New Music: Trubadour f/ Wema Sepetu — Usijaribu
Sikiliza wimbo huu wa rapper Trubadour unaozungumzia jinsi mwaka huu wasanii wengi walivyojitokeza kuwania ubunge kitendo ambacho kinaonekana kama watu kuchukulia nafasi hiyo kwa mzaha. Isikilize ngoma hiyo hapo chini. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo528 Oct
Music: Trubadour FT Domokaya — Mikwara
9 years ago
Bongo520 Nov
New Music: Trubadour George f/ One The Incredible – Maamuzi
![Trubadour George FT One The Incredible- Maamuzi picha](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Trubadour-George-FT-One-The-Incredible-Maamuzi-picha-300x194.jpg)
Ngoma mpya ya rapper, Trubadour George aliyomshirikisha One The Incredible – Maamuzi.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo514 Dec
New Music: Trubadour George f/ Ibrah – Uzuri wa Sura
![76661c15-0aef-4b24-8757-7752aff9d7de](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/76661c15-0aef-4b24-8757-7752aff9d7de-300x194.jpg)
Ngoma mpya ya rapper Trubadour George aliyomshirikisha Ibrah. Inaitwa Uzuri wa Sura.
Rapper huyo anasema:
Huu ni wimbo wa kwanza wa mapenzi kuuachia hewani kutoka kwangu tangu nianze kufanya muziki. Wimbo huu nimetoa maalum kwa mwanamke ninayempenda na pia ni dedication ya watu wapendanao. Video ya wimbo huu itakuwa hewani tarehe 18/12/ 2015. video hii imetayarishwa na Mecky Kaloka kutoka Ngome Videos.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/F_3krU1MtNQ/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/L87BcYtLJm8/default.jpg)
10 years ago
Bongo Movies27 May
'Wema Sepetu Msamehe Kajala' Mashabiki Wamlilia Wema
Ikiwa ni masaa kadhaa yamepita toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo wa upendo ambao
ulioneshwa na watu wao kipindi ambacho alikuwa na matatizo na jinsi walivyoweza kujitolea mpaka kufikia hatua ya kuweza kumsaidia katika matatizo ambayo alikuwa anakabiliana nayo kwa kipindi kile.
Kajala alifunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na...
10 years ago
Bongo Movies21 Jun
Mzee Majuto Amuunga Mkono Wema Sepetu, Diamond Amtaka Wema Abadilike Kama Kweli Anautaka Ubunge
Mzee Majuto kwa mara ya kwanza ameamua kufunguka kumuunga mkono Wema Sepetu kwa nia yake ya kutaka kuwa mbunge.Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Mzee Majuto ameandika;
Nisingependa kuyaongea haya kwenye mfungu mtukufu ila kiundani ningependa kuonyesha umoja na kumuunga mkono wazo na lengo la Mwanangu kwa kuwa anaweza na amethubutu sasa isitokee wale wasiopenda maendeleo ya watu na taifa hili kuvuruga misingi na mipango madhubuti ya kuwapa nafasi vijana na hasa wanawake kushika hatamu na...
10 years ago
Vijimambo20 Nov
10 years ago
Mtanzania27 Jan
KUMRADHI WEMA SEPETU
Katika gazeti letu la Mtanzania toleo No. 7709 la Alhamisi Januari 22, mwaka huu, tuliandika kimakosa stori yenye kichwa cha habari ‘Wema Sepetu ampeleka Diamond Polisi’. Baada ya kufanya uchunguzi tumejiridhisha habari ile haikuwa na ukweli, kwani chanzo kilichotupatia kilitupotosha, hivyo kuleta usumbufu kwa msanii Wema pamoja na jamii. Kutokana na hali hiyo, tunapenda kumwomba radhi Wema na familia yake. Siku zote sisi MTANZANIA tumekuwa makini katika kusimamia misingi ya habari za weledi...