Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ndondi kuchapwa JUNI 21 Ulongoni B, GONGOLAMBOTO, Dar es salaam

 Bondia Said Uwezo (kushoto) akifundishwa jinsi ya kutupa makonde na Shujaa Keyakeya wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa kupambana na Thobias Adaut katika ukumbi wa Swai Pub uliopo Ulongoni 'B'  huko Gongolamboto, Dar es salaam. Bondia Abdallah Mbela kushoto akipiga ngumi kwa Said Uwezo wakati wa mazoezi ya kujianda kupambana mnamo Juni 21 mwaka huu.  Uwezo atapambana na Thobias Adaut katika ukumbi wa Swai Pub huko Ulongoni 'B'  Gongolamboto

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

FRIENDS OF DEVELOPMENTS (FOD) na Bigright YAANDAA MAPAMBANO ya NDONDI JIJINI DAR ES SALAAM mwezi ujao

Kampuni ya bigright promotion inategemea kuandaa pambano la masumbwi litakalopigwa tarehe 6/9/2015 katika ukumbi wa vijana , kinondoni jijini Dar es salaam.Katibu wa ngumi za kulipwa ambaye  ndie mratibu wa mpambano huo Ibrahim Kamwe (Bigright) amesema pambano hilo limeandaliwa kwa ajili ya kuamsha vijana kujituma na kujijengea mazingira ya kupenda kufanya kazi na sio kukaa vijiweni na kujiingiza katika utumiaji wa madawa na ukabaji.Bigright promotion ikishirikiana FRIENDS OF DEVELOPMENTS...

 

10 years ago

Michuzi

Programu ya kukuza ajira zenye staha kwa vijana kuzinduliwa jijini Dar es Salaam juni 5, 2015

 Mratibu wa Programu ya kukuza Ajira zenye Staha Dar es Salaam, kupitia Elimu ya Biashara na Maendeleo ya Ujasiriamali Bw. Dominic Ndunguru akiwasilisha mada kuhusu utekelezaji wa program hiyo jana jijini Dar es Salaam. Programu hii inaendeshwa kwa ubia wa asasi za kiraia za Tanzania Youth Vission Associataion (TYVA), Open Mind Tanzania (OMT)  na Youth For Africa (YOA).  Mshauri wa maswala ya Sera na Miradi ya Maendeleo wa Tanzania Youth Vision Association Bw. Elly Ahimidiwe Imbyandumi...

 

11 years ago

Michuzi

RATIBA YA UFUNGUZI WA MAADHIMISHO WIKI YA UTUMISHI WA UMMA, VIWANJA VYA MNAZI MMOJA, DAR ES SALAAM, TAREHE 16 JUNI 2014

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA





OFISI YA RAIS,

MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA


RATIBA YA UFUNGUZI WA MAADHIMISHO WIKI YA UTUMISHI WA UMMA, VIWANJA VYA MNAZI MMOJA, DAR ES SALAAM, TAREHE 16 JUNI 2014


MUDA

TUKIO

MHUSIKA

02.00-03.30

Burudani

MC

03.30-04.00

Waalikwa Kuingia Uwanjani

MC/Wageni Waalikwa

04.00-04.15

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Kuingia Uwanjani

MC/ Kamati ya Mapokezi

04.15-04.30

Mgeni...

 

10 years ago

Michuzi

WARSHA YA KISAYANSI KUHUSU HUDUMA ZA HALI YA HEWA KUPITIA MODELI YA ‘PRECIS’, KUANZIA TAREHE 29 JUNI HADI 3 JULAI 2015, DAR ES SALAAM, TANZANIA.

Na Monica MutoniMamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kwa kushirikiana na Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) wameandaa mafunzo ya hali ya hewa kwa kutumia modeli ya PRECIS (Providing Regional Climates for Impact Studies) kuanzia tarehe 29 Juni hadi 03 Julai 2015. Warsha/ mafunzo haya yameandaliwa na TMA chini ya mwamvuli wa mradi wa GFCS unaotekelezwa kwa upande wa Afrika katika nchi za Tanzania na Malawi.  Washiriki wa mafunzo hayo kutoka TMA na Kurugenzi ya Hali ya Hewa ya Malawi ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mafunzo ya ndondi kwa vitendo kuanza leo Dar

SHIRIKISHO la Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBC), leo linaanza kutoa mafunzo ya mchezo huo kwa vitendo kwa waamuzi na mabondia kwa lengo la kuuboresha. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa TPBC,...

 

10 years ago

Michuzi

VIJANA WAONYESHANA UMWAMBA KATIKA MAPAMBANO YA NDONDI JIJINI DAR

 Bondia Bonans Samweli (kushoto) akimrushia konde Bondia mwenzake Julius Kisalawe wakati wa mpambano wao uliofanyika katika GYM ya Ndame jijini Dar es salaam jana.Bondia Kisalawe alishinda kwa point mchezo huo.

 Bondia Julius Kisalawe akinyooshwa mkono juu kuashilia ushindi wake Mabondia Ally Yusuph (kushoto) na Sadam Manjepa wakionyeshana umwamba wakati wa mpambano wao uliofanyika jana katika GYM ya Ndame manzese jijini Dar es salaam. Yusuph alishinda kwa point.Mabondia Tasha Mjuaji...

 

10 years ago

Vijimambo

Bondia mtanzania Omari Kimweri anayetesa Australia kutoa sapoti ya mafunzo ya ndondi Dar

.Kutua Februari, apania kuzalisha akina Mayweather kibao nchiniOmari KimweriNA Mwandishi wetu
NDONDI ni miongoni mwa michezo maarufu mno hapa Tanzania na duniani kwa ujumla.

Wapo wanamichezo waliojipatia heshima kubwa duniani kutokana na kufanikiwa kupitia mchezo wa ndondi.

Miongoni mwa wanamichezo hao ni nguli Mohammed Ali, Mike ‘Iron’ Tyson, Evender Holyfield, Floyd Mayweather, Manny Pacquiao na wengineo wengi.
Kwa hapa nchini, wapo mabondia waliojitengenezea majina wakiwamo Emmanuel Mlundwa,...

 

10 years ago

GPL

KIVUKO KIPYA (MV DAR ES SALAAM) KITAKACHOTOA HUDUMA KATI YA MWAMBAO WA BAHARI YA HINDI (DAR ES SALAAM NA BAGAMOYO) CHAKAMILIKA

PICHANI JUU: Taswira mbalimbali zikionyesha Kivuko cha MV.Dar es Salaam kikiwa kimeshushwa majini jana tayari kwa kuanza safari ya kuja Tanzania kutokea nchini…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani