Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bila Lollypop nisingekuwa hapa nilipo leo – Mo Music

Mo Music

Muimbaji wa ‘Basi Nenda’ Moshi Katemi maarufu kama Mo Music, amesema kuwa bila kufanya kazi na mtayarishaji na mwandishi wa nyimbo Lollypop huenda angechukua muda mrefu sana kufikia mafanikio aliyonayo sasa.

Mo Music

Lollypop ndiye mwandishi wa ‘Basi Nenda’, wimbo uliomtambulisha na kumfungulia njia Mo Music kwenye game ya Bongo fleva.

“Lolly Pop anajua uwezo wangu wa uimbaji ukoje na ananisapoti sana, bila Lolly pop nafikiri MO Music angechelewa sana kuanzia kwenye basi nenda mpaka sasa hivi,...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HAPA HUDDAH HAPA ZARI BILA DIAMOND HUKO KENYA KULIKONI

Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye pati iliyoandaliwa na Zari na Huddah [Boss Lady wa Uganda na Kenya]. Pati ilifanyika kwenye mgahawa wa Art Of Luxury #Skylux Lounge iliyopo Kenya. Watonyaji wali ng'atana sikio kuhusu mchumba wa Zari kutoka Tanzania mbona akuonekana pembeni na vipi mbona kimbwida cha Zari akionekani hewani kama mkungu wa ndizi au mambo ya Project hadi tumboni?. Jitiririshe na picha za warembo hao hapa chini na ufunge mdomo kimya kimya.   

 

10 years ago

Vijimambo

Kikwete: "Nisingekuwa Rais Ningekuwa Msanii Mkali wa Bongo Fleva.".........HOTUBA Nzima ya Rais Kikwete Aliyoitoa Jana Mei Mosi Iko HAPA


RAIS Dkt. Jakaya Kikwete, ametamba kuwa angakuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya basi angelikuwa wa “BongoFleva” kutokana na kuwa na sauti nzuri yenye kumudu kuimba nyimbo kwa ufasaha zaidi.

Kauli hiyo aliitoa jana jijini Mwanza kwenye uwanja wa michezo wa CCM Kirumba wakati wa maadhimisho ya kilele cha sherehe za Mei mosi zilizofanyika Kitaifa jijini Mwanza kwa mwaka huu wa mwisho wa utawala wake.
Dkt. Kikwete aliimba wimbo wa Bendi ya OSS (Ochestra Safari Sound) wenye mashairi yasemayo...

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Prezzo — Bila Mundai

Wimbo mpya kutoka kwa msanii Prezzo kutoka Kenya anakuletea single yake inaitwa “Bila Mundai”

 

9 years ago

Bongo5

Lollypop atajwa kuwania tuzo za Xtreem za Kenya

Lolly

Muimbaji, mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji wa muziki, Goodluck Gozbert maarufu kama Lollypop ametajwa kuwania tuzo za muziki wa injili za nchini Kenya, Xtreem Awards.

27

Xtreem ni tuzo kubwa nchini Kenya baada ya Groove Awards na zimeendeshwa kwa miaka miwili sasa.

Pamoja na kupata jina kwa uandishi wa nyimbo kama Basi Nenda ya Mo Music na Siachana Nawe na Nivumilie za Barakah Da Prince, Lollypop hufanya muziki wa injili kwa kutumia jina lake halisi Goodluck Gozbert.

Gozbert ametajwa kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani