Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Illuminati? Godzilla aeleza undani wa single yake mpya ‘Illuminaughty’

Wiki Godzilla anaachia ngoma kadhaa ukiwemo wimbo rasmi uitwao ‘Karibu Yako’ uliotayarishwa na Lamar pamoja na wimbo usio rasmi uitwao ‘Illuminaughty’. Godzilla amedai kuwa pamoja na Illuminaughty kufanana na Illuminati ambayo huhusishwa na shetani, watu wasiogope kwakuwa anachohitaji ni kufikisha ujumbe wake kwa jamii. “Unajua kuna wazazi ukiwapelekea mke unakuta yale mavazi ya vimini, kujipodoa, […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Godzilla anayo furaha kukualika kusikiliza hii single yake mpya…-‘I get high’ (+Audio)

Dec 15 2015 msanii Golden Mbunda a.k.a Godzilla anayefanya poa katika miondoko ya Hip Hop hapa nchini amekuja na hii zawadi ya funga mwaka aliyoipa jina la I get high iliyotengenezwa chini ya mikono ya Producer Pancho Latino. Ukitaka kuipata kwa urahisi ngoma hii unaweza  kubonyeza kwenye link hii hapa>>bit.ly/iGetHigh Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa […]

The post Godzilla anayo furaha kukualika kusikiliza hii single yake mpya…-‘I get high’ (+Audio) appeared first on...

 

9 years ago

Bongo5

Godzilla aeleza kwanini video ya ‘Stay’ imechelewa kutoka

Godzilla amesema ameshindwa kufanya maandalizi ya video ya wimbo wake ‘Stay’ kutokana na watu wengi kuwa busy na masuala ya uchaguzi. Godzilla ameiambia Bongo5 kuwa mashabiki wengi wa muziki wameelekeza macho na masikio yao kwenye matokeo ya uchaguzi na hivyo kutokuwa na muda wa kufuatilia muziki kwa ukaribu. “Sasa hivi hata ukiupdate kitu unakuta respond […]

 

5 years ago

Bongo5

Barakah The Prince aeleza kuhusu ujio wa albamu yake mpya

Msanii wa muziki kutoka RockStar4000, Barakah The Prince amewataka mashabiki wa muziki wake kukaa mkao wa kula kwaajili ya ujio wa albamu yake ya kwanza.

Muimbaji huyo amesema albamu hiyo huwenda ikatoka katikati ya mwaka huu au mwisho wa mwaka kutegemea na maandalizi na uwamuzi wa label yake.

“Albamu yangu ya kwanza inatoka chini ya RockStar4000 na itatoka mwaka huu katikati au mwishoni,” Barakah The Prince alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EATV.

Alisema kila msanii wa label hiyo ana...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Adele aachia single mpya ‘Hello’ na tracklist ya album yake ijayo ‘25’

Mwimbaji wa Uingereza, Adele amerejea na wimbo mpya, video mpya pamoja na album mpya anayotarajia kuitoa mwezi ujao. ‘Hello’ ndio single yake ya kwanza aliyoiachia kutoka kwenye album yake mpya. Album hiyo iitwayo ‘25’ itatoka November 20. Track list to Adele’s ‘25’: 1. Hello 2. Send My Love (To Your New Lover) 3. I Miss […]

 

9 years ago

Bongo5

Mo Music kuachia single mpya ‘Skendo’ kwenye birthday yake Nov.14

Mo Music skendo

Msanii aliyewashtua mashabiki wa muziki wa Bongo Fleva kwa single yake ya kwanza ‘Basi Nenda’ mwaka jana, ambayo ilikuja kuwa kama ‘wimbo wa taifa’ kwa jinsi ilivyokubalika, Mo Music anarudi na single mpya iitwayo ‘Skendo’.

Mo Music skendo

Novemba 14 ni birthday ya mwimbaji huyo ambaye jina lake halisi ni Moshi Katemi kutoka Mwanza, na ndio ameichagua kuwa siku ya kuiachia single hiyo ya tano baada ya ‘Nitazoea’.

‘Skendo’ imeandikwa na kutayarishwa na producer Lollipop ambaye ndiye aliyehusika na uandishi...

 

10 years ago

Vijimambo

MSANI ERICA LULAKWA AIBUKA NA SINGLE YAKE MPYA "HONGERA WANAWAKE"



Kwa ubora wa Single ya Hongera Wanawake pakua hapa  
iTune :- http://itunes.apple.com/album/id975646987
Mkito :- https://mkito.com/song/hongera-wanawake/13611

Maelezo zaidi kuhusu msani Erica tembelea tovuti yake binafsi  http://www.ericalulakwa.com  

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani