KENYA YAWATIMUA WACHINA WANNE KWA KOSA LA KUMCHAPA VIBOKO MKENYA ALIYECHELEWA KAZINI
![](https://1.bp.blogspot.com/-mbM79Ryxvvs/XkWMbEIiqpI/AAAAAAACyh4/j2L_rVzEw0U_yO4pXLEVvz6rWB5qXUpGgCLcBGAsYHQ/s72-c/_110891304_4495bf3c-f1f5-4506-8f2f-4899a0bf998f.jpg)
Raia wanne wa china waliokamatwa na Mkurugenzi wa idara ya upelelezi wa makosa ya jinai (DCI) wanatarajiwa kurudishwa kwao baada ya amri iliyotolewa na Waziri wa mambo ya ndani wa Kenya Fred Matiang'i.
Agizo hilo lilisainiwa na Matiang'i Jumatano baada ya mahakama kuruhusu polisi kuwashikilia wachina wanne kwa siku 15 huku uchunguzi ukiendelea juu ya tukio la kumchapa viboko raia wa Kenya aliyekua akifanya kazi katika mgahawa ulioendeshwa na Wachina hao mjini Nairobi.
Raia hao wa china...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Serikali ya Kenya yaamuru wachina wanne walioonekana wakimchapa mkenya warudishwe kwao
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Kenya: Raia alichapwa viboko na raia wa China baada ya kusemekana alichelewa kazini
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-hhL0MdDLp-U/UzWbuh4jAFI/AAAAAAAFXCY/kVZU6FZ3L-c/s72-c/8.jpg)
News alert mahakama ya rufaa yawaachia huru wachina wawili waliofungwa kwa kosa la kuvua samaki nchini kinyume na sheria
![](http://1.bp.blogspot.com/-hhL0MdDLp-U/UzWbuh4jAFI/AAAAAAAFXCY/kVZU6FZ3L-c/s1600/8.jpg)
9 years ago
Dewji Blog18 Dec
Raia wanne wa China wahukumiwa miaka 20 jela kwa kosa la kuhujumu uchumi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mbeya
![](http://4.bp.blogspot.com/-1BIq66NTZYU/VnMFlIVetMI/AAAAAAAAVPM/RTUFVaP4vK4/s640/ndovu12.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-ZMk73Npq4JY/VnMFkHdt44I/AAAAAAAAVPE/6-HoGPr4IZA/s640/ndovu.jpg)
Na Ezekiel Kamanga, Mbeya.Jamiimojablog
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mbeya imewahukumu kifungo cha miaka 20 jela raia wanne wa China na kulipa faini baada ya kukutwa na hatia kwa makosa matatu ikiwemo uhujumu uchumi kwa kukutwa na pembe za faru.
Kabla ya kuanza kusoma hukumu Hakimu mfawidhi Michael Mteite alianza kuwashukuru Mawakili wa Serikali na...
9 years ago
Mtanzania05 Oct
Walimu Kenya kurudi kazini leo
NAIROBI, KENYA
VYAMA vya walimu nchini vimetii agizo la mahakama, na hivyo kutangaza kusitisha mgomo na kuwaomba walimu kuripoti kazini kuanzia leo.
Katibu Mkuu wa Chama cha Taifa cha Walimu (KNUT), Wilson Sossion aliwataka walimu wote waliokuwa kwenye mgomo kurudi darasani akisema kuwa leo ni mwanzo mpya wa muhula wa tatu.
Aidha Chama cha Walimu wa Taasisi za Kati (KUPPET) pia kiliwaomba wanachama wake kurejea kazini.
Hata hivyo, Sossion alisema bado wana hofu kuwa serikali inalenga...
5 years ago
BBCSwahili08 Mar
Coronavirus: 'Unyanyapaa' ulivyochochea chuki dhidi ya Wachina nchini Kenya
9 years ago
Bongo524 Dec
Kenya: Kosa la Jimmy Gait kwenye cover ya Hello ya Adele ni lipi?
![12317373_1540701262917454_1836197456_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12317373_1540701262917454_1836197456_n-300x194.jpg)
Tangu Adele ameachia wimbo wake Hello, kuna utitiri wa kava za wasanii kwenye mtandao wa Youtube. Kila mmoja amejaribu kuuimba wimbo huo kwa manjonjo yake wenyewe.
Wapo waliosifiwa kwa kuuimba vizuri kama Joe Thomas na Dela wa Kenya. Version ya Dela imefika mbali zaidi kwakuwa ametumia Kiswahili. Na pengine cover hiyo imefanya vizuri zaidi kuliko hata nyimbo zake mwenyewe.
Lakini pia wapo walioshindwa kuyafurahisha masikio ya wasikilizaji aidha kwa kuimba chini ya kiwango au kwa...
9 years ago
MillardAyo07 Jan
Kutana na video ya goli la Simba Vs URA na kosa kosa za mchezo huo Mapinduzi Cup 2016 …
Mtu wangu wa nguvu bado ninazo headlines za michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2016, naomba nikusogezee video ya goli la Simba dhidi ya URA ya Uganda. Goli ambalo lilifungwa na Ibrahim Ajib dakika ya 37, baada ya kupokea pasi safi kutoka kwa Mwinyi Kazimoto. Mtu wangu wa nguvu hii ni video ya sehemu ya […]
The post Kutana na video ya goli la Simba Vs URA na kosa kosa za mchezo huo Mapinduzi Cup 2016 … appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Habarileo13 Mar
Jela miaka 60, viboko 12 kwa kubaka wasichana kwa zamu
MAHAKAMA ya Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, juzi imemhukumu mwanamume mmoja Festo Domisian (30), mkazi wa wilayani Ukerewe mkoani Mwanza, kutumikia kifungo cha miaka 60 jela pamoja na kuchapwa viboko 12, baada ya kupatikana na hatia ya kubaka wasichana wawili kwa zamu akiwa na kisu na kumjeruhi mmoja wao.