Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEW AUDIO: GODZILLA FT G NAKO – NISOME

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

New Music: Zachaa ft Diamond Platnumz & Godzilla – Mtoto wa Mama

Sikiliza ngoma mpya kutoka kwa Producer Zachaa wa MJ Records, iitwayo ‘Mtoto wa Mama’ humu akiwa amewashirikisha Godzilla na Diamond Platnumz ambaye amerap. Sikiliza halafu toa maoni yako.

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Rabbit Ft Joh Makini & G Nako – Najipendelea

Rapper mkali kutoka Kenya Rabbit amefanya kazi na wasanii wakali kutoka Tanzania, Weusi Joh Makini na G Nako wimbo unaitwa ‘Najipendelea’ Producer Sappy

 

9 years ago

MillardAyo

Godzilla anayo furaha kukualika kusikiliza hii single yake mpya…-‘I get high’ (+Audio)

Dec 15 2015 msanii Golden Mbunda a.k.a Godzilla anayefanya poa katika miondoko ya Hip Hop hapa nchini amekuja na hii zawadi ya funga mwaka aliyoipa jina la I get high iliyotengenezwa chini ya mikono ya Producer Pancho Latino. Ukitaka kuipata kwa urahisi ngoma hii unaweza  kubonyeza kwenye link hii hapa>>bit.ly/iGetHigh Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa […]

The post Godzilla anayo furaha kukualika kusikiliza hii single yake mpya…-‘I get high’ (+Audio) appeared first on...

 

10 years ago

Michuzi

Enjoy Bou Nako's "Ni shida" (Audio) single via Mkitodotcom

Download Single Mpya "Bou Nako-Ni Shida" HAPA https://mkito.com/song/ni-shida/9462Powered by @mkitodotcom @vmgafrica www.vmgafrica.com

 

9 years ago

Bongo5

Video: Izzo Bizness Ft Mwana FA & G-Nako – Shem Lake

cats

Rapper kutoka Mbeya City Izzo Bizness ameachia video yake mpya ya wimbo “Shem Lake”, amewashirikisha Mwana FA na G-Nako, Video imeongozwa na Khalfani Khalmandro.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

New Music: Izzo Bizness f/ Mwana FA & G-Nako – Shem Lake

Rapper Izzo Bizness ameachia ngoma yake mpya aliyowashirikisha Mwana FA na G-Nako, ‘Shem Lake.’ Idownload hapo chini. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani