Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEC INASIMAMIA WATENDAJI WAKE KUHAKIKISHA UCHAGUZI HAUHARIBIKI -MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekuwa ikifuatilia utendaji kazi wa watendaji wake ili kuhakikisha kuwa hakuna uzembe wa aina yoyote unatokea na kusababisha kuharibika kwa uchaguzi.
Amesema Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, zikisomwa pamoja na Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai na Sheria ya Ushahidi na kwa kuzingatia Sheria na Kanuni za Utumishi wa Umma, ikithibitika kuwa mtumishi husika ameharibu uchaguzi na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

NEC yalalamikiwa utendaji wake kuelekea uchaguzi

Mtandao wa Asasi za Kiraia za Uchaguzi Tanzania (TACCEO) unaoratibiwa na kituo cha Sheria na Haki za Binadamu umeilalamikia Tume ya Uchaguzi (NEC) kwa kushindwa kuweka hadharani daftari la kudumu la wapiga kura na vituo vya kupigia kura mapema.

 

9 years ago

Mtanzania

Tume yatakiwa kuhakikisha uchaguzi wa haki, usawa

Nigerian+President+Goodluck+JonathanNa Wandishi Wetu, Dar es Salaam

TUME ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama imetakiwa kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa haki na usawa  kuepuka machafuko  yasitokee nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari   Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Madola, Goodluck Jonathan, alisema kufanikiwa kwa uchaguzi huo kunategemea  kuwapo  uwazi, haki na kufuata  misingi ya utawala bora.

Alisema ili kuhakikisha amani inakuwapo...

 

9 years ago

Mwananchi

Lubuva: Mabadiliko ya watendaji NEC ni ya kawaida

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),Jaji Mstaafu Damian Lubuva ametetea uteuzi wa viongozi wapya ndani ya tume huku akisema wanasiasa hawatakiwi kuingilia mambo hadi jikoni.

 

11 years ago

Michuzi

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHAKIKISHA INAWEKA MIUNDOMBINU MIZURI KWA WALEMAVU.


Na John Gagarini, Kibaha.
TUME ya Taifa ya Uchaguzi Nchini (NEC) imesema kuwa itahakikisha kuwa inaweka miundombinu mizuri kwa watu wenye ulemavu wakati wa uboreshaji wa zoezi la Daftari la Kudumu la Wapiga Kura litakalofanyika hivi karibuni.
Kutokana na umuhimu wa zoezi hilo Tume imejipanga kuhakikisha kila kundi ndani ya jamii ikiwemo ile ya walemavu wanashiriki kikamilifu zoezi hilo ambalo litaambatana na utoaji wa vitambulisho vipya vya wapiga kura vitakavyotumika kwenye wakati...

 

5 years ago

BBCSwahili

Dagmar alipiga fidla ili kuhakikisha kuwa sehemu muhimu ya ubongo wake haiharibiwi

Dagmar alipiga fidla ili kuhakikisha kuwa sehemu muhimu ya ubongo wake inayomuzesha kuchezesha mikono haiharibiwi

 

9 years ago

CCM Blog

PICHA RASMI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MAMA MARY MAJALIWA

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa
Mke wa waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa

 

10 years ago

Michuzi

Mkuu wa Mkoa wa Arusha aikabidhi ngao Vodacom Tanzania kwa kutambua mchango wake kuhakikisha usalama barabarani

Mkuu wa mkoa wa Arusha Bw.Magessa mulongo, akimkabidhi ngao Ofisa Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Georgia Mutagahywa kwa kutambua mchango na jitihada za Vodacom kuhakikisha usalama barabarani,ngao hiyo ilikabidhiwa wakati wa kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama barabarani yamefanyika kitaifa mkoani Arusha,kampuni ya Vodacom ni moja wa wadhamini wakubwa wa wiki ya nenda kwa usalama barabarani mwaka huu Ofisa Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom...

 

10 years ago

Michuzi

CHAMA CHA CCM KINAKABILIWA NA KAZI KUBWA YA KUHAKIKISHA KINASHIDA UCHAGUZI WA MWAKA HUU-BALOZI SEIF ALI IDDI.

Mke wa Mbunge wa Kitope Mama Asha Suleiman Iddi akiwanasihi wazazi kuendelea kuwaonyesha njia watoto wao wakati akizungumza kwenye mkutano wa ccm wa Matawi ya Kumbaurembo na Cairo katika Kijiji cha Kiwengwa ndani ya Jimbo la Kitope.Kulia ya Mama Asha ni Mbunge wa Jimbo la Kitope ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akimjuilia Hali Muwasisi wa ASP na Muanzilishi wa CCM Bibi Fatma Suleriman Sio Katika Kijiji cha Kiwengwa.

 

11 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AFUTARISHA WATENDAJI WAKE


 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akifutarisha watendaji wa Ofisi yake nyumbani kwake Mbweni Zanzibar. Miongoni mwao ni Watu Wenye Ulemavu wa aina mbali mbali. Picha na Salmin Said, OMKR


 Watendaji wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar wakijiandaa kufuturu  Mbweni Zanzibar. Watendaji wa Ofisi ya MAkamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar wakifuturu Mbweni Zanzibar. 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani