Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TIKO AKATAA KUITWA GOGO

Stori: laurent samata
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Tiko Hassan amesema hakuna kauli ambayo haipendi kama kuambiwa si hodari wa mapenzi (gogo) wakati anajiamini yupo vizuri katika sekta hiyo. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Tiko Hassan. Tiko alifunguka kauli hiyo alipokuwa akifanya mahojiano na paparazi wetu na lilipofika suala la malovee, Tiko aling’aka vibaya mara baada ya kuambiwa kuwa kuna marafiki zake wanamuita...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

VIJIMAMBO:Tiko Akataa Kuitwa Gogo

Mwigizaji wa filamu za Kibongo, Tiko Hassan amesema hakuna kauli ambayo haipendi kama kuambiwa si hodari wa mapenzi (gogo) wakati anajiamini yupo vizuri katika sekta hiyo.

Tiko alifunguka kauli hiyo alipokuwa akifanya mahojiano na paparazi wa GPL na lilipofika suala la malovee, Tiko aling’aka vibaya mara baada ya kuambiwa kuwa kuna marafiki zake wanamuita gogo.

“Wee nani kasema? Sipendi kuitwa hivyo wakati mwenyewe najijua kabisa ninakuwaje pindi ninapokuwa na mpenzi wangu, najiamini...

 

10 years ago

GPL

SUZY AKATAA KUITWA BONGO MOVIE

Stori:  Imelda Mtema
MSANII anayezidi kuja kwa kasi Bongo Movies, Happy Nyatawe ‘Suzy’ ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa kutokana na migogoro mbalimbali iliyokuwepo ndani ya Kundi la Bongo Movie, hata akipita njiani akiitwa kwa kutumia jina hilo hatogeuka. Msanii anayezidi kuja kwa kasi Bongo Movies, Happy Nyatawe ‘Suzy’ akipozi. Suzy alisema kutokana na ‘majanga’ kuwa mengi...

 

10 years ago

GPL

ETI MKEO NI KAMA GOGO FARAGHA, KWA HIYO?

Wiki hii nataka kuzungumzia tabia f’lani ambayo imejengeka kwa baadhi ya wanaume ambayo kimsingi ni mbaya na haileti picha nzuri lakini naamini kwa kuandika kupitia safu hii, itasaidia kuwafanya wahusika wabadilike. Natambua umuhimu wa watu kukutana sehemu mbalimbali na kubadilishana mawazo, haijalishi ni eneo gani ambalo litatumika. Wapo ambao stori zao huzipigia baa na wengine maskani tu.Huko ndiko tunakojadili mambo...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AZINDUA NYUMBA ZA KISASA ZA MAKAZI YA WANAJESHI GOGO LA MBOTO, DAR ES SALAAM, LEO


Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana naBalozi wa China nchini Mhe Lu Youqing alipowasili kuzindua nyumba zakisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leoJumamosi 10, 2015. Wengine ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujengataifa Dkt Hussein Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue,Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange, na Mkuu wa Mkoa wa Dar essalaam, Mhe Said Meck Sadick,Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana naMnadhimu...

 

10 years ago

GPL

TIKO ABONDWA

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya
STAA wa filamu za Kibongo, Tiko Hassan, hivi karibuni alionja joto ya jiwe baada ya kushushiwa kipigo kizito na hawara wake aliyetajwa kwa jina moja la Ally. Staa wa filamu za Kibongo, Tiko Hassan akiwa na jeraha la kipigo kutoka kwa hawara yake. Kwa mujibu wa chanzo makini, siku ya tukio Tiko alikuwa na Ally nyumbani kwake, Mwananyamala ndipo ghafla hali ya hewa ikachafuka baada ya...

 

11 years ago

GPL

TIKO ATESWA NA MKOROGO

Stori: Imelda Mtema MSANII wa Bongo Movies, Tiko Hassan amedaiwa kuteswa na madhara ya mkorogo kiasi cha kumfanya  shindwe kutoka ndani. Msanii wa Bongo Muvi, Tiko Hassan katika pozi. Vyanzo makini vimedai, staa huyo amekuwa na weusi usoni kutokana na matumizi ya mkorogo. Alipoulizwa kuhusu ishu hiyo, Tiko alijibu: “Kweli nimejifungia ndani sana siku hizi yawezekana ndiyo sababu ya kuwa na weusi lakini si… ...

 

9 years ago

GPL

TIKO: KAMPENI ZIMEUA SANAA

Na Gladness Mallya MWANADADA anayekuja juu katika filamu Bongo, Tiko Hassan amesema kampeni za uchaguzi mkuu mwaka huu zimechangia kuua sanaa ya filamu kwani wasanii wengi walijikuta wakijikita huko na kusahau kazi zao. Mwanadada anayekuja juu katika filamu Bongo, Tiko Hassan. Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, Tiko alisema baada ya uchaguzi, wasanii wa filamu wana kazi nzito ya kuirudisha tasnia yao ambayo imefifia kutokana...

 

10 years ago

GPL

TIKO AMEKIMBIA NYUMBA YAKE

Gladness Mallya
MWANADADA kutoka tasnia ya filamu na muziki Bongo, Tiko Hassan ameikimbia nyumba aliyokuwa akiishi maeneo ya Mwananyamala jijini Dar kutokana na mambo ya kishirikina.Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni Tiko alisema kuwa, ameamua kuihama nyumba hiyo licha ya kwamba kodi yake haijaisha kufuatia maruweruwe yaliyokuwa yakimpata nyakati za usiku. Mwanadada kutoka tasnia ya filamu na muziki Bongo, Tiko Hassan....

 

11 years ago

GPL

TIKO: TUSIBADILI DINI KISA MKWANJA

Stori: Mayasa Mariwata
MSANII wa flamu za Kibongo, Tiko Kulungu amewaasa wenzake kuwa waepuke tabia ya kubadili dini kwa kufuata maslahi ya kifedha. Msanii wa filamu za kibongo Tiko Hassan. Akizungumza na Bongowood pasipo kuwataja majina, Tiko alisema tabia hiyo imekithiri.
“Wasibadili tu dini kwa kufuata pesa, kama umeamua kufanya hivyo basi uwe na mapenzi ya dhati kwa mhusika,” alisema… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani