Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DOWNLOAD : MADEE - #VUVULA

Tweet

Jamtz.com

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

New Music: Madee ft. Dj Maphorisa — Vuvula

Wimbo mpya kutoka kwa Rais wa Manzese Madee amemshirikisha Dj Maphorisa kutoka kundu la Uhuru wimbo unaitwa “Vuvula” Producer Uhuru

 

10 years ago

Bongo5

Video: Angalia kionjo cha video mpya ya Madee ‘Vuvula’

Rais wa Manzese, Madee atafanya uzinduzi wa video ya wimbo wake mpya Vuvula February 7 kwenye kiota cha Escape One, Mikocheni jijini Dar es Salaam. Hata hivyo kipande kifupi alichoweka meneja wa Tip Top Connection, Babu Tale kwenye Instagram kimevutia comments nyingi kutoka kwa mashabiki waliohoji kuhusu msichana anayecheza jikoni akiwa na nguo zenye utata […]

 

10 years ago

Michuzi

Julio batalia show 2015 escape 1..Release of Vuvula and Kaunyaka video

Performance ya Julio Batalia kwenye Show iliyofanyika escape 1 tarehe 7 february j'mosi kwenye Utambulisho wa Video mbili Kaunyaka ya Chege na Temba na Vuvula ya Madee ali.video zilizotengenezwa na director Adam Juma...Julio aliperfom ngoma zake mbili "Haina Noma" na "Special for you" na pia kuwapa kionjo cha ngoma yake mpya inayoitwa (Tetemesha) ambayo imefanyika wakati wa safari ya South Africa akiwa na Chege,Madee na Temba na kufanikisha kurekodi na producer mkubwa Dj maphorisa wa UHURU...

 

10 years ago

GPL

MADEE ALIVYOSOTESHWA POLISI

Na Waandishi Wetu
Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva a.k.a Rais wa Manzese, Hamad Ally ‘Madee’ hivi karibuni alilala katika Kituo cha Polisi cha Kigamboni, Dar  akihusishwa na utekaji wa dereva wa bodaboda, Suedi Waziri (pichani) kisha kumpa kipigo ambapo inadaiwa alisoteshwa kinomanoma. Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva a.k.a Rais wa Manzese, Hamad Ally ‘Madee’ akiwa mikononi mwa Polisi. Baada ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ramadhani yambadili Madee

KIONGOZI wa kundi la Tip Top Connection lenye maskani yake Manzese jijini Dar es Salaam, Ahmad Ally ‘Madee’ amewataka Waislamu wote kufunga mwezi huu mtukufu wa Ramadhani na wajiepushe na...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani