Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Siku 120 zilivyoacha maswali kwa Watanzania

BUNGE Maalum la Katiba lilihitimisha kazi yake kwa kupitisha Katiba inayopendekezwa baada ya kudai kupata theluthi mbili za wajumbe wa kila upande wa Muungano. Kutangazwa kwa matokeo hayo kuliwafanya wajumbe...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Siku 120 za mapambano ya dawa za kulevya

>Huenda mwaka huu ukavunja rekodi ya kuwakamata watu wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya kwani ndani ya siku 120, Kitengo cha Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini kimekamata kilo 238 za aina mbalimbali za dawa hizo.

 

11 years ago

GPL

KIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU KATI YA RAIS KIKWETE NA WATANZANIA, WASHINGTON DC

Mhe. Rais Dk Jakaya Kikwete akijibu maswali ya waTanzania. Usiku wa Agosti 2, 2014, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk Jakaya Mrisho Kikwete alikutana na waTanzania katika hoteli ya Marriot jijini Washington DC
Baada ya hotuba yake, Mhe. Rais aliruhusu maswali kutoka kwa waTanzania hao
Na haya, ndiyo yaliyoulizwa kwake.
Karibu… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Membe: Watanzania subirini kwa hamu siku yangu ya kutangaza nia ya kuwania Urais

membe 2

Na theNkoromo Blog

 WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa  Kimataifa, Bernard Membe, amewaomba Watanzania kusubiri kwa hamu siku ya kutangaza nia ya kuwania urais kwa tiketi ya CCM, katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Membe amesema, amepanga kutangaza nia hiyo,  Juni 6, mwaka huu,  na kuwaomba wananchi wamsikilize kwa makini siku hiyo kwakuwa ataeleza kwa kina nini anataka kufanya nchi iweze kuondoka ilipo ikiwemo kuendelea kudumisha amani na utulivu uliopo.

Waziri Membe ambaye...

 

11 years ago

GPL

KIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU KATI YA RAIS KIKWETE NA WATANZANIA, WASHINGTON DC‏

Mhe. Rais Dk Jakaya Kikwete akijibu maswali ya waTanzania Usiku wa Agosti 2, 2014, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk Jakaya Mrisho Kikwete alikutana na watanzania katika hoteli ya Marriot jijini Washington DC Baada ya hotuba yake, Mhe. Rais aliruhusu maswali kutoka kwa watanzania hao Na haya, ndiyo yaliyoulizwa kwake.
Karibu…

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Watanzania waanza maombi ya siku 3 kumshukuru Mungu kwa kuwaepusha na janga

Raia wa Tanzania hii leo wanaanza siku tatu za maombi ya kumshukuru Mungu baada ya Rais wa nchi hiyo John Magufuli kusema maambukizi ya Covid-19 nchini humo yamepungua.

 

5 years ago

CCM Blog

WATANZANIA KUFANYA MAOMBI KITAIFA SIKU TATU KUMSHUKURU MUNGU KWA KUTULINDA DHIDI YA JANG LA CORONA

  Watanzania kesho (22/05/2020) wanaanza maombi ya kitaifa kwa siku tatu mfululizo kila mmoja kwa imani yake ili kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa hatua iliyofikiwa katika mapambano dhidi ya Janga la Corona.
Maombi hayo ya siku tatu, (Ijumaa, Jumamosi na Jumapili (Tarehe 22-24 Mei, 2020) yanafuatia wito wa Rais John Magufuli kupitia Hotuba yake aliyoitoa Jumapili ya tarehe 17 Mei, 2020 wakati akitoa takwimu za Corona katika maeneo mbalimbali ya nchi.
Rais Magufuli aliwahimiza Wananchi katika...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Watanzania wafika kilele cha siku tatu za maombi ya shukrani kwa Mungu

Waumini wa madhehebu mbalimbali wamekamilisha siku tatu za maombi maalumu ya kumshukuru Mungu baada ya 'kupungua' kwa maambukizi ya covid19.

 

10 years ago

GPL

ACHAPWA VIBOKO 120 KWA UUCHAFU, AZIMIA

Stori: Joseph Ngilisho, Arumeru
SHERIA iliyopitishwa na wakazi wa Arumeru mkoani Arusha ya kuwachapa viboko 70 hadi 120 wasichana wanaovaa nusu uchi na wavulana wanaovaa mlegezo, kuvuta bangi, wizi, matusi na ulevi nyakati za kazi imeanza kufanya kazi baada ya kijana Zakayo Leonard (26) kuchapwa viboko 120 kwa makosa mbalimbali likiwemo uchafu wa kutofua nguo zake. Kijana Zakayo Leonard (26) akitumikia adhabu ya viboko 120. ...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI: WATANZANIA NA WAGENI WATAKAOINGIA NCHINI KUTOKA NCHI ZILIZOATHIRIWA NA CORONA WOTE KUJITENGA SIKU 14 KWA GHARAMA ZAO.

Rais Dk. John Magufuli akihutubia Taifa katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma leo Machi 22, 2020

IKULU, Chamwino, Dodoma
Rais Dk. John Magufuli leo ametangaza hatua nyingine ili za kukabiliana na ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Coron

Rais Dk. John Magufuli amesema kuanzia kesho wasafiri wote watakaoingia nchini kutoka katika mataifa yaliyoathirika zaidi na ugonjwa wa Corona, watalazimika kufikia sehemu za kujitenga kwa siku 14 kwa gharama zao wenyewe.

Akihutubia taifa,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani