Necta kutoa vyeti mbadala kwa Sh100,000
Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limetangaza kuanza kutoa vyeti mbadala kwa gharama ya Sh100,000 kwa wote ambao vyeti vyao vimeharibika kiasi cha kutofaa kwa matumzi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima31 Aug
NECTA kutoa matokeo kwa mfumo wa GPA
BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA), limetangaza mfumo mpya wa upangaji wa madaraja ya ufaulu kwa kutumia wastani wa pointi (GPA) ambao utaanza kutumika katika mtihani wa kidato cha nne...
11 years ago
Habarileo24 Mar
NECTA: Picha kwenye vyeti zimepunguza kughushi
BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA), limesema tangu kuanza mfumo wa kuweka picha kwenye vyeti vya kidato cha nne na sita kumepunguza kwa kiwango kikubwa vitendo vya kughushi.
10 years ago
Mwananchi16 Oct
Mtaji wa Sh100,000 unaolenga kuokoa mamilioni
10 years ago
Habarileo18 Dec
Magereza kuanza kutoa vyeti kwa wafungwa wataalamu
JESHI la Magereza nchini liko mbioni kuanza kutoa vyeti vya ufundi stadi kwa wafungwa wanaomaliza muda wao wa kutumikia vifungo magerezani.
10 years ago
Mwananchi27 Feb
Rita kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa wanafunzi shule za msingi
10 years ago
MichuziRITA wazindua mkakati wa Usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi Wilaya ya Kinondoni
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA AZINDUA MKAKATI WA USAJILI NA KUTOA VYETI VYA KUZALIWA KWA WATOTO WA MWANZA
10 years ago
Dewji Blog06 May
Wakala wa usajili ufilisi na udhamini (RITA) yasajili na kutoa vyeti 5,081 kwa shule zote za wilaya ya Kinondoni jijini Dar
Msajili wa Vizazi na Vifo wa Wilaya ya Kinondoni, Mariam Ling’ande (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu maendeleo ya kampeni ya usajili na utoaji wa vyeti vya kuzaliwa kwa wanafunzi wa shule za msingi katika Wilaya ya Kinondoni. Kushoto ni Meneja Masoko Mawasiliano Elimu kwa Umma wa Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA), Josephat Kimaro.
Meneja Masoko Mawasiliano Elimu kwa Umma wa Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA),...
10 years ago
VijimamboWAKALA WA USAJILI UFILISI NA UDHAMINI (RITA) YASAJILI NA KUTOA VYETI 5,081 KWA SHULE ZOTE ZA WILAYA YA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM
Msajili wa Vizazi na Vifo wa Wilaya ya Kinondoni, Mariam Ling'ande (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu maendeleo ya kampeni ya usajili na utoaji wa vyeti vya kuzaliwa kwa wanafunzi wa shule za msingi katika Wilaya ya Kinondoni. Kushoto ni Meneja Masoko Mawasiliano Elimu kwa Umma wa Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA), Josephat Kimaro. Meneja Masoko Mawasiliano Elimu kwa Umma wa Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA),...