New Music: Prezzo — Bila Mundai
Wimbo mpya kutoka kwa msanii Prezzo kutoka Kenya anakuletea single yake inaitwa “Bila Mundai”
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog09 Dec
Baada ya kimya kirefu hii ni ngoma mpya kutoka kwa Prezzo “Bila Mundai”
Kichwa cha 254,Prezzo,Mr.Trendsetter,mzee wa swagg chafu,baada ya kimya cha muda kidogo, anakuja tena na ngoma yake mpya inayoitwa “Bila Mundai”,ipate bila mundai kwenye mkito hapa https://mkito.com/song/bila-mundai-prezzo/6521 ,kwa mahojiano,bookings na inquiries kuhusu Prezzo call +255787276352 au andika barua pepe kwenda bookings.prezzo@gmail.com
10 years ago
Bongo518 Aug
New Music: Ervixy f/ Belle 9 & Prezzo – Basi
9 years ago
Bongo517 Nov
New Music: The Creme De La Creme F/ Bigpin, Prezzo, AY & Ulopa – Sijakusahau

Ngoma mpya ya DJ wa Kenya, The Creme De La Creme aliowashirikisha Bigpin, Prezzo, AY & Ulopa. Ni ngoma ambayo rappers hao wamewakumbuka watu muhimu katika maisha yao waliotangulia mbele ya haki. Isikilize hapo chini.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo519 Nov
Bila Lollypop nisingekuwa hapa nilipo leo – Mo Music

Muimbaji wa ‘Basi Nenda’ Moshi Katemi maarufu kama Mo Music, amesema kuwa bila kufanya kazi na mtayarishaji na mwandishi wa nyimbo Lollypop huenda angechukua muda mrefu sana kufikia mafanikio aliyonayo sasa.
Lollypop ndiye mwandishi wa ‘Basi Nenda’, wimbo uliomtambulisha na kumfungulia njia Mo Music kwenye game ya Bongo fleva.
“Lolly Pop anajua uwezo wangu wa uimbaji ukoje na ananisapoti sana, bila Lolly pop nafikiri MO Music angechelewa sana kuanzia kwenye basi nenda mpaka sasa hivi,...
10 years ago
TheCitizen12 Jul
For once, I am contemplating becoming the next prezzo!
11 years ago
GPL
WEMA AWAGOMBANISHA DIAMOND, PREZZO
9 years ago
Mtanzania10 Nov
Prezzo amtambulisha mpenzi mpya
NAIROBI, KENYA
NYOTA wa muziki nchini Kenya, Jackson Makini ‘CMB Prezzo’, amemtambulisha mpenzi wake mpya kupitia akaunti yake ya Instagram.
Msanii huyo kwa sasa anajulikana kwa jina la ‘Mfalme Mswati’ kutokana na tabia yake ya kubadilisha wasichana kila baada ya muda.
Siku za hivi karibuni msanii huyo alionekana kuwa mtulivu tofauti na miaka iliyopita, ambapo msanii huyo alikuwa na sifa ya kugombanisha warembo, lakini kwa sasa amekuwa na aina mpya ya kubadilisha wasichana kila...
9 years ago
Mtanzania24 Aug
Prezzo akumbuka alivyotoswa na Cash Money
NAIROBI, Kenya
NYOTA wa muziki nchini Kenya, Jackson Makini ‘Prezzo’, bado anakumbuka jinsi alivyotoswa na bosi wa kundi la Young Money Cash Money, Birdman, alipokwenda kuomba kujiunga na kundi hilo nchini Marekani.
Prezzo alitaka kujiunga na kundi hilo akidhani angekuwa mwakilishi kwa bara la Afrika, lakini bosi wa kundi hilo alikataa kwa madai kwamba msanii huyo wa Kenya hana kipato kikubwa kama wasanii wa kundi hilo.
“Nilifanikiwa kukutana na Birdman, lakini ilikuwa ngumu kupiga naye...
9 years ago
Mtanzania02 Sep
Prezzo anatarajia kupata mtoto wa pili
NAIROBI, Kenya
NYOTA wa muziki nchini Kenya, Jackson Makini ‘CMB Prezzo’ anatarajia mtoto wa kiume hivi karibuni.
Prezzo amempa jina la Gabriel mtoto huyo kabla hajazaliwa. Msanii huyo mpaka sasa hajaoa, lakini ana mtoto mmoja na sasa anatarajia kupata mtoto wa pili.
“Natarajia mtoto wa kiume siku yoyote, ni furaha kubwa kupata mtoto wa kiume kwa kuwa naamini ataiga mambo yangu mengi, ikiwemo aina ya mavazi ninayopenda kuvaa.
“Nimeamua kumpa jina mapema kabla ya kuzaliwa kwa kuwa najua...