Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Video: Africana — Tausi

Tazama video ya vijana wawili wanaojiita Africana ya wimbo wa ‘Tausi’.

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

AKUTWA AMEUAWA ENEO LA AFRICANA-MBEZI JIJINI DAR

Mwili wa Erick 'Ras Kiduku' kama ulivyokutwa eneo la tukio. Ufunguo wa Bajaj aliyokuwa akiendesha marehemu Ras Kiduku. MWILI wa kijana ambaye ni dereva wa Bajaj aliyejulikana kwa jina la Erick maarufu kwa jina la Ras Kiduku umekutwa ukiwa umetupwa eneo la Kilongawima, Africana-Mbezi jijini Dar es Salaam. Pembeni…

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI AMINA SALUM ALI AHUTUBIA MKUTANO WA AFRICANA CONFERENCE MASSACHUSETTS

Balozi wa kudumu wa African Union Mhe. Amina Salum Ali (pichani) akihutubia katika mkutano wa Africana conference ' unaofanywa kila mwaka na TUFTS University (Fletcher college) .Hotuba ya ufunguzi wa mkutano huo uliobeba ujumbe wa 'Africa in the global Arena'.Balozi Amina S alum Ali alikuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa mkutano huu tarehe 20 mwezi wa Februari 2015 huko Boston Massachussets.
katika hotuba yake alichukua nafasi kuzungumzia masuala ya Afrika na umuhimu wa bara la Afrika kuwa...

 

10 years ago

GPL

TAUSI AMPAGAWISHA MWARABU

Brighton Masalu
MSANII wa filamu za vichekesho, Tausi Mdegela amempagawisha kwa mauno mwanaume mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, mwenye asili ya Kiarabu na kuzua mishangao na miguno kutoka kwa wadau na mashabiki wa burudani. Mwarabu akimkumbatia msanii wa filamu za vichekesho, Tausi Mdegela. Kioja hicho kilijiri mwishoni mwa wiki iliyopita ndani ya Ukumbi wa New Maisha Club, Oysterbay jijini Dar kulikokuwa na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tausi- 1: Dume hupendeza kuliko jike

LEO tumuangalie ndege ambaye watu wengi wanamfahamu kwa sababu ni moja kati ya ndege wanaofurahisha sana macho kutokana na uzuri wa rangi zake. Ni ndege Tausi. Tausi ni ndege aliye...

 

11 years ago

BBCSwahili

Thamani ya Tausi waijua polisi Pakistan

Waziri mkuu wa Pakistan Nawaz Sharif amewafuta kazi kwa muda polisi wanaolinda makazi yake baada ya tausi wake kuliwa na paka

 

10 years ago

Bongo Movies

Tausi: Bila King Majuto Usingenijua

Msanii wa kike mwenye vituko Tausi Mdegela ‘Miss Iringa’ anasema kuwa hakuna mtu muhimu sana katika maisha yake ya sanaa kama msanii nyota katika vichekesho King Majuto, kwani bila mchekeshaji huyo hakuna mtu yoyote angemjua kupitia sanaa.

“Mimi bwana Mzee King Majuto ni baba yangu haswa, maana bila yeye hata wewe usingenijua nilikuwa kila nikiomba watu nionyeshe kipaji changu cha uigizaji wanakataa kunisapoti, lakini nilipokutana na Mzee Majuto hakuninyanyapaa,”anasema Tausi.

Msanii huyo...

 

9 years ago

Mtanzania

Tausi Likokola azindua vazi la amani

TAUS LIKOKOLANA CHRISTOPHER MSEKENA

ONYESHO la mavazi ‘Fashion for Peace’ limezindua vazi maalumu kwa ajili ya kuhamasisha amani kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 25.

Onyesho hilo lililofanyika mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa King Solomon, Dar es Salaam liliwajumuisha wabunifu, Mustafa Hassanali, Martin Kadinda na Kiki Zimba.

Onyesho hilo lilifunguliwa na mwanamitindo wa Tanzania anayefanya kazi zake barani Ulaya, Tausi Likokola, aliyevalia vazi la mbunifu Kiki Zimba kwa kuzingatia umuhimu wa...

 

10 years ago

Michuzi

9 years ago

Bongo Movies

Bila King Majuto Usingenijua- Tausi

Msanii wa kike mwenye vituko Tausi Mdegela ‘Miss Iringa’ anasema kuwa hakuna mtu muhimu sana katika maisha yake ya sanaa kama msanii nyota katika vichekesho King Majuto, kwani bila mchekeshaji huyo hakuna mtu yoyote angemjua kupitia sanaa.

Mimi bwana Mzee King Majuto ni baba yangu haswa, maana bila yeye hata wewe usingenijua nilikuwa kila nikiomba watu nionyeshe kipaji changu cha uigizaji wanakataa kunisapoti, lakini nilipokutana na Mzee Majuto hakuninyanyapaa,”anasema Tausi.

Msanii huyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani