Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Music: Madee ft. Dj Maphorisa — Vuvula

Wimbo mpya kutoka kwa Rais wa Manzese Madee amemshirikisha Dj Maphorisa kutoka kundu la Uhuru wimbo unaitwa “Vuvula” Producer Uhuru

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Jamtz.Com

10 years ago

Bongo5

Video: Angalia kionjo cha video mpya ya Madee ‘Vuvula’

Rais wa Manzese, Madee atafanya uzinduzi wa video ya wimbo wake mpya Vuvula February 7 kwenye kiota cha Escape One, Mikocheni jijini Dar es Salaam. Hata hivyo kipande kifupi alichoweka meneja wa Tip Top Connection, Babu Tale kwenye Instagram kimevutia comments nyingi kutoka kwa mashabiki waliohoji kuhusu msichana anayecheza jikoni akiwa na nguo zenye utata […]

 

9 years ago

Bongo5

Music: Dj Maphorisa Ft Ntaoleng — Sweet Love

DJs mkubwa kutoka nchini South Africa maarufu kwa jina la DJ Maphorisa ameachia Collabo yake na Ntaoleng wimbo unaitwa “Sweet Love”. Produced by the DJ himself Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Michuzi

Julio batalia show 2015 escape 1..Release of Vuvula and Kaunyaka video

Performance ya Julio Batalia kwenye Show iliyofanyika escape 1 tarehe 7 february j'mosi kwenye Utambulisho wa Video mbili Kaunyaka ya Chege na Temba na Vuvula ya Madee ali.video zilizotengenezwa na director Adam Juma...Julio aliperfom ngoma zake mbili "Haina Noma" na "Special for you" na pia kuwapa kionjo cha ngoma yake mpya inayoitwa (Tetemesha) ambayo imefanyika wakati wa safari ya South Africa akiwa na Chege,Madee na Temba na kufanikisha kurekodi na producer mkubwa Dj maphorisa wa UHURU...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Dj Maphorisa Ft Wizkid & Dj Buckz – Soweto Baby

mapo

Video mpya ya Dj Maphorisa na Producer kutoka Kundi la Uhuru la Africa Kusini, Amewashirikisha Wizkid & Dj Buckz. Wimbo unaitwa “Soweto Baby”.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani