Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nelly Muosha Magari wa Posta-20

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale sharobaro Nelly apomuuliza Doreen, Anne alikwenda wapi ndipo msichana huyo alimfahamisha kwamba licha ya Anne kuwa ni msichana wa kazi, baba yake alimpeleka chuo cha kompyuta na pale nyumbani alibaki peke yake. Je, kilifuatia nini? Songa mbele na utamu huu…

“Da! Kumbe baba yako ana roho nzuri sana, anamsomesha hata hausigeli?” Nelly alimwambia Doreen lakini ukweli ni kwamba alikuwa amefurahi kutokuwepo kwa Anne.
“Yea, hapendi akitoka hapa kwetu...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Nelly Muosha Magari wa Posta-19

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale sharobaro Nelly alipoulizwa na fundi Yassin alijisikiaje kufanya kazi ya ufundi ambapo kijana huyo alimwambia alijisikia vizuri kwani mtoto wa kiume hapaswi kuchagua kazi. Je, kilifuatia nini? Songa mbele na utamu huu…

“Kama ni hivyo, poa sana tena kadiri tutakavyokuwa pamoja nitakufundisha kazi kibao,” fundi Yassin alimwambia Nelly.

Kwa kuwa gari lilikuwa likienda kwa kasi, kufumba na kufumbua walifika Tegeta ambapo walipanda basi la kuelekea...

 

9 years ago

Global Publishers

Nelly Muosha Magari wa Posta-21

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Haruni aliyeshangazwa na tabia ya usharobaro wa Nelly alipomwambia Zakayo kwamba alihisi Nelly alikwishakuwa mwenyeji kuliko wao ndipo Zakayo akamwuliza alimaanisha nini?

Je, alipewa jibu gani?

Songa mbele na utamu huu…

“Hivi sisi tangu tulipoanza kazi hapa miezi miwili sasa na ushee tumewahi kuingia hata jikoni kwa bosi?” Haruni alimwuliza Zakayo.

Zakayo alimwambia hawakuwahi kisha alimfahamisha kwa jinsi alivyomuona, Nelly alikuwa ametoka ndani...

 

9 years ago

Dewji Blog

Posta waadhimisha Siku ya Posta Duniani jijini Dar es Salaam

Wafanyakazi na wadau wa Shirika la Posta nchini (TPC), wa ndani na nje ya nchi wakiwa katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani kwenye jengo la Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), jijini Dar es Salaam jana. Maadhimisho hayo, huadhimishwa duniani kote Oktoba 9. (Picha zote na Kassim Mbarouk- www.bayana.blogspot.com)

Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Elia Madulesi (kulia), akiteta jambo na mmoja wa Maofisa wa shirika hilo, wakati...

 

11 years ago

Michuzi

Tamasha la Magari Tanzania (Autofest) limerudi na Matoleo Mapya ya Magari

Likirudi kwa mwaka wake wa saba, tamasha la magari Tanzania (autofest) litakua likionyesha magari mapya, matoleo mapya ya pikipiki, burudani za muziki kutoka kwa wasanii mbalimbali wa nchini na burudani nyingine za kusisimua kwa ajili ya familia nzima kuanzia Septemba 19-21, 2014. Tamasha la mwaka huu ambalo linaandaliwa na Vision Investment, litafanyika katika viwanja vya Biafra, Kinondoni. Anayetarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi ni Mhe. Dk Abdallah O. Kigoda, Waziri wa...

 

9 years ago

Bongo5

New Video: Nelly ft. Jeremih — The Fix

Nelly ameachia video mpya, ni ya wimbo ambao kamshirikisha Jermih – The Fix. ‘The Fix’ inaingia kwenye orodha ya nyimbo ambazo zimetumia sample ya hits za kitambo, wakiwa wamekutumia chorus ya ‘Sexual Healing’ ya Marvin Gaye. Kwa sasa Nelly yuko studio akikamilisha album yake ya 8. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Dawa za kulevya:Nelly mashakani

Mshindi wa tuzo ya Grammy mwanamuziki Cornell Haynes ama kwa jina maarufu Nelly amekamatwa na shtaka la mihadarati .

 

9 years ago

Africanjam.Com

NEW VIDEO: NELLY - THE FIX ft. JEREMIH (Watch it here)




Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Technology tips and some Amazing Facts. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

9 years ago

GPL

NELLY KAMWELU AWASHANGAA WANAOSEMA KACHUJA

Miss Universe 2011, Nelly Kamwelu amewashangaa watu wanaodhani kukaa kwake kimya kachuja na kusema kuwa bado analipa na anavutia. Akichezesha taya na Amani, Nelly alisema kuwa bado yupoyupo sana na kwa sasa anajishugulisha na mambo ya urembo ambapo anapata tenda za kuonesha mitindo katika nchi mbalimbali.   ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1EY9bn1 ...

 

11 years ago

GPL

NELLY KIM KUTUMIA MAUTUNDU YA KANUMBA

Stori: Mwandishi Wetu
MSANII wa filamu za Kibongo, Kimlola Kimlola ‘Nelly Kim’ amesema anajivunia sana kufanya sinema nyingi na marehemu Steven Kanumba na kwamba amejipanga kufuata nyayo zake ili aweze kufanikiwa kwa kutumia kipaji chake. Marehemu Kanumba. Akizungumza na Stori Mix, Nelly Kim alisema: “Nafurahi kufanya kazi na marehemu Kanumba. Nimecheza naye zaidi ya sinema 20 pale kwa Mtitu Game....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani