TIKO AMGANDA MWANAUME ALIYEMPA KIPIGO

Stori: Gladness Mallya BAADA ya mwanamuziki Tiko Hassan kupokea kipigo kutoka kwa bwana wake aliyefahamika kwa jina moja la Ally, msanii huyo amesema hawezi kumuacha kwani anampenda. Mwanamuziki Tiko Hassan wakati akiuguza majeraha ya kipigo kutoka kwa bwana wake. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Tiko alisema ni kweli ameumizwa kichwani lakini hawezi kufanya uamuzi wa kumuacha kwa kuwa, anahisi kuna siku atajutia uamuzi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
LULU AMGANDA VAN VICKER
11 years ago
Habarileo22 Sep
Aliyempa mimba binti kuchapwa viboko
KIJANA wa kiume mwenye umri wa miaka 17, mkazi wa Kijiji cha Karundi wilayani Nkasi katika Mkoa wa Rukwa, amenusurika kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka na kumpatia ujauzito msichana mwenye umri wa miaka 16.
11 years ago
GPL17 May
ALIYEMPA TUZO 6 DIAMOND PLATNUMZ HUYU HAPA
10 years ago
Vijimambo16 Jan
STEVE NYERERE AMGANDA MAMA LUU KIFUANI

Tukio hilo lililowafanya watu wabaki wakiwa wamepigwa butwaa, lilijiri ndani ya Hoteli ya Landmark jijini Dar kulikokuwa na uzinduzi wa kitabu cha Marehemu Steven Kanumba kiitwacho The Great Follen Tree.Awali, waalikwa kwenye sherehe hiyo waliinuka na kwenda kucheza wimbo wa...
10 years ago
GPL
HUYU NDIYE ALIYEMPA ZARI JEURI YA FEDHA
10 years ago
GPL
STEVE NYERERE AMGANDA MAMA LULU KIFUANI
10 years ago
Bongo Movies16 Jan
VIJIMAMBO:Steve Nyerere Amganda Mama Lulu Kifuani!!
Aliye kuwa Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Nyerere hivi karibuni aliibua miguno baada ya kumganda kifuani mama wa msanii Elizabeth Michael, Lucresia Karugila huku akionekana kutotaka kubanduka mwilini mwa mama huyo.
Tukio hilo lililowafanya watu wabaki wakiwa wamepigwa butwaa, lilijiri ndani ya Hoteli ya Landmark jijini Dar kulikokuwa na uzinduzi wa kitabu cha Marehemu Steven Kanumba kiitwacho The Great Follen Tree.
Awali, waalikwa kwenye sherehe hiyo waliinuka na kwenda kucheza wimbo wa...
9 years ago
Bongo528 Dec
Hutobashiri staa aliyempa Mwana FA idea ya chorus ya ‘Asanteni kwa Kuja’

Mwana FA amemtaja mtu aliyemsaidia kumpa idea ya chorus ya wimbo wake mpya ‘Asanteni kwa Kuja.’
Mwana FA akiwa na P-Funk Majani na Hermy B
Mtu huyo si mwingine bali ni P-Funk Majani. “Mimi nilikuwa na jina la wimbo,” FA ameiambia Bongo5.
“Nikaenda na sampling mpaka kwa Hermy, tumekaa nje kwa Sallam meneja wa Diamond, Hermy akatengeneza beat, jamaa wanacheza ile foosball na akina Ambwene, tumekaa mimi na Hermy akatengeneza beat hapo hapo nje. Kwahiyo mimi nikawa nayo, jina la wimbo ninalo na...