TIKO AMEKIMBIA NYUMBA YAKE

Gladness Mallya MWANADADA kutoka tasnia ya filamu na muziki Bongo, Tiko Hassan ameikimbia nyumba aliyokuwa akiishi maeneo ya Mwananyamala jijini Dar kutokana na mambo ya kishirikina.Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni Tiko alisema kuwa, ameamua kuihama nyumba hiyo licha ya kwamba kodi yake haijaisha kufuatia maruweruwe yaliyokuwa yakimpata nyakati za usiku. Mwanadada kutoka tasnia ya filamu na muziki Bongo, Tiko Hassan....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies02 Jan
Lulu Amzawadia Nyumba Mama Yake Kwenye Siku Yake ya Kuzaliwa
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michael, ‘Lulu’siku ya jana alimfanyia sherehe mama yake mzazi kwa kufikisha miaka 45 ya kuzaliwa ilyofanyika kwenye hoteli ya Great Wall, Masaki ambapo mastaa kadhaa wa hapa bongo walihudhuria sherehe hiyo ambapo inadaiwa kuwa mbali kuandaa sherehe hizo mwanadada Lulu alimzawadia jumba mama yake ambayo inasemekana ipo Kimara hapa jijini Dar.
Hii ni kwa mijibu wa mwigizaji Flora Mvungi “H mama”ambae ni moja kati ya mastaa kadhaa waliohudhuria...
9 years ago
Michuzi
Mshindi wa Jaymillions na mafanikio yake: Ajenga nyumba ya kisasa na kuishi na familia yake goba, kufungua biashara
10 years ago
GPL
NYUMBA YA DIAMOND SI YAKE
11 years ago
BBCSwahili02 Apr
Zuma kujieleza kuhusu nyumba yake
11 years ago
BBCSwahili21 Mar
Pistorius kuuza nyumba yake ya kifahari
9 years ago
Mtanzania17 Nov
Selena Gomez atangaza kuuza nyumba yake
LAS VEGAS, MAREKANI
MPENZI wa zamani wa msanii wa Pop, Justin Beiber, Selena Gomez, ametangaza kuuza nyumba yake yenye ukubwa wa mita za mraba 7,700.
Mrembo huyo ameitumia nyumba hiyo kwa mwaka mmoja na nusu, lakini kwa sasa ametangaza kuiuza kwa kitita cha dola milioni 3.7.
Selena alisema sababu za kutangaza kuuza nyumba hiyo ni kwamba mwakani hatokuwa na muda wa kukaa kwenye nyumba hiyo kutokana na ratiba yake kumbana na mizunguko ya kibiashara.
“Ninahisi ninafanya maamuzi sahihi ya kuuza...
11 years ago
GPL
Yondani amjengea baba yake nyumba ya kifahari
10 years ago
GPL
KAPTENI KOMBA AFUNGUKIA NYUMBA YAKE KUPIGWA MNADA
11 years ago
Tanzania Daima25 May
Baba hajazikwa, watoto wanagombea kuuza nyumba yake!
SINA hakika kama watu wote duniani wana kawaida ya kurithi mali za wazazi wao pindi wanapofariki, lakini nina uhakika utamaduni huu upo kwa sehemu kubwa sana katika jamii zetu sisi...