TIKO ATAMANI KUOLEWA NA BABU MWARABU
![](http://api.ning.com:80/files/FXkXptW89jLAUjwV2sT3o-5jh3KO83cB*-LTCFueil8jywmI5jpCLY0n9l1Zr5ABiCuo3X7KGMj*LOwqaG6X*vTOVC7AoL8X/Tiko.jpg)
Deogratius Mongela  MSANII wa filamu Bongo, Tiko Hassan ametoa ya moyoni na kusema kuwa kwa sasa yupo tayari kuolewa na babu Mwarabu ilimradi akitimiza mashariti yake. Msanii wa filamu Bongo, Tiko Hassan. Akizungumza na Uwazi, Tiko alisema kwa sasa kama atatokea babu wa kumtolea posa, yupo tayari ila asiwe raia wa hapa bali awe Mwarabu maana vijana hasa wa Bongo sio waoaji ni wachezeaji. “Kila mwanamke...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/knSjhwKOr7vkWgWHM5KC6X7nevuq9rk3J1AUXmpOfyxzsH7zLCyZJiT7O5HqNYwdkEXOPY6HcqRm3xr8xTH2gXofUBmpKzXR/Monalisa.jpg)
MONALISA ATAMANI KUOLEWA JUA LIMEKUCHWA
Stori: Hamida Hassan Staa wa Filamu za Kibongo, Yvonne Sherry ‘Monalisa’ hivi karibuni aliweka wazi kuwa anatamani kuolewa lakini hajampata wa kumuoa.Monalisa alifunguka maneno hayo baada ya uvumi kuenea kuwa amepata mtu anataka kumuoa na mipango ya ndoa iko tayari.  Staa wa Filamu za Kibongo, Yvonne Sherry ‘Monalisa’. “Mh! Wewe si wa kwanza kuniambia maneno haya jamani hivi yanatoka wapi?...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MOGlnOwPxep7-cvQFFJxlOGdOHNNohsQl2eyZxB5pSMIjaN2BRuk3n5Zj0jHdPfS4r*4vX8L2SVt6tpnSJqlWtKDDSgf8H3c/wema.jpg)
MWARABU AMLIZA WEMA...
Stori: Makongoro Oging’ NA MAYASA MARIWATA KUNA STAA wa sinema za Bongo na Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu ‘ameingizwa mjini’ na mhariri wa filamu Bongo mwenye asili ya Kiarabu aliyejulikana kwa jina moja la Chidy kwa kuingia mitini na shilingi 5,000,000 alizompa ili azihariri filamu zake mbili lakini kazi haikufanyika. Staa wa sinema za Bongo na Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu. Chanzo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*54juLYOTrMVMlG-oGRDNNmMJebs0h5UY5dPNyWG1VCFAPXXJTUxJmwq3uMH6JASkEVKO9pbNSYu-sBxJtIIo6moQXa0CFcS/FCVRTY.jpg)
TAUSI AMPAGAWISHA MWARABU
Brighton Masalu
MSANII wa filamu za vichekesho, Tausi Mdegela amempagawisha kwa mauno mwanaume mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, mwenye asili ya Kiarabu na kuzua mishangao na miguno kutoka kwa wadau na mashabiki wa burudani. Mwarabu akimkumbatia msanii wa filamu za vichekesho, Tausi Mdegela. Kioja hicho kilijiri mwishoni mwa wiki iliyopita ndani ya Ukumbi wa New Maisha Club, Oysterbay jijini Dar kulikokuwa na...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-wbSHQ4vWK38/U2CXKtWof_I/AAAAAAAFeEw/mJ8pSgxB03A/s72-c/unnamed+(6).jpg)
Mwarabu wa Dubai a.k.a Mpoki safarini kurejea nchini
Berlin, Ujerumani
Mchekeshaji maarufu kutoka nchini Tanzania Muarabu wa Dubai a.ka Mpoki ameondoka nchini Ujerumani kurudi nyumbani Tanzania baada ya ziara yake ya siku 4 kukamilika. Msanii huyo ambaye alifanya ziara nchini ujerumani baada ya kualikwa na Umoja wa wa Watanzania Ujerumani (U T U) kwa ajili ya Sherehe za muungano wa Tanzania, zilizoambatana na kongamano la kibiashara pamoja na Mkutano mkuu wa uchaguzi wa U T U.
