Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Netanyahu ashutumu Palestina na Hamas

Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amewataka Waisrael kuungana bila kujichukulia sheria mkononi mwao.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Netanyahu atibua hisia kali Palestina

Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekosolewa baada ya kudai kuwa kiongozi wa kidini mpalestina alimshawishi Hitler kutekeleza maauaji ya kimbari ya wayahudi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Netanyahu apinga Palestina kuunda taifa

Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema kamwe taifa la Palestina halitaundwa akiwa bado madarakani

 

9 years ago

Dewji Blog

UN wakishirikiana na Ubalozi wa Palestina wafanya maadhimisho ya siku ya kimataifa ya mshikamano na watu wa Palestina

 Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Abdallah Kilima (katikati), Kaimu Balozi wa Palestine Derar Ghannam (kulia) pamoja na Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Dkt. Yassir Mohammed Ali wakikata utepe kwa ajili ya maonesho ya picha za matukio mbalimbali yanayoendelea nchini Palestina hiyo  ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mshikamano na watu wa Palestina yaliyofanyika katika Chuo cha Diplomasia, Kurasini...

 

10 years ago

Michuzi

Mabalozi mbalimbali wakisaini kitabu cha maombolezo ofisi za ubalozi wa Palestina kufuatia kifo cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais nchini Palestina, Ziad Abu Ein

 Balozi wa Sudan nchini, Dr Yassir Mohamed Ali akijiandaa kusaini kitabu cha maombolezo ofisi za ubalozi wa Palestina Tanzania eneo la upanga Dar es Salaam leo, kufuatia kifo cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais nchini Palestina, Ziad Abu Ein, aliyefariki Jumatano wiki hiiBalozi wa Iran nchini, Mehd Aghajafari akisaini kitabu cha maombolezo ofisi za ubalozi wa Palestina Tanzania eneo la upanga Dar es Salaam leo, kufuatia kifo cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais nchini Palestina, Ziad Abu Ein,...

 

9 years ago

BBCSwahili

Machar ashutumu jeshi la serikali

Kiongozi wa waasi nchini Sudan Kusini amewashutumu wanajeshi wa serikali kwa kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano

 

10 years ago

BBCSwahili

Lavrov ashutumu mataifa ya magharibi

Waziri wa mambo ya kigeni wa Urusi, asema mataifa ya magharibi yanaazimia kuondoa madarakani serikali ya Urusi

 

11 years ago

BBCSwahili

Putin ashutumu mapinduzi nchini Ukraine

Rais Vladimir Putin wa Urusi amesema ukiukaji wa katiba ndiyo chanzo cha ghasia nchini Ukraine

 

11 years ago

Habarileo

Jaji Mkuu ashutumu kuchomwa Mahakama

MAHAKAMA nne za Mwanzo nchini zimechomwa moto katika matukio tofauti kwa kipindi cha mwaka juzi hadi mwaka huu jambo lililosababisha wananchi kukosa huduma na kuchelewesha upatikanaji wa haki. Jaji Mkuu Othman Chande alisema hayo hivi karibuni wakati akizungumzia siku ya Sheria dunia itakayofanyika kesho kutwa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Papa ashutumu mapadri walawiti Kanisani

Papa Francis, amewasili Roma baada ya kukamilisha ziara yake ya siku tatu Mashariki ya Kati.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani