ACHAPWA VIBOKO 120 KWA UUCHAFU, AZIMIA
![](http://api.ning.com:80/files/q*0FqWTixVKNEa5YXHZ32E5tZq*2JZ1QaNPXKa0H1HfBtRgr4wsooUm3Xhbs9e7-poDqPMbWJrBuOwZYFoGlWY*wOg7DPEuS/achapwa.jpg)
Stori: Joseph Ngilisho, Arumeru SHERIA iliyopitishwa na wakazi wa Arumeru mkoani Arusha ya kuwachapa viboko 70 hadi 120 wasichana wanaovaa nusu uchi na wavulana wanaovaa mlegezo, kuvuta bangi, wizi, matusi na ulevi nyakati za kazi imeanza kufanya kazi baada ya kijana Zakayo Leonard (26) kuchapwa viboko 120 kwa makosa mbalimbali likiwemo uchafu wa kutofua nguo zake. Kijana Zakayo Leonard (26) akitumikia adhabu ya viboko 120. ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili09 Jan
Mwanablogu achapwa viboko hadharani
10 years ago
Habarileo13 Mar
Jela miaka 60, viboko 12 kwa kubaka wasichana kwa zamu
MAHAKAMA ya Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, juzi imemhukumu mwanamume mmoja Festo Domisian (30), mkazi wa wilayani Ukerewe mkoani Mwanza, kutumikia kifungo cha miaka 60 jela pamoja na kuchapwa viboko 12, baada ya kupatikana na hatia ya kubaka wasichana wawili kwa zamu akiwa na kisu na kumjeruhi mmoja wao.
10 years ago
Tanzania Daima27 Sep
Wachapwa viboko kwa kushindwa kulipia mahafali
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida na kushangaza wanafunzi wa shule ya Sekondari Kivukoni katika halmashauri ya mji wa Geita Mkoani hapa wamepewa adhabu ya viboko wakilazimishwa kuchangia sherehe ya kuhitimu...
9 years ago
BBCSwahili13 Oct
Mzee ‘kuchapwa viboko 360’ kwa sababu ya pombe
10 years ago
Tanzania Daima05 Oct
Siku 120 zilivyoacha maswali kwa Watanzania
BUNGE Maalum la Katiba lilihitimisha kazi yake kwa kupitisha Katiba inayopendekezwa baada ya kudai kupata theluthi mbili za wajumbe wa kila upande wa Muungano. Kutangazwa kwa matokeo hayo kuliwafanya wajumbe...
11 years ago
Mwananchi02 Jul
MAZOEZI DAKIKA 120: Maximo aanza kwa kishindo Yanga
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-mbM79Ryxvvs/XkWMbEIiqpI/AAAAAAACyh4/j2L_rVzEw0U_yO4pXLEVvz6rWB5qXUpGgCLcBGAsYHQ/s72-c/_110891304_4495bf3c-f1f5-4506-8f2f-4899a0bf998f.jpg)
KENYA YAWATIMUA WACHINA WANNE KWA KOSA LA KUMCHAPA VIBOKO MKENYA ALIYECHELEWA KAZINI
![](https://1.bp.blogspot.com/-mbM79Ryxvvs/XkWMbEIiqpI/AAAAAAACyh4/j2L_rVzEw0U_yO4pXLEVvz6rWB5qXUpGgCLcBGAsYHQ/s640/_110891304_4495bf3c-f1f5-4506-8f2f-4899a0bf998f.jpg)
Raia wanne wa china waliokamatwa na Mkurugenzi wa idara ya upelelezi wa makosa ya jinai (DCI) wanatarajiwa kurudishwa kwao baada ya amri iliyotolewa na Waziri wa mambo ya ndani wa Kenya Fred Matiang'i.
Agizo hilo lilisainiwa na Matiang'i Jumatano baada ya mahakama kuruhusu polisi kuwashikilia wachina wanne kwa siku 15 huku uchunguzi ukiendelea juu ya tukio la kumchapa viboko raia wa Kenya aliyekua akifanya kazi katika mgahawa ulioendeshwa na Wachina hao mjini Nairobi.
Raia hao wa china...
10 years ago
BBCSwahili27 Jan
Nadal achapwa tennis Australia
10 years ago
Habarileo18 Oct
Mtoto wa miaka 8 achapwa na kumwagiwa maji moto
MTOTO wa kike mwenye umri wa miaka minane amechapwa viboko na kumwagiwa maji ya moto na mama yake kwa kambo kwa kuchelewa kuwapa wadogo zake chakula cha mchana.