Mzee ‘kuchapwa viboko 360’ kwa sababu ya pombe
Mzee wa miaka 74, raia wa Uingereza aliyepatikana na mvinyo nchini Saudi Arabia, huenda akacharazwa viboko 360 kwa kosa hilo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo22 Sep
Aliyempa mimba binti kuchapwa viboko
KIJANA wa kiume mwenye umri wa miaka 17, mkazi wa Kijiji cha Karundi wilayani Nkasi katika Mkoa wa Rukwa, amenusurika kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka na kumpatia ujauzito msichana mwenye umri wa miaka 16.
11 years ago
GPL
MWANAMKE AHUKUMIWA KIFO, KUCHAPWA MIJELEDI 100 KWA KUBADILI DINI SUDAN
10 years ago
Habarileo13 Mar
Jela miaka 60, viboko 12 kwa kubaka wasichana kwa zamu
MAHAKAMA ya Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, juzi imemhukumu mwanamume mmoja Festo Domisian (30), mkazi wa wilayani Ukerewe mkoani Mwanza, kutumikia kifungo cha miaka 60 jela pamoja na kuchapwa viboko 12, baada ya kupatikana na hatia ya kubaka wasichana wawili kwa zamu akiwa na kisu na kumjeruhi mmoja wao.
11 years ago
GPL
ACHAPWA VIBOKO 120 KWA UUCHAFU, AZIMIA
11 years ago
Tanzania Daima27 Sep
Wachapwa viboko kwa kushindwa kulipia mahafali
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida na kushangaza wanafunzi wa shule ya Sekondari Kivukoni katika halmashauri ya mji wa Geita Mkoani hapa wamepewa adhabu ya viboko wakilazimishwa kuchangia sherehe ya kuhitimu...
10 years ago
Vijimambo
LEMUTUZ Aelezea Sababu ya Kutosomeshwa na Baba yake Ambae Alishawahi Kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Mzee Malecela

William Malecela, maarufu kama Lemutuz Nation au "King of All Bongo Social Networks" kama anavyofahamika katika mitandao mbalimbali ya kijamii ameeleza sababu za yeye kutosomeshwa na baba yake mzazi.Le Mutuz Nation ambaye ametumia muda mwingi kusoma na kuishi nchini Marekani na Belgium, ameweka bayana katika kipindi cha Mlimanidotcom cha Mlimani TV kuwa alijisomesha kwa kupitia fedha ambazo zilitokana na kazi mbalimbali ambazo alikuwa akifanya kama vile udereva wa mabasi makubwa huko jijini...
5 years ago
CCM Blog
KENYA YAWATIMUA WACHINA WANNE KWA KOSA LA KUMCHAPA VIBOKO MKENYA ALIYECHELEWA KAZINI

Raia wanne wa china waliokamatwa na Mkurugenzi wa idara ya upelelezi wa makosa ya jinai (DCI) wanatarajiwa kurudishwa kwao baada ya amri iliyotolewa na Waziri wa mambo ya ndani wa Kenya Fred Matiang'i.
Agizo hilo lilisainiwa na Matiang'i Jumatano baada ya mahakama kuruhusu polisi kuwashikilia wachina wanne kwa siku 15 huku uchunguzi ukiendelea juu ya tukio la kumchapa viboko raia wa Kenya aliyekua akifanya kazi katika mgahawa ulioendeshwa na Wachina hao mjini Nairobi.
Raia hao wa china...
10 years ago
Vijimambo
Walimu Watatu Wamchapa Mwanafunzi wa Kidato cha Pili viboko Hadi Kufariki kwa Kufeli Mtihani wa Kiswahili huko KITETO

10 years ago
Raia Mwema29 Jul