Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aliyempa mimba binti kuchapwa viboko

KIJANA wa kiume mwenye umri wa miaka 17, mkazi wa Kijiji cha Karundi wilayani Nkasi katika Mkoa wa Rukwa, amenusurika kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka na kumpatia ujauzito msichana mwenye umri wa miaka 16.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Mzee ‘kuchapwa viboko 360’ kwa sababu ya pombe

Mzee wa miaka 74, raia wa Uingereza aliyepatikana na mvinyo nchini Saudi Arabia, huenda akacharazwa viboko 360 kwa kosa hilo.

 

10 years ago

GPL

TIKO AMGANDA MWANAUME ALIYEMPA KIPIGO

Stori: Gladness Mallya
BAADA ya mwanamuziki Tiko Hassan kupokea kipigo kutoka kwa bwana wake aliyefahamika kwa jina moja la Ally, msanii huyo amesema hawezi kumuacha kwani anampenda. Mwanamuziki Tiko Hassan wakati akiuguza majeraha ya kipigo kutoka kwa bwana wake. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Tiko alisema ni kweli ameumizwa kichwani lakini hawezi kufanya uamuzi wa kumuacha kwa kuwa, anahisi kuna siku atajutia uamuzi...

 

11 years ago

GPL

ALIYEMPA TUZO 6 DIAMOND PLATNUMZ HUYU HAPA

Prodyuza aliyempatia tuzo sita za Kili staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz ' kwa kutengeneza wimbo wa Number One, Sheddy Clever akiwa ndani ya Global TV Online. Kujua zaidi alichoongea, usikose kuangalia Global TV Online Jumatatu ijayo!

 

10 years ago

GPL

HUYU NDIYE ALIYEMPA ZARI JEURI YA FEDHA

  Kibosile  Ivan Ssemwanga akiwa na  ‘Zari’. Makala : Hashim Aziz na mitandao Umaarufu wa msanii wa…

 

11 years ago

Michuzi

ndondi kuchapwa JUNI 21 Ulongoni B, GONGOLAMBOTO, Dar es salaam

 Bondia Said Uwezo (kushoto) akifundishwa jinsi ya kutupa makonde na Shujaa Keyakeya wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa kupambana na Thobias Adaut katika ukumbi wa Swai Pub uliopo Ulongoni 'B'  huko Gongolamboto, Dar es salaam. Bondia Abdallah Mbela kushoto akipiga ngumi kwa Said Uwezo wakati wa mazoezi ya kujianda kupambana mnamo Juni 21 mwaka huu.  Uwezo atapambana na Thobias Adaut katika ukumbi wa Swai Pub huko Ulongoni 'B'  Gongolamboto

 

9 years ago

Bongo5

Hutobashiri staa aliyempa Mwana FA idea ya chorus ya ‘Asanteni kwa Kuja’

12298952_951039554970796_1769017982_n

Mwana FA amemtaja mtu aliyemsaidia kumpa idea ya chorus ya wimbo wake mpya ‘Asanteni kwa Kuja.’

12277548_1032344053484486_847392172_n
Mwana FA akiwa na P-Funk Majani na Hermy B

Mtu huyo si mwingine bali ni P-Funk Majani. “Mimi nilikuwa na jina la wimbo,” FA ameiambia Bongo5.

“Nikaenda na sampling mpaka kwa Hermy, tumekaa nje kwa Sallam meneja wa Diamond, Hermy akatengeneza beat, jamaa wanacheza ile foosball na akina Ambwene, tumekaa mimi na Hermy akatengeneza beat hapo hapo nje. Kwahiyo mimi nikawa nayo, jina la wimbo ninalo na...

 

11 years ago

GPL

MWANAMKE AHUKUMIWA KIFO, KUCHAPWA MIJELEDI 100 KWA KUBADILI DINI SUDAN

MAHAKAMA nchini Sudan imemhukumu kifo mwanamke mmoja anayedaiwa kubadili dini yake na kuolewa na mwanamume mkristo. Daktari Mariam Yahya Ibrahim Ishag, ambaye babake ni muislamu alishitakiwa kwa kosa la kuasi dini pamoja na kufanya zinaa kwa kuolewa na mwanamume mkristo, kitu ambacho dini ya kiisilamu imeharamisha kwa wanawake. Mariam mwenye umri wa miaka 27 ambaye ni mjamzito pia atapata adhabu ya mijeledi 100 kwa kosa la zinaa....

 

10 years ago

Vijimambo

NILIWAHI KUTOA MIMBA MOJA TU YA KANUMBA KWA VILE NILIKUWA MDOGO SANA, WANAO SEMA NIMETOA MIMBA NYINGI NI WAONGO






Anazungumzia ishu ya kupata mtoto ndani ya EFM Radio Jana... Anasema watu wanaomsema hapati mimba kwa kuwa ametoa sana mimba, ni uongo kwa kuwa ameshatoa mimba moja tu tena ya Kanumba na kwa kuwa alikuwa mdogo.
Anasema ndoto yake ilikuwa kuzaa na Diamond ila hakuwahi kupata ujauzito ila ameangaika sana kupata na Diamond na wamehustle together kumpata mtoto ila haikuwezekana.
Anasema tangu hapate hiyo mimba ya Kanumba hakuna mwanaume ambaye ameshawai kumpa ujauzito. Anachukia sana watu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani