TIKO: KAMPENI ZIMEUA SANAA
![](http://api.ning.com:80/files/Y8Xf2kBXWFmZnoFu29nGSSrJKkXHwtFALPq4NN5DJ7YHg3S99Xh0RGZg6eO4AF4QVe9IXXJBMdaOWGhlybtI3tTYF-GDUbki/Tiko.jpg)
Na Gladness Mallya MWANADADA anayekuja juu katika filamu Bongo, Tiko Hassan amesema kampeni za uchaguzi mkuu mwaka huu zimechangia kuua sanaa ya filamu kwani wasanii wengi walijikuta wakijikita huko na kusahau kazi zao. Mwanadada anayekuja juu katika filamu Bongo, Tiko Hassan. Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, Tiko alisema baada ya uchaguzi, wasanii wa filamu wana kazi nzito ya kuirudisha tasnia yao ambayo imefifia kutokana...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboMWENYEKITI WA KIRUMBA SANAA GROUP JIJINI MWANZA AUNGANA NA KAMPENI YA "PIGA KURA, EPUKA KULA".
Maduwa ambae pia ni Mshereheshaji (Mc Katumba) na Mtangazaji wa 99.4 Radio Metro Fm, ameungana na Binagi Media Group katika Kampeni yake ya Kuwahamasisha Watanzania waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura kujitokeza kwa wingi katika kuwachagua viongozi bora wa kuwatumikia na si bora viongozi ambao wakati mwingine huchaguliwa...
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Dhana ya kikwetu kwetu itasaidia sanaa sanaa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y7WxhNqXbMZg4E4qU15*vg9IRq-AuX-YyY83FVpcErrliYdz6ybDA9KL7sEASazw2rtr-RSW7Xqpv0lmYeGKRvqlwvh7h--Q/tiko.jpg)
TIKO ABONDWA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj2Mhd95G38x0-GPkRWVxbgB2h1C4Q-qpjz35gjBf2d7Tdzb1onFaqcoH2kfNgXbFdORBhuyddVqum7TGVnpQeQt/tiko.jpg?width=650)
TIKO ATESWA NA MKOROGO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/skuCKHlxf8VtnT8DnL2B50R8xgKDQe-qKD7n6lhEJnVyrp6jNhZ8ymJJsvjpFzUClIEL6wMyyZ5zDUoYnVTquWXvdrFyLhrN/Tiko.jpg?width=650)
TIKO AKATAA KUITWA GOGO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1lp73GxRT8bafTDVwiWzpW*maIXu24e175Mjic2OEGq6YzTVA6wb6KKL2CI**Rjt-Y9J3L6ccOc4Bwc*PTz9tW7UwGV6BmoM/Tiko.gif?width=650)
TIKO AMEKIMBIA NYUMBA YAKE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TARUKDkBK7oexm2UE4sFeIPsfkhhxL0EaAk8DCMIUsyMGPlG65Iz*zYGna4780aEJG8*lkK6Lxu1rvu7-mysdeX3urnKUU3r/tiko.jpg)
TIKO AMGANDA MWANAUME ALIYEMPA KIPIGO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FXkXptW89jLAUjwV2sT3o-5jh3KO83cB*-LTCFueil8jywmI5jpCLY0n9l1Zr5ABiCuo3X7KGMj*LOwqaG6X*vTOVC7AoL8X/Tiko.jpg)
TIKO ATAMANI KUOLEWA NA BABU MWARABU
10 years ago
Bongo Movies25 Jan
VIJIMAMBO:Tiko Akataa Kuitwa Gogo
Mwigizaji wa filamu za Kibongo, Tiko Hassan amesema hakuna kauli ambayo haipendi kama kuambiwa si hodari wa mapenzi (gogo) wakati anajiamini yupo vizuri katika sekta hiyo.
Tiko alifunguka kauli hiyo alipokuwa akifanya mahojiano na paparazi wa GPL na lilipofika suala la malovee, Tiko aling’aka vibaya mara baada ya kuambiwa kuwa kuna marafiki zake wanamuita gogo.
“Wee nani kasema? Sipendi kuitwa hivyo wakati mwenyewe najijua kabisa ninakuwaje pindi ninapokuwa na mpenzi wangu, najiamini...