TO COME …

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rais Kikwete linda historia yako

NILIWAHI kuandika waraka kwa Rais Kikwete uliotoka katika gazeti hili Oktoba 20, mwaka jana kabla ya Bunge Maalumu la Katiba kuanza. Katika waraka huo pamoja na mambo mengine, nilimshauri Rais...

 

10 years ago

Vijimambo

Pt II ya mahojiano na Linda Bezuidenhout kesho....USIKOSE

 Kesho Jumatatu tutakuletea sehemu ya pili na ya mwisho ya mahojiano na mwanamitindo mbunifu Linda Bezuidenhout (LB) kutoka Atlanta, Georgia.
Ameeleza mengi kuhusu kazi yake na familia kwa ujumla.
Anavyokabiliana na kazi zake, changamoto za afanyalo, tuzo alizopata nk
Na pia, kaeleza kuhusu mtazamo wake juu ya waTanzania (hasa wa Diaspora) na ushauri kwa kinamama wote
 USIKOSE mahojiano yaliyofanywa na mwakilishi wa Vijimambo na Kwanza production Michigan Alpha Igogo ambae alitaka kujua...

 

10 years ago

Michuzi

Mahojiano na Linda Bezuidenhout (LB) sehemu ya kwanza

Karibu katika sehemu ya kwanza ya mahojiano na mbunifu wa kimataifa wa mitindo mwenye asili ya Tanzania, Linda Bezuidenhout ameeleza mengi ikiwa ni pamoja na historia yake kwa ufupi, safari yake kwenda nje ya nchi, alivyorejea na kuanza harakati zake za mitindo, nani alimfanya ashawishike na fani hii? Maisha yake kimahusiano je? Familia yake sasa na inavyokabiliana na kazi zake? KARIBU

 

10 years ago

Vijimambo

Mahojiano na mbunifu mavazi Linda Bezuidenhout (LB) Pt II

Karibu katika sehemu ya pili na ya mwisho ya mahojiano na mbunifu wa kimataifa wa mitindo mwenye asili ya Tanzania, Linda Bezuidenhout
 Ameeleza mengi kuhusu kazi yake na familia kwa ujumla.
Anavyokabiliana na kazi zake, changamoto za afanyalo, tuzo alizopata nk
Na pia, kaeleza kuhusu mtazamo wake juu ya waTanzania (hasa wa Diaspora) na ushauri kwa kinamama wote
KARIBU

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani