TIKO ABONDWA

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya STAA wa filamu za Kibongo, Tiko Hassan, hivi karibuni alionja joto ya jiwe baada ya kushushiwa kipigo kizito na hawara wake aliyetajwa kwa jina moja la Ally. Staa wa filamu za Kibongo, Tiko Hassan akiwa na jeraha la kipigo kutoka kwa hawara yake. Kwa mujibu wa chanzo makini, siku ya tukio Tiko alikuwa na Ally nyumbani kwake, Mwananyamala ndipo ghafla hali ya hewa ikachafuka baada ya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
MR NICE ABONDWA TENA
11 years ago
GPL
TIKO ATESWA NA MKOROGO
10 years ago
GPL
TIKO AMEKIMBIA NYUMBA YAKE
10 years ago
GPL
TIKO: KAMPENI ZIMEUA SANAA
10 years ago
GPL
TIKO AKATAA KUITWA GOGO
10 years ago
Bongo Movies25 Jan
VIJIMAMBO:Tiko Akataa Kuitwa Gogo
Mwigizaji wa filamu za Kibongo, Tiko Hassan amesema hakuna kauli ambayo haipendi kama kuambiwa si hodari wa mapenzi (gogo) wakati anajiamini yupo vizuri katika sekta hiyo.
Tiko alifunguka kauli hiyo alipokuwa akifanya mahojiano na paparazi wa GPL na lilipofika suala la malovee, Tiko aling’aka vibaya mara baada ya kuambiwa kuwa kuna marafiki zake wanamuita gogo.
“Wee nani kasema? Sipendi kuitwa hivyo wakati mwenyewe najijua kabisa ninakuwaje pindi ninapokuwa na mpenzi wangu, najiamini...
10 years ago
GPL
TIKO AMGANDA MWANAUME ALIYEMPA KIPIGO
11 years ago
GPL
TIKO: WAUME ZA WATU SASA BASI!
10 years ago
GPL
TIKO ATAMANI KUOLEWA NA BABU MWARABU