Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muziki wa makundi ni miyeyusho – Madee

Madee2

Baada ya bosi wa Tip Top Connection, Babu Tale kuweka wazi msimamo wake wa kutotoa wimbo wa pamoja wa wasanii wa kundi hilo kwa kudai hailipi, mmoja kati ya wasanii wanaounda kundi hilo, Madee amekubaliana na uamuzi huo.

Madee2

Madee ameiambia Bongo5 kuwa wao kama wasanii wa kundi hilo wapo tayari kwa maamuzi yoyote yenye tija kwa kundi lao.

“Unajua sisi tupo chini ya uongozi na kiongozi ni Babu Tale na yeye kashaamua hilo, so mimi siwezi kumbishia kwa sababu yeye ndio ameliona hilo liko sawa....

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Madee adai muziki umekuwa mgumu kutokana na nyimbo kuwa nyingi

Mkali wa ‘Pombe Yangu’, Madee amesema muziki wa sasa ni mgumu kutokana na wasanii kuwa wengi nyimbo nyingi kutoka kwa wakati mmoja. Madee amesema kurundikana kwa nyimbo kunasababisha kuvipa wakati mgumu vituo vya redio na TV kuzipiga kwa wakati stahiki. “Sasa muziki unakuwa mgumu kwa sababu nyimbo zipo nyingi sana,” Madee ameiambia Bongo5. “Yaani kwa […]

 

9 years ago

Dewji Blog

Droo ya makundi ya Euro 2016 yafanyika, hii ndiyo listi kamili ya makundi hayo

uefa euro 2016

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Chama cha Soka cha Ulaya kimefanya droo ya makundi ya mashindano ya Euro 2016 ambayo yanashirikisha nchi 24 kutoka Ulaya na yanatarajiwa kufanyika nchini Ufaransa kuanzia mwezi Juni mwakani. Modewjiblog imekuandalia listi kamili ya hatua hiyo ya makundi;

GROUP A;

Ufaransa

Romania

Albania

Switzerland

GROUP B;

Uingereza

Urusi

Wales

Slovakia

GROUP C;

Ujerumani

Ukraine

Poland

Northern Ireland

GROUP D;

Hispania

Jamhuri ya Czech

Uturuki

Croatia

GROUP E;

Belgium

Italia

Jamhuri...

 

11 years ago

Mwananchi

Miyeyusho ‘ayeyushwa’

>Serikali imelifuta rasmi pambano la ngumi la ubingwa wa dunia kati ya Francis Miyeyusho na Victor Chernous kutoka Ukraine.

 

11 years ago

Mwananchi

Miyeyusho ayayushwa

Pambano la bondia Francis Miyeyusho na Ronald  Pontillas wa Ufilipino lililokuwa lifanyike leo limeahirishwa hadi Aprili 12, kutokana na sababu ambazo ziko juu ya uwezo wa waandaaji.

 

11 years ago

Mwananchi

Miyeyusho ampiga Mkenya KO

>Bondia, Francis  ‘Chichi mawe’ Miyeyusho juzi usiku  aliibuka kinara baada ya kumgaragaza  Joshua Amukulu wa Kenya kwa Knock  Out (KO) raundi ya pili ya pambano  la raundi nane la uzani wa light.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miyeyusho amyeyusha Mkenya

BONDIA Francis Miyeyusho, amemchapa kwa ‘KO’ raundi ya pili, Mkenya Joshua Amukulu katika pambano lao la kufuzu kuwania ubingwa wa dunia wa WBF, lililofanyika ukumbi wa Msasani Club jijini Dar...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miyeyusho amsikilizia Mmarekani

BONDIA Francis Miyeyusho ‘Chichi Mawe’, anaendelea na mazoezi ya kujifua kwa pambano lake la kuwania ubingwa wa dunia wa WBF dhidi ya bondia kutoka Marekani. Miyeyusho alifuzu kucheza pambano hilo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miyeyusho kuzipiga na Mkenya

BONDIA Francis Miyeyusho, amewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi kushuhudia pambano lake dhidi ya Mkenya, David Chalanga, litakalofanyika Ukumbi wa Msasani Club jijini Dar es Salaam, Desemba 31. Mabondia hao wanaotamba...

 

11 years ago

Mwananchi

Miyeyusho kumvaa Mfilipino

Bondia Francis Miyeyusho amebadilishiwa mpinzani na sasa atazichapa na Ronald Pontillas wa Philippines badala ya Viktor Chernous wa Ukraine.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani