Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAUSI AMPAGAWISHA MWARABU

Brighton Masalu
MSANII wa filamu za vichekesho, Tausi Mdegela amempagawisha kwa mauno mwanaume mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, mwenye asili ya Kiarabu na kuzua mishangao na miguno kutoka kwa wadau na mashabiki wa burudani. Mwarabu akimkumbatia msanii wa filamu za vichekesho, Tausi Mdegela. Kioja hicho kilijiri mwishoni mwa wiki iliyopita ndani ya Ukumbi wa New Maisha Club, Oysterbay jijini Dar kulikokuwa na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Ngoma ampagawisha pluijm

DONALD NGOMANA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm, amekunwa na bao alilofunga mshambuliaji, Donald Ngoma, wakati timu hiyo ilipolazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) juzi.

Katika mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, ilishuhudiwa Ngoma akifunga bao hilo dakika ya 45 kwa mpira wa kubetua aliopiga baada ya kupokea krosi safi ya juu kutoka kwa beki wa kulia, Juma Abdul na kutuliza vyema...

 

9 years ago

Mtanzania

Ali Kiba ampagawisha Jokate

PhotoGrid_1443334663463NA CHRISTOPHER MSEKENA

NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Jokate Mwegelo, amemsifu msanii mwezake Ali Salehe ‘Ali Kiba’ kwa kutumbuiza muziki na ‘live Band’ kitu kinachoongeza mvuto kwenye maonyesho yake.

Akizungumza na MTANZANIA, Jokate alisema Ali Kiba ni mfano wa kuigwa kwa sababu muziki unakua na soko la kimataifa linahitaji wasanii wanaotumia ala za muziki wawapo jukwaani.

“Ali Kiba ni mfano wa kuigwa, wasanii tusipende kutumia CD kwenye majukwaa tunadumaza vipaji vyetu ni vyema...

 

11 years ago

GPL

MWARABU AMLIZA WEMA...

Stori: Makongoro Oging’ NA MAYASA MARIWATA KUNA STAA wa sinema za  Bongo na Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu ‘ameingizwa mjini’ na mhariri wa filamu Bongo mwenye asili ya Kiarabu aliyejulikana kwa jina moja la Chidy kwa kuingia mitini na shilingi 5,000,000 alizompa ili azihariri filamu zake mbili lakini kazi haikufanyika. Staa wa sinema za  Bongo na Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu. Chanzo...

 

10 years ago

GPL

TIKO ATAMANI KUOLEWA NA BABU MWARABU

Deogratius Mongela  
MSANII wa filamu  Bongo, Tiko Hassan ametoa ya moyoni na kusema kuwa kwa sasa yupo tayari kuolewa na babu Mwarabu ilimradi akitimiza mashariti yake. Msanii wa filamu  Bongo, Tiko Hassan. Akizungumza na Uwazi, Tiko alisema kwa sasa kama atatokea babu wa kumtolea posa, yupo tayari ila asiwe raia wa hapa bali awe Mwarabu maana vijana hasa wa Bongo sio waoaji ni wachezeaji. “Kila mwanamke...

 

10 years ago

GPL

JACK DUSTAN ADAIWA ANA MIMBA YA MWARABU!

Msanii wa filamu ambaye ni zao la Shindano la Maisha Plus, Jack Dustan. Na Imelda Mtema/Ijumaa
Msanii wa filamu ambaye ni zao la Shindano la Maisha Plus, Jack Dustan anadaiwa ni mjamzito huku mlengwa wa mzigo huo akidaiwa kuwa Mwarabu aliyewahi kuripotiwa kuwa anatoka naye. Jack alitua hivi karibuni akitokea Dubai alikokuwa akiponda maisha na mara kadhaa amewahi kutundika picha mtandaoni akiwa kimahaba na mwanaume huyo wa...

 

11 years ago

Michuzi

Mwarabu wa Dubai a.k.a Mpoki safarini kurejea nchini

Berlin, Ujerumani
Mchekeshaji maarufu   kutoka nchini Tanzania  Muarabu wa Dubai a.ka Mpoki ameondoka nchini Ujerumani kurudi nyumbani Tanzania baada ya ziara yake ya siku 4 kukamilika. Msanii huyo ambaye alifanya ziara nchini ujerumani baada ya kualikwa na Umoja wa wa Watanzania  Ujerumani (U T U) kwa ajili ya Sherehe za muungano wa Tanzania, zilizoambatana na kongamano la kibiashara pamoja na  Mkutano mkuu  wa uchaguzi wa U T U.
Mchekeshaji huyo maarufu kutoka kundi la Orijino Komedi...

 

9 years ago

GPL

TAHARUKI MLIMANI CITY, MWARABU ADAKWA AKIPIGA PICHA MAENEO MUHIMU

Njemba huyo akionekana kurandaranda kwenye Maduka ya Mlimani City. Boniphace Ngumije na Brighton Masalu Taharuki! Katika hali ya kushtua, njemba mmoja mtata mwenye asili ya Kiarabu amezua tafrani kwenye Maduka ya Mlimani City yaliyopo Barabara ya Sam Nujoma, jijini Dar baada ya kudakwa akitalii na kupiga picha za mnato kwenye maeneo maalum bila kujulikana lengo lake. ...Akikatiza kwenye vikordo Kwa mujibu wa shuhuda wetu,...

 

11 years ago

Bongo5

New Video: Africana — Tausi

Tazama video ya vijana wawili wanaojiita Africana ya wimbo wa ‘Tausi’.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani