New Music: 909 — Njoo Hapa
Kundi la 909 linaloundwa na members watano, limeachia single mpya ‘Njoo Hapa’ “Njoo Hapa ni wimbo unaotoa matumaini kwenye Mapenzi hasa kwa wale walowahi kuumizwa, Your past experiences cant dictate your future happiness. TRUST AGAIN,” wanasema.
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Bongo526 Jan
New Music: Mrisho Mpoto ft. Felly Kano — Njoo Uchukue
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Dewji Blog27 Feb
Njoo upunguze ‘stress’ za wiki nzima kwa burudani ya ‘Live Music’ na Skylight Band leo @Thai Village-Masaki
John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi.
It’s Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band,
Karibuni sana tuanze weekend yetu na burudani ya muziki wa live#
Come and...
11 years ago
GPL
NJOO USHUHUDIE NYIMBO TAMU ZA KIMAHABA NA ZAWADI KEM KEM SIKU YA WAPENDANAO (VALENTINE'S DAY) NA LIVE MUSIC KUTOKA SKYLIGHT BAND IJUMAA HII
10 years ago
GPL
NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI
9 years ago
Bongo519 Nov
Bila Lollypop nisingekuwa hapa nilipo leo – Mo Music

Muimbaji wa ‘Basi Nenda’ Moshi Katemi maarufu kama Mo Music, amesema kuwa bila kufanya kazi na mtayarishaji na mwandishi wa nyimbo Lollypop huenda angechukua muda mrefu sana kufikia mafanikio aliyonayo sasa.
Lollypop ndiye mwandishi wa ‘Basi Nenda’, wimbo uliomtambulisha na kumfungulia njia Mo Music kwenye game ya Bongo fleva.
“Lolly Pop anajua uwezo wangu wa uimbaji ukoje na ananisapoti sana, bila Lolly pop nafikiri MO Music angechelewa sana kuanzia kwenye basi nenda mpaka sasa hivi,...
9 years ago
Bongo516 Dec
Music: Wiz Khalifa atoa mixtape mpya, ‘Cabin Fever 3’ isikilize yote hapa!

Staa wa muziki wa Hip Hop Marekani, Wiz Khalifa ameachia mixtape yake mpya ‘Cabin Fever 3’ na kutimiza ahadi kwa mashabiki wake.
Rapper huyo anatarajia kuachia album yake ijayo, Rolling Papers 2 mwakani, 2016.
Cabin Fever 3 ina nyimbo 11 na huu ni muendelezo wa mixtape yake ya mwaka 2012, Cabin Fever 2.
Kwenye Cabin Fever 3 amewashirikisha wasanii kama Juicy J, K Camp, Kevin Gates, Curren$y, Problem, Chevy Woods na King Los. Producers waliosaidia kukamilisha project hii ni pamoja na TM88,...