Mchekeshaji huyo maarufu kutoka kundi la Orijino Komedi...
Mchekeshaji maarufu kutoka nchini Tanzania Muarabu wa Dubai a.ka Mpoki ameondoka nchini Ujerumani kurudi nyumbani Tanzania baada ya ziara yake ya siku 4 kukamilika. Msanii huyo ambaye alifanya ziara nchini ujerumani baada ya kualikwa na Umoja wa wa Watanzania Ujerumani (U T U) kwa ajili ya Sherehe za muungano wa Tanzania, zilizoambatana na kongamano la kibiashara pamoja na Mkutano mkuu wa uchaguzi wa U T U.
Mchekeshaji huyo maarufu kutoka kundi la Orijino Komedi...
10 years ago
GPLJACK DUSTAN ADAIWA ANA MIMBA YA MWARABU!
Msanii wa filamu ambaye ni zao la Shindano la Maisha Plus, Jack Dustan. Na Imelda Mtema/Ijumaa
Msanii wa filamu ambaye ni zao la Shindano la Maisha Plus, Jack Dustan anadaiwa ni mjamzito huku mlengwa wa mzigo huo akidaiwa kuwa Mwarabu aliyewahi kuripotiwa kuwa anatoka naye. Jack alitua hivi karibuni akitokea Dubai alikokuwa akiponda maisha na mara kadhaa amewahi kutundika picha mtandaoni akiwa kimahaba na mwanaume huyo wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y7WxhNqXbMZg4E4qU15*vg9IRq-AuX-YyY83FVpcErrliYdz6ybDA9KL7sEASazw2rtr-RSW7Xqpv0lmYeGKRvqlwvh7h--Q/tiko.jpg)
TIKO ABONDWA
Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya
STAA wa filamu za Kibongo, Tiko Hassan, hivi karibuni alionja joto ya jiwe baada ya kushushiwa kipigo kizito na hawara wake aliyetajwa kwa jina moja la Ally. Staa wa filamu za Kibongo, Tiko Hassan akiwa na jeraha la kipigo kutoka kwa hawara yake. Kwa mujibu wa chanzo makini, siku ya tukio Tiko alikuwa na Ally nyumbani kwake, Mwananyamala ndipo ghafla hali ya hewa ikachafuka baada ya...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/MLIMANI-4.jpg)
TAHARUKI MLIMANI CITY, MWARABU ADAKWA AKIPIGA PICHA MAENEO MUHIMU
Njemba huyo akionekana kurandaranda kwenye Maduka ya Mlimani City. Boniphace Ngumije na Brighton Masalu Taharuki! Katika hali ya kushtua, njemba mmoja mtata mwenye asili ya Kiarabu amezua tafrani kwenye Maduka ya Mlimani City yaliyopo Barabara ya Sam Nujoma, jijini Dar baada ya kudakwa akitalii na kupiga picha za mnato kwenye maeneo maalum bila kujulikana lengo lake. ...Akikatiza kwenye vikordo Kwa mujibu wa shuhuda wetu,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj2Mhd95G38x0-GPkRWVxbgB2h1C4Q-qpjz35gjBf2d7Tdzb1onFaqcoH2kfNgXbFdORBhuyddVqum7TGVnpQeQt/tiko.jpg?width=650)
TIKO ATESWA NA MKOROGO
Stori: Imelda Mtema MSANII wa Bongo Movies, Tiko Hassan amedaiwa kuteswa na madhara ya mkorogo kiasi cha kumfanya shindwe kutoka ndani. Msanii wa Bongo Muvi, Tiko Hassan katika pozi. Vyanzo makini vimedai, staa huyo amekuwa na weusi usoni kutokana na matumizi ya mkorogo. Alipoulizwa kuhusu ishu hiyo, Tiko alijibu: “Kweli nimejifungia ndani sana siku hizi yawezekana ndiyo sababu ya kuwa na weusi lakini si… ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania