Ramadhani yambadili Madee
KIONGOZI wa kundi la Tip Top Connection lenye maskani yake Manzese jijini Dar es Salaam, Ahmad Ally ‘Madee’ amewataka Waislamu wote kufunga mwezi huu mtukufu wa Ramadhani na wajiepushe na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo504 Jul
Madee auzungumzia mwezi wa Ramadhani, ‘kikubwa ni tufanye ibada’
Muimbaji wa Tip Top Connection, Hamad Ali aka Madee amewatakia Ramadhan Kareem Waislamu wote waliobahatika kufunga pamoja na kuelezea umuhimu wa mwezi huu kwa waislam. Hamad Ali aka Madee Akizungumza na Bongo5 leo, Madee ambaye kwa mwezi huu amesema anapenda atambulike zaidi kwa jina la Hamad Ali, amewataka waislam wote kufunga Ramadhani na wajiepushe na […]
11 years ago
GPL
11 years ago
Michuzi04 Jul
10 years ago
Jamtz.Com
11 years ago
GPL03 Jul
11 years ago
GPL
MADEE ALIVYOSOTESHWA POLISI
Na Waandishi Wetu
Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva a.k.a Rais wa Manzese, Hamad Ally ‘Madee’ hivi karibuni alilala katika Kituo cha Polisi cha Kigamboni, Dar akihusishwa na utekaji wa dereva wa bodaboda, Suedi Waziri (pichani) kisha kumpa kipigo ambapo inadaiwa alisoteshwa kinomanoma. Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva a.k.a Rais wa Manzese, Hamad Ally ‘Madee’ akiwa mikononi mwa Polisi. Baada ya...
10 years ago
GPL25 May
11 years ago
Tanzania Daima08 Jul
Ni Sheeda ya Madee baada ya mfungo
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ahmed Ally ‘Madee’ amesema baada ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, anatarajiwa kukiweka sokoni kibao chake kipya cha ‘Ni Sheeda’. Akizungumza jijini...
10 years ago
Bongo513 Jan
New Music: Madee ft. Dj Maphorisa — Vuvula
Wimbo mpya kutoka kwa Rais wa Manzese Madee amemshirikisha Dj Maphorisa kutoka kundu la Uhuru wimbo unaitwa “Vuvula” Producer Uhuru
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania