Madee: Tuzitumie fursa tunazopata
NA CHRISTOPHER MSEKENA
NYOTA wa Bongo Fleva, Hamad Ally ‘Madee’, amewataka wasanii maarufu kutumia vizuri fursa zinazowazunguka
kama yeye alivyotumia jina lake kuanzisha kampuni ya ukodishaji magari inayoitwa Tiptop Connection Tour.
Akizungumzia biashara hiyo, Madee alisema mpango wa kuanzisha kampuni hiyo ulianza muda mrefu ila mwaka huu ameona afanye kweli kwani biashara hiyo inalipa.
“Ni kampuni ambayo inajihusisha na ukodishaji magari kwa ajili ya watu wote wa ndani na nje ya Dar es...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/--I0FqnOl0i8/VZOU1dM2D8I/AAAAAAAHmHQ/4EMmq8jci-0/s72-c/unnamed%2B%252834%2529.jpg)
Airtel Fursa Yatumia zaidi ya milioni 3 kumpiga tafu mjasiliamali mwingine - Airtel Fursa wiki hii kuwafaidisha mamia ya vijana Mwanza
![](http://4.bp.blogspot.com/--I0FqnOl0i8/VZOU1dM2D8I/AAAAAAAHmHQ/4EMmq8jci-0/s640/unnamed%2B%252834%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-NLAxHtDkgT4/VZOU4trpdDI/AAAAAAAHmHg/UKCqdnXBI8o/s640/unnamed%2B%252835%2529.jpg)
9 years ago
MichuziAIRTEL FURSA YAENDELEA KUKWAMUA VIJANA HAPA NCHINI: Vijana wa Tanga wanufaika na mafunzo ya ujasiriamali kupitia Airtel Fursa
10 years ago
Jamtz.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-I8fRHtqWzSQ/VLj9faguvoI/AAAAAAAABTU/Z7fliEW0GMU/s72-c/IMG-20150110-WA0044.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ojSCGs3jvX2qADrRy3Gzsb6*RG0821jFaumKTDBbZ-guo-INyxBiqQf*H27hDYtB7P79p*DW4ftKtGPF7WlYcBQQBhy*7m3d/1MADEE.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pog920fjmi9SHj5eoO9AaR*o1B27odTwP9Ti7ielyNCa0uWCGKT5LJ1XujmMTS-LtItsrzdLc*GghZWcVz8B9rRtAuPsd418/madee.jpg)
MADEE ALIVYOSOTESHWA POLISI
11 years ago
GPL03 Jul
11 years ago
Michuzi04 Jul
11 years ago
Tanzania Daima06 Jul
Ramadhani yambadili Madee
KIONGOZI wa kundi la Tip Top Connection lenye maskani yake Manzese jijini Dar es Salaam, Ahmad Ally ‘Madee’ amewataka Waislamu wote kufunga mwezi huu mtukufu wa Ramadhani na wajiepushe na...
11 years ago
CloudsFM04 Jul