New Safari Restaurant Washington DC sasa inafunguliwa Jumanne hadi Jumapili-Karibuni
Mbuzi wa Kukaanga Nyama ya Kuchoma
New Safari Restaurant Inavyoonekana kwa sasa Ndani.
Baadhi ya Kinadada wa Tano Ladies Wakipata Lunch
Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV na Wageni wake Wakipata Dinner.
Wakurugenzi Wakiburudika na Kinywaji baada ya Mlo.
Wadau Mbali Mbali Wakijumuika Pamoja bila kujali itikadi zao.
KARIBUNI TUNAFUNGUA JUMANNE HADI JUMAPILI DINNER...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboSAFARI RESTAURANT-CHAKULA CHA KITANZANIA-KWA WATANZANIA NA MATAIFA YOTE- KARIBUNI !
SAFARI RESTAURANT 4306 GEORGIA AVENUE,NW WASHINGTON,DC OPEN- TUESDAY- SATURDAY :5PM-11PM
SUNDAY -2PM -11PM
...
11 years ago
GPLDIAMOND PLATNUMZ ALIVYOTEMBELEA SAFARI RESTAURANT WASHINGTON DC
11 years ago
Dewji Blog17 Jul
New Safari Restaurant // Under New Management // Now We Cater To All Events // Washington DC .USA
SAFARI FRESH FOOD DAILY//NO PRE-COOKED MEAL
NEWLY RENOVATED.
GREAT AMBIANCE.
GRILL BEEF // NYAMA CHOMA.
FISH COOKED IN SO MANY WAYS.
FISH KABOB//MISHIKAKI YA SAMAKI.
ZEGE//CHIPS MAYAI.
MAANDAZI / CHAI YA VIUNGO
ADDRESS :
4306 GEORGIA AVENUE,NW.
WASHINGTON,DC,20011
301-661-6207
HOURS:
TUESDAY-THURSDAY : 5PM-11PM
FRIDAY-SATURDAY : 5PM-12AM
SUNDAY : 1PM-11PM
MONDAY-CLOSED.
11 years ago
Dewji Blog12 Apr
Mambo shwaaaari -ufunguzi wa Safari Restaurant Washington DC April 11- Ahsanteni Sana DMV !
MAKAMANDA WA DC WALIWAKILISHA VYEMA UFUNGUZI
Management Mpya ya Safari Unapenda kutoa Shukrani kwa wale wote walioweza Kupata nafasi ya kufika katika siku hii ya ufunguzi wa New Safari Restaurant DC,”Words...
10 years ago
Vijimambo10 years ago
VijimamboMAMBO YOTE JUMAPILI HII TAMASHA LA KISWAHILI JUMAPILI HII-(WASHINGTON DMV) -MABALOZI WA NA NCHI ZOTE ZA MASHARIKI WATHIBITISHA KUWEPO.
MAYOR WA MJI WA BLADENSBURG KUHUTUBIA, MABALOZI WA NCHI ZA AFRICA MASHARIKI WATAKUWEPO,FREE BOAT RIDE KUZUNGUKA MTO, MICHEZO YA WATOTO, UTAMADUNI WA AFRIKA MASHARIKI,VENDORS,CHAKULA CHA AFRIKA MASHARIKI KUTOKA SAFARI RESTAURANT DC, VINYWAJI BARIDI VYOTE VINAPATIKANA: HAKUNA KIINGILIO NI BUREEE!
11 years ago
MichuziMGAHAWA WA KISASA KUFUNGULIWA HIVI KARIBUNI WASHINGTON DC
10 years ago
MichuziKaribuni Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio Jumapili Septemba 07, 2014
Karibuni wote Jumapili hii ya tarehe 7 Septemba kwenye Sikukuu ya Mikaeli na Watoto. Ibada itaongozwa na watoto ambao watatuonyesha vipaji vyao mbalimbali ambavyo Mwenyenzi Mungu amewabariki navyo. Tafadhali mkaribishe na rafiki/jirani yako. Mbarikiwe!
10 years ago
VijimamboPRESS RELEASE :-SAFARI RESTAURANT IMEFUNGWA RASMI -IMETOLEWA KWA UMMA NA DMK CHASE INVESTMENT LLC.