Godzilla anayo furaha kukualika kusikiliza hii single yake mpya…-‘I get high’ (+Audio)
Dec 15 2015 msanii Golden Mbunda a.k.a Godzilla anayefanya poa katika miondoko ya Hip Hop hapa nchini amekuja na hii zawadi ya funga mwaka aliyoipa jina la I get high iliyotengenezwa chini ya mikono ya Producer Pancho Latino. Ukitaka kuipata kwa urahisi ngoma hii unaweza kubonyeza kwenye link hii hapa>>bit.ly/iGetHigh Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa […]
The post Godzilla anayo furaha kukualika kusikiliza hii single yake mpya…-‘I get high’ (+Audio) appeared first on...
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo19 Dec
Ni muda wa kuwasikiliza Yamoto Band kwenye single yao mpya….-‘Mama’ (+Audio)
Watoto kutoka kwenye familia ya Mkubwa na Wanawe TMK time hii wametusogezea single yao mpya iitwayo Mama wamemshirikisha Zena. Nakukaribisha kwenye link hii mtu wangu, unaweza kuisikiliza kwenye link ya Mkito >>> Mama Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK […]
The post Ni muda wa kuwasikiliza Yamoto Band kwenye single yao mpya….-‘Mama’ (+Audio) appeared first on...
10 years ago
Bongo511 Nov
Illuminati? Godzilla aeleza undani wa single yake mpya ‘Illuminaughty’
9 years ago
MillardAyo23 Dec
Yemi alade kaisambaza hii single mpya aliyoimba kwa kiswahili..(+Audio)
Ni headlines za msanii kutoka Nigeria, Yemi Alade ambaye time hii ameamua kutuletea hii single ya ‘Na Gobe’ (Swahili Version) ambayo ameimba kwa lugha ya kiswahili ili watu wake wa East Africa waweze kumuelewa vizuri zaidi. Kukutana nayo bonyeza play hapa chini ikupeleke moja kwa moja, pia usiache kuniandikia maoni yako baada ya kuisikiliza version […]
The post Yemi alade kaisambaza hii single mpya aliyoimba kwa kiswahili..(+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo17 Dec
TID katuletea hii single mpya ‘Banjo’ amewashirikisha Country Boy, Bill Nas….(+Audio)
Ni time ya kuisikiliza hii single mpya ya TID iitwayo ‘Banjo’ akiwa amewashirikisha Country Boy na Bill Nas. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye […]
The post TID katuletea hii single mpya ‘Banjo’ amewashirikisha Country Boy, Bill Nas….(+Audio) appeared first on...
9 years ago
MillardAyo23 Dec
Mabibi na Mabwana Quick Rocka katuletea hii single mpya ‘Queen’ isikilize hapa,…(+Audio)
Ni time ya kusikiliza hii single mpya ya msanii kutokea 87.8 Mbeya City, Quick Rocka wimbo unaitwa Queen. Nakukaribisha kwenye link hii mtu wangu, unaweza kuisikiliza kwenye link ya Mkito HAPA..>>> Quick Rocka ‘Queen’ Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa […]
The post Mabibi na Mabwana Quick Rocka katuletea hii single mpya ‘Queen’ isikilize hapa,…(+Audio) appeared first on...
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Wasanii Bongo kulipwa kwa nyimbo zao kuchezwa kwenye Tv na Radio? majibu anayo Waziri…(+Audio)
Tumekuwa tukishuhudia au kusikia baadhi ya wasanii wa ng’ambo wakinufaika kwa namna tofauti katika sanaa zao kwa kupitia nyimbo zao kuchezwa kwenye vituo vya Radio na Tv kisha kulipwa mkwanja mrefu na kukuza uchumi kupitia vipaji vyao. Sasa leo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye ana haya ya kukufahamisha kuhusu wasanii wa […]
The post Wasanii Bongo kulipwa kwa nyimbo zao kuchezwa kwenye Tv na Radio? majibu anayo Waziri…(+Audio) appeared first on...
11 years ago
Michuzi12 Jun
11 years ago
GPL12 Jun