Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MADEE ALIVYOSOTESHWA POLISI

Na Waandishi Wetu
Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva a.k.a Rais wa Manzese, Hamad Ally ‘Madee’ hivi karibuni alilala katika Kituo cha Polisi cha Kigamboni, Dar  akihusishwa na utekaji wa dereva wa bodaboda, Suedi Waziri (pichani) kisha kumpa kipigo ambapo inadaiwa alisoteshwa kinomanoma. Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva a.k.a Rais wa Manzese, Hamad Ally ‘Madee’ akiwa mikononi mwa Polisi. Baada ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Jamtz.Com

11 years ago

Michuzi

11 years ago

GPL

11 years ago

Tanzania Daima

Ramadhani yambadili Madee

KIONGOZI wa kundi la Tip Top Connection lenye maskani yake Manzese jijini Dar es Salaam, Ahmad Ally ‘Madee’ amewataka Waislamu wote kufunga mwezi huu mtukufu wa Ramadhani na wajiepushe na...

 

11 years ago

GPL

11 years ago

GPL

MADEE ATINGA GLOBAL TV ONLINE

Msanii kutoka kundi la Tip Top Connection, Hamad Ally 'Madee' akifanya mahojiano na Global TV Online. Madee akifafanua jambo ndani ya studio za Global TV Online.…

 

9 years ago

Mtanzania

Madee: Tuzitumie fursa tunazopata

madeeNA CHRISTOPHER MSEKENA
NYOTA wa Bongo Fleva, Hamad Ally ‘Madee’, amewataka wasanii maarufu kutumia vizuri fursa zinazowazunguka
kama yeye alivyotumia jina lake kuanzisha kampuni ya ukodishaji magari inayoitwa Tiptop Connection Tour.
Akizungumzia biashara hiyo, Madee alisema mpango wa kuanzisha kampuni hiyo ulianza muda mrefu ila mwaka huu ameona afanye kweli kwani biashara hiyo inalipa.
“Ni kampuni ambayo inajihusisha na ukodishaji magari kwa ajili ya watu wote wa ndani na nje ya Dar es...

 

9 years ago

Bongo5

Muziki wa makundi ni miyeyusho – Madee

Madee2

Baada ya bosi wa Tip Top Connection, Babu Tale kuweka wazi msimamo wake wa kutotoa wimbo wa pamoja wa wasanii wa kundi hilo kwa kudai hailipi, mmoja kati ya wasanii wanaounda kundi hilo, Madee amekubaliana na uamuzi huo.

Madee2

Madee ameiambia Bongo5 kuwa wao kama wasanii wa kundi hilo wapo tayari kwa maamuzi yoyote yenye tija kwa kundi lao.

“Unajua sisi tupo chini ya uongozi na kiongozi ni Babu Tale na yeye kashaamua hilo, so mimi siwezi kumbishia kwa sababu yeye ndio ameliona hilo liko sawa....

 

10 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